Msaada: Kila nikimnyonyesha mwanangu nafika mshindo. Hali hii ni kwa Wanawake wote?

BANENI TOM

Member
Dec 14, 2023
5
36
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
 
Aiseee! Hapo mumeo kibarua anacho😀
 
😂🤣😂

Uswazi, siku hiyo tunasubiri mihogo kwenye foleni, akatokea mdada mmoja, akwambia yule muuza mihogo.
"mama mihogo, niwekee mihogo haraka haraka mwenzio nina haraka.
Muuza mihogo.
" haraka ya nini, nawe mama nanii, si unaona foleni hii"
Mnunuzi,
"haraka namuwahi mwanangu"
Muuza mihogo.
"hebu nitokee, toto gani lishazeeka, toto LIKINYONYA linakutia nyege" 😂🤣

Hakuna ambae hakucheka. 😂🤣
 
Kwa mzazi wa kike hilo tatizo ilipaswa liwe kwa siku kadhaa za mwanzo baada ya kujifungua mfano, baada ya kujifungua na kumpa ziwa mtoto, huwa kuna reaction unapata kwa mara ya kwanza hasa ikiwa hukuwahi chezewa ovyo hapo kabla.

Na hali hiyo uendelea kwa muda mfupi ikifika hatua umezoeana na mtoto basi hisia uondoka, ila kama wewe zinaendelea hadi mtoto ana miaka kadhaa asee una tatizo hapo si bure ongea na mumeo kisha kamuone daktari au nesi wako!.
 
Nnachojua kuna bond btn mama na mtoto hasa pale anaponyonya,,,, kunakuwa na feeling flan flan ,,,, kiswaz tunasema maupendo kati ya mama na mtoto ,,,

Lkn hii ya kujikojoza ndo nasikia kwako,,,,bt ngoja waje wataalamu au wanawake wenzio walio-experience hii kitu
 
Hello guys, mnaendeleaje?

Nimekuwa nikisumbuliwa na tatizo la kujimalizia mwenyewe hasa pale nilipokuwa nikimynyonyesha mwanangu na hata sasa nikiwa nimempaka usiku wakati akiwa amelala.

Iko hivi;

Wakati namnyonyesha mwanangu Jesse wakati akiwa mdogo, huwa kuna kale ka-feeling mtoto kunyonya huku mkono mmoja kashika ziwa, kiukweli mimi ile hali nimekuwa nikijikojolea (kufika mshindo).

Hapo mwanzo nilidhani huenda ni mara moja tu ingeisha lakini kila nilipokuwa nikimyonyesha mwanangu lazima akianza kuchezea nyonyo najikuta najikojolea tena kojo haswaaa!

Ilifika wakati nikawa sikai nje kabisa wakati wa kumpa nyonyo mwanangu maana hali ilikuwa mbaya sana!

Kibaya zaidi hiyo hali imenirudia tena hadi muda huu ambapo mwanangu ana miaka 3, yaani ikifika usiku nikishamuosha nikampakata tu mikononi wakati anasinzia, najikuta ule muda nimempakata najikuta najikojolea (kufikia mshindo).

Hii hali huwa ni kawaida kwa wadada au kwangu uenda ikawa ni tatizo?

Tafadhali msinidhihaki na kunitukana, nipeni ushauri
Unakaa na mumeo?
 
Back
Top Bottom