Chadema wako sahihi kutoshiriki uchaguzi kwa sababu wabunge wao wote 20 ni kama wako CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
43,091
2,000
Katika hili la kutoshiri uchaguzi mimi nakubaliana kabisa na Chadema kwamba wamefanya maamuzi sahihi.

Kwani wale wabunge 20 wa Chadema mule bungeni wanafanya kazi gani yenye maslahi kwa upinzani. Wao muda wote wanarandaranda na viongozi wa CCM akina babu Tale.

CHADEMA komaeni hivyo hivyo hadi 2025.

Kila zama na kitabu chake.

Maendeleo hayana vyama!
 

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,298
2,000
Maendeleo hayana chama,mkuu john mbatizaji ni mda gani wewe unaenda kujitaftia ridhiki??
Muda wote umo humu tu,kulikoni??
#sio kwa nia mbaya mkuu
#uvccm taifa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom