wote

  1. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mbowe Zanzibar, ndiyo Hotuba bora ya muda wote

    Upo Msemo wa kiswahili unasema hivi, Nanukuu " kizuri kula na nduguzo" mwisho wa kunukuu. Ukisikiliza Hotuba ya Freeman Mbowe , aliyoitoa kwenye ile siku ya Wazee ya kidunia iliyofanyika Zanzibar juzi , ile iliyoandaliwa na Bazecha, basi haraka sana utagundua kwamba uongozi ni Karama halisi...
  2. JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Maji Tukuyu: Mgao wa maji unahusu watu wote, hadi nyumbani kwa Spika Tulia na kwa DC napo kuna mgao

    Baada ya kuibuka kwa malalamiko ya uhaba wa maji Mjini Tukuyu, Wilayani Rungwe Mkoani Mbeya, ikidaiwa kuwa kuna upendeleo katika mgawo wa maji, Mamlaka ya Maji ya Tukuyu imefafanua sababu ya mgao wa maji na kuweka wazi kuwa hakuna upendeleo katika mchakato huo. Malalamiko haya hapa - Tukuyu...
  3. JamiiForums Tanzania Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

    Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake. Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu. Nawatakia...
  4. JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa wakati wake jf wote Tutatoboa. Amin

    Habarini ndugu zangu..! Kizuri kula na Mwenzio, kwa maana hiyo ndio njia pekee ambayo mimi na wewe tunaweza itumia kugusa maisha ya wengi na sote tukatimiza malengo yetu kwa kasi. MAISHA NI MCHEZO WA KUIGIZA Akiwa na miaka 5 Alifiwa na Baba yake... Akiwa na miaka 16 aliamua kuacha shule...
  5. JamiiForums Tanzania Mashine 6 za kuzalisha umeme Kituo cha Ubungo 1 zapata hitilafu, Naibu Waziri atoa maelekezo kwa TANESCO

    Naibu Waziri Nishati, Judith Salvio Kapinga ametembelea vituo vya Kuzalisha Umeme, Ubungo 1 na Ubungo 2 ili kuona hali ya uzalishaji wa umeme katika vituo hivi kwa maelekezo ya Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko. Naibu Waziri anazungumza Kwenye Kituo cha Ubungo 2, mashine...
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe awatakia Maulid njema Waislam Wote .

    Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe , ambaye anajulikana pia kama Ustaadh Aboubakar Mbowe , amejitokeza hadharani kushiriki pamoja na Watukufu Waislam Mawlid al Nabi , ambayo ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad S.A .W Ujumbe wake huu hapa
  7. JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa katika hii Mitanadao... Ni kama wote tunalazimiswa tuwe 5G..

    Sijui kama hili naliona mimi peke angu.. Ila kuna upumbavu mkubwa unaendelea.. Uzi.
  8. JamiiForums Tanzania Hapa tulipokwama, wote tumo garini hakuna wa kutukwamua

    Kwa Lugha ya picha ni kama watu mko safarini na ghafla gari mlilopanda likwame matopeni. Haiyumkiniki nyie mlio garini wenyewe ndiyo muwe na uwezo wa kujikwamua toka matopeni mlipokwama. Kama mnataka kujikwamua wenyewe hamna budi kushuka garini muingie matopeni msukume gari ili mtoke matopeni...
  9. JamiiForums Tanzania Ndoa kiroho ni tendo la ndoa. Wote ulioshiriki nao ndio wake au waume zako

    Kiroho sio Kisheria. Mwenyezi Mungu alisema wamekuwa mwili mmoja. Mnapokuwa tupu, alafu sehemu za siri zimeingiliana ndio tafsiri ya mwili mmoja hiyo. Hivyo watu wengi wana wake na waume rundo kiroho huku wakiwa na mke au mume mmoja kisheria. Cha kufanya, mtafute yule aliyekutoa ubikra wako...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alikuwa mtetezi wa wanyonge kweli au alikuwa na lengo la kuwafanya watanzania wote wawe wanyonge?

    Ni kipindi chake ndo machinga(wanyonge) walikuwa wengi na wanaongezeka daily na hakuna mpango mkakati wowote wa kuwapunguza kwa kupanua sector binafsi mana serikali ilikataa kabisa kuajiri kisa Barbara. Sector binafsi ilikufa kabisa au iikuwa inapumulia mashine kiasi ambacho wote waliokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Je, ni Rais gani aliyependwa kuliko wote Tanzania?

    Tanzania imeshapitia Awamu sita kama sio tano za Marais tofauti tofauti. Je ni Rais Gani aliependwa kuliko wote Tanzania?
  12. JamiiForums Tanzania RC Mbeya asitisha Posho kwa Watumishi wote wa Halmashauri

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesitisha utoaji wa posho kwa watumishi wote wa Halmashauri ya Wilaya Kyela mkoani isipokuwa madiwani na kutaka zikatumike kukamilisha ujenzi wa shule tano za msingi ambazo miradi yake imeonyesha kusuasua. Homera ametoa agizo hilo jana Septemba 22, 2023...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya watu wanaonekana kuwa serious muda wote hata kama wana furaha?

    Habari wanajf Kama nawewe ni miongoni basi utakuwa sio mgeni wa maswali kama "mbona inaonekana upo serious mda wote" Au "mbona una mawazo sana" Sasa kuna baadhi ya watu nadhani namimi ni miongoni tunaonekana tuna sura ambazo hazina chembe ya tabasamu. Yaani kuna mtu ukimtazama kwa haraka...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  15. JamiiForums Tanzania Kwa Waalimu wote

    KWA WALIMU WOTE Sikilizeni wimbo huu: Nilipokuwa mtoto niliitwa Chacha Kwa matamshi yangu ya sasa Nilipokuwa kijana niliitwa Chaupele Nilipokuwa mtu mzima niliitwa Manywele Nilipokuwa mwalimu nikaitwa Bure. Huu utakuwa wimbo wako Utakapostaafu urudipo nyumbani Umelewa kangara na nyayo...
  16. JamiiForums Tanzania Je wajua Thank ya kipa wa Simba Ni zaidi ya mishahara ya wachezaji wote wa Yanga msimu mzima!

    Lile garasha limesajiliwa billion 3. ($1.3 milion). Mishahara ya wachezaji Yanga Ni bilion 2.7 kwa mwaka (ndio kikosi Bora kwa Sasa Tanzania) Izo ela za kumleta huyu jamaa katoa mo na kamtuma try again kuleta. Walitaka walete yule mbraziri ikabuma.
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba SC mnaonisoma GENTAMYCINE 24/7 hapa tafadhali nifikishieni hili Tamko langu Takatifu na Tukuka kwa Wachezaji wote wa Simba SC

    TAMKO TAKATIFU NA TUKUKA Waambieni hakuna Mchezaji mkubwa kuliko Simba SC yetu, Wameikuta na Wataiacha / Watatuachia. Huu Mtindo wa Kucheza Mpira kwa Kudekadeka, Kuringa na kama Wanalazimishwa uwe mwanzo na mwisho. Kama kuna Mchezaji anaona Simba SC siyo mahala pake aombe avunjiwe Mkataba wake...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Congratulations Singida Fountain Gate FC, I'm impressed

    Singida Fountain Gate FC was amazing Leo. Despite the fact that wapo economically below the top 3. I I'm very happy for them. Congratulations to them. Good luck in Egypt.
  19. JamiiForums Tanzania Wanawake waliofanikiwa sana kiuchumi na career zao, kuliko wote Tanzania pia wamezaa watoto wengi uzazi sio sababu ya mwanamke kufeli

    Wanawake wengi wa kisasa waoga na wavivu sana kuzaa Mwanamke umeolewa ila anampangia mume wake idadi ya watoto atakaozaa. Mtoto mmoja ama wawili tu Wanasema watoto wanaharibu career zao. Kwa uchunguzi wangu binafsi wanawake tatu bora waliofanikiwa kuliko wote tanzania ni hawa Namba moja...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni: Mpaka kufikia 'March' mwakani wananchi wote mtakuwa mmepata kadi za NIDA

    Waziri wa mambo ya ndani, Hamadi Masauni amesema kabla ya kufikia mwezi wa tatu mwaka 2023 wananchi wote watakuwa wamepata kadi zao za NIDA na haitazidi hapo, Masauni kasema inaweza kuwa hata Disemba mwaka huu. Pia Masauni amesema wananchi ambao hawajapata vitambulisho lakini wana namba za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…