wote

  1. JamiiForums Tanzania Wachungaji, Mitume na Manabii wote pita Huku: Ahadi za utabiri wenu haujatimia.

    Habarini ndugu katika jukwaa, Hongereni kwa uvumilivu kuelekea kuumaliza mwaka na tumshukuru Allah kwa kuturehem sisi. Hawa wenzetu manabii na mitume plus wachungaji katika majukum yao hututabiria baraka kem kem ilihali wao wenyewe hawajua chochote kuhusu kesho, utasikia huu kwaka ni wako...
  2. JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Wanafunzi wote waanze masomo Januari

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa kutekeleza maagizo mbalimbali ili mchakato wa kuwapokea Wanafunzi wapya Shule za awali, msingi na sekondari uende kwa ufanisi kuanzia Januari 06,2024. Mchengerwa ametoa agizo hilo leo...
  3. JamiiForums Tanzania Malipo ya Bima kwa wote itaunganisha watanzania kuanzisha vita kali dhidi ya CCM

    Umoja ni nguvu na changamoto na shida ni chachu ya kuleta umoja wenye nguvu. Maisha magumu sana sana na mpango huu wa bima kwa wote ndio ccm na serikali yao ya kidhalimu itajua haiju dadadeki kudadedeki acha vita ije haraka. Wakati wa kuukataa upumbavu ushafika. Tusubiri yajayo yana heri Wadiz
  4. JamiiForums Tanzania NHIF kaeni mbali na mchakato wa utekelezaji wa bima ya Afya kwa wote

    Wasalaamu wanaJF Herini ya Krismasi na maandalizi ya funga mwaka 2023. Leo tena ninarudi jamvini nikija na ushauri kuntu kwa wizara zote zinazohusika na afya pamoja na wadau wa sekta ya afya. Utambulisho Nirejee kwa kujitambulisha kuwa kwa miaka kadhaa kama raia, mwanaJF, mdau wa maswala ya...
  5. JamiiForums Tanzania Igunga: Wazee Wampongeza Rais Dkt. Samia kwa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote

    IGUNGA: "WAZEE WAMPONGEZA RAIS DKT. SAMIA KWA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE" Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa akiwasikiliza Wazee wa Kata ya Isakamaliwa kwenye Kikoa cha Wazee. Mhe. Ngassa (MB) ametumia siku ya Sikukuu ya Noeli (Krismasi) kuongea na Baraza la Wazee wa...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wote wangefanya kama huyu, kwa hakika ndoa zingedumu

    Maisha kwenye ground ni magumu, Kitu pekee tunakitazama na kukitamani kutoka kwenu ni faraja Tuungane pamoja kutazama video hi fupi.
  7. JamiiForums Tanzania Hivi nini kimemchukua mkuu wa UN muda wote hii hadi leo ndio analaani ugaidi uliofanywa na HAMAS

    Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS. Israel kamatieni hapo hapo piga....... ======================= UN Secretary-General...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo wote duniani wasiwe watiifu na kuacha kusherehekea krismas kwa kuomboleza Gaza kama wanavyofanya Bethelehem

    Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo. Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

    Hello guys, mnaendeleaje? Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala. Iko hivi; Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani inajifanya janja sana.Eti Israel iwamalize Hamas wote lakini ipunguze vifo vya wapalestina wengine.Hiyo si huruma bali ni kuakhirisha kifo.

    Siku za karibuni Marekani imejifanya ina huruma na wapalestina na huku anapeleka silaha na anahimiza Israel iendeleze kazi yake. Kuanzia raisi Biden ,Blinke mpaka wairi wa ulinzi Lord Austin wote wmejifanya wana huruma na kurudia ziara za mazungumzo ya siri na Israel.Wakiibuka hadharani wanasema...
  11. JamiiForums Tanzania Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) Chapinga kushirikishwa katika Mchakato Mzima wa Maoni ya "Bima Ya Afya kwa wote" Kama serikali ilivyosema

    Chama cha Madaktari Nchini Tanzania (MAT) kimepinga na kusema kuwa hakikushirikishwa kwenye mchakato wowote wa kuandaa,Kutoa maoni au Kushiriki katika njia yoyote ile ya mchakato huo. kinyume cha serikali inavyojinasibu kuwa Chama hicho kilishirikishwa kama Mdau Rasmi wa Afya.. Aidha Dr...
  12. JamiiForums Tanzania Ukikutana na mkeo lodge wote mnatoka unafanyaje???

    BAHATI HAKUWA MKE WANGU NI MKE WA KAKAYETU MMOJA MAJUZI KATI NILIENDA KUPUMZIKA LODGE MOJA SINZA NIKIWA NATOKA GAFLA NIKAONA NA YEYE KATANGULIZWA MBELE NA JAMAA AKAPANDA CRUISER MOJA MATATAA TULIPOANGALIANA TULIPEANA TU SMILEFACE NKAWAZA SANAA WAKEZETU HAWAA MMMH..MUMEWE N DEREVA WA...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Mgambo wengi wa Kariakoo muda wote wakati wa Kazi wao wanakuwa Wamelewa tu?

    Haya Wakubwa zao mlioko hapa JamiiForums itisheni Gwaride la Dharula usiku huu na mkimkuta Mmoja kavimba Uso, Jino lake moja la chini limelegea tayari kwa Kudondoka chini Ardhini na Mguu wake wa Kulia anauburuza jueni Mzanaki na Myao Mimi GENTAMYCINE nimetuma Salamu kuwa wacheze na Washamba kama...
  14. JamiiForums Tanzania Tupige kura: Ni mwanamke gani smart na mrembo kuliko wanawake wote humu jamvini?

    Ndugu zangu japo hatufahamiani, ila kwa komenti na posti mbalimbali humu jamvini unaweza kutambua usmart wa mtu bila kumjua. Naomba leo kwa uzoefu wetu tupige kura hapa ili na sisi wanajamvi tumvike taji la umiss mwanamke mrembo kuliko wote humu jamvini. Nitatoa zawadi ya tsh 10,000 kwa mrembo...
  15. JamiiForums Tanzania D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha Mzee Kikwete hakuna aliyehitimu ualimu au udaktari akakosa ajira. Wote walikuwa wanapangiwa tena unachagua pa kwenda

    JK tutamkumbuka sana kwa kweli alifanikwa sana kuifanya elimu iwe na mvuto kiasi wazazi wakawa wanaona fahari kusomesha maana ajira zipo tena na kumwaga ikapelekea mpaka watu wakipangiwa hawaendi mana Kuna uhakika kesho akitaka atapata tena. Nakumbuka pes za kujikimu kabla hujaanza kazi kwa mwl...
  17. JamiiForums Tanzania Biden asema yeye ni Mzayuni, hivyo mnalo enyi mnaotaka kuua Wayahudi wote

    Mpaka muifute jamii ya Wayahudi mbona shughuli...temaneni na hayo mawazo muishi nao kwa amani, hayo maagizo ya kwenye vitabu vyenu vya kidini kwamba muue Wayahudi wote yanawachoganisha tu na mnaishia kufa wenyewe, wale Mungu wao ni mkuu kuliko wa kwenu na aliwaokoa tangu enzi za manabii akina...
  18. B

    JamiiForums Tanzania WANAUME: Umewahi kukutana na mwanamke mzuri anayejiuza barabarani mpaka ukajiuliza pamoja na uzuri wote kakosaje mwanaume wa kumhudumia?

    Juzi kati nliingia chobiksi, katika harakati zangu za kusaka mbususu. Daah nlikutana mdada Mmoja huyo, alikuwa anajiuza barabarani halafu bei cheap, nilimla, yule mdada ana personality nzuri, ana tabasamu nzuri, nikashangaaa nkajisemea kweli humu duniani kuna uchawi, yani mdada kama yule...
  19. JamiiForums Tanzania Binadamu wote hatuna akili timamu

    Tunazidiana tu ukubwa wa changamoto hiyo. Uthibitisho tunaupata hapahapa.
  20. JamiiForums Tanzania Utofauti ni mazingira tu; English Medium/Private na St. Kayumba wote wanatoa elimu mbovu

    Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine. Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu. St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…