wote

  1. W

    JamiiForums Tanzania House4Sale Kilasilo Guest House inauzwa

    KILASILO GUEST HOUSE INAUZWA Specifications; 9 rooms self contained zote Fence eneo lote + gate 840m² eneo Kisima (120m) maji muda wote Dawasco pia maji yapo Kutoka barabara kuu ni 600M LOC: MADALE MWISHO Bei 135M (Maongezi Yapo) Mawasiliano 0748 270 719
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali iwahamishe wakazi wote eneo la mlima Hanang Manyara

    Salaam, Shalom!!! Baada ya Kutokea maporomoko na maafa mlima Hanang, zimefanyika jitiada kadhaa kurudisha maisha ya Wahanga yarudi kama zamani. Tumeshuhudia pia mamlaka Jana zikireport tetemeko la ukubwa wa 4.7 , hizi zote ni dalili za kuja Kutokea mlipuko wa volcano halisi. Ninaiomba...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Huyu shekhe vipi, sisi waisilamu turudishe kadi za chadema halafu tuunge mkono kunakokimbiwa na wenye akili wote?

    Ni kuchanganyikiwaaa au vipi Watanzania siyo wajinga kiasi kwamba mtu mmoja mwenye masilahi yake na chama anachokipenda, halafu atuchonganishe na atufanye mazuzu kama alivyo yeye Watanzania kwa sasa ni werevu kwenye siasa pia kwenye masuala ya Dini, Watanzania wa miaka 20 iliyopita, si kama...
  4. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume kiuhalisia wanatufanya tuonekane wote ni wapumbavu hapa JF

    Wakuu habari za uzima? Unajua Jamii forums ni ni sehemu ya kuvuna maarifa, kuburudika, na hata kutengeneza marafiki na uhusiano miongoni mwetu. Ndugu zangu na wapendwa wote jamii forum, kuna baadhi ya mambo huenda yakawa yanachukuliwa katika hali ya utani lakini yakawa na madhara hasi pasi na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Uchumi jumuishi Tanzania sio rahisi kufikiwa na wananchi wote

    Naionea sana huruma nchi yangu ya Tanzania hasa wananchi wake ambao majority wanazama kwenye lindi la umaskini mkubwa. Sababu kubwa ya umaskini kwenye taifa hili, zipo nyingi ila kubwa kupita zote ambayo nitaielezea hapa ni; WIZI, UFISADI NA RUSHWA.  Yaani nchi itakuwa na rasilimali za...
  6. JamiiForums Tanzania UN yasema Walinda Amani wote wataondoka DRC mwishoni mwa 2024

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini humo ifikapo Disemba 2024. "Baada ya miaka 25 ya kuwepo, MONUSCO itaondoka kabla ya mwisho wa 2024,"...
  7. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Jan 23/24, Maandamano yahusishe wadau wote

    1. Kwamba tunataka katiba mpya? La mgambo limelia, haijalishi nani kaitisha. 2. Kwamba siku za nyuma kuna waliotutenda ndivyo sivyo, hayo yalikuwa mapungufu yao; hayatuhusu! 3. "Mwabukusi, Mdude, Buberwa, Sauti ya Watanzania, ACT, CHADEMA, TEC, BAKWATA, MAIMAMU, Masheikh, Maaskofu, nk; fursa...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuikataa CCM ni njia mojawapo ya kuelimika na kukataa kuwa furusa ya wana ccm wachache!

    Na hapa ifahamike kuwa, Kuwa Chama chochote cha upinzani, ni njia nzuri ya kukataa ujinga na kuwa sehemu ya furusa ya maccm Ujinga ni pamoja na kukubaliana mambo yenye kinyume na ukweli Hii njia, CCM wanaitumia sana! Utakuta kuna kamtu kamoja tu ambako kameifanya ccm kama ndio kenyewe ni...
  9. JamiiForums Tanzania HAMAS kuipiga Israel ni somo kali kwa watawala wote

    Hamas waliwezaje kuivamia Israel na kuua wanajeshi na kuwateka wayahudi zaidi ya 1000? Inajulikana kuwa Israel ni taifa lenye mifumo ya kisasa kabisa ya ulinzi ya kugundua na kupiga maadui lakini ni miezi 4 sasa inashindwa kufikia malengo yake kule Gaza. Israel imeikandamiza Palestine tangu...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Vyama vya Upinzani nchini Tanzania vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani?

    Ni utapeli unao fanywa na Vyama vya Upinzani nchini Tanzania kuwaaminisha watanzania kwamba vina uwezo wa kuitoa CCM madarakani wakati vinajua kabisa havina uwezo huo. Mtanzania kataa huo utapeli. # Come 2025, I will "Samia" my vote . What about u?
  11. S

    JamiiForums Tanzania Zama hizi wanawake wote wanaojiweza kiuchumi hawataki kuolewa

    Ni wanawake wasiojitambua na wenye vipato duni ndiyo wanaolewa wakidhani kwa kufanya hivyo ndiyo maisha yao yatakuwa rahisi. Hapa chini ni mifano michache ya wanawake wanaojitambua ambao wamekataa ndoa.:- 1. Salama Jabri. 2. Fatuma Karume. 3. Maria Sarungi. 4. Kajala. 5. Dinar Marios. 6...
  12. JamiiForums Tanzania Mbosso ndiyo msanii wa bongofleva mkali kuliko wote kwa live music. The best ever!

    Tangu mapinduzi ya muziki wa Tanzania yatokee kwenye miaka ya 1990 na kuzaliwa muziki wa kizazi kipya yani bongofleva kumetokea wasanii wengi hodari. Ila hajawai kutokea mpaka sasa msanii anaeweza kuimba live nyimbo au muziki wa bongofleva kumzidi Mbosso. Mbosso ni fundi wa live music. Anaimba...
  13. JamiiForums Tanzania Mambo mawili yanayoleta mjadala wote wa Katiba Mpya

    Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu. Jambo la pili, watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya...
  14. JamiiForums Tanzania Walianza nzi kisha wakafa wote, kisha akaingia panya naye akafa pasi na kuuawa.

    Kwema Wakuu! Moja ya matukio ambayo mpaka leo sijayapatia majibu ni pamoja na tukio lililotokea mwaka jana katika chumba changu(kwani nimepanga chumba kimoja) Nimeamka asubuhi nakuta kwenye mapazia nzi wametanda, ni wale nzi wakubwa wa chooni. Yaani ni wengi haswa. Wametoka wapi sijui. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Dkt. Adolf Mkenda, hakikisha watoto wote wanaingia shule

    Katika pita pita zangu huku na kule nimeshuhudia baadhi ya wazazi wakilalama hasa kuhusiana na vitu vidogo vidogo ambavyo vyengine vinahusiana na uwezo wa mzazi na vingine na vyeti vya kuzaliwa wengine wanakosa fedha ambazo mzazi hutakiwa kulipia hapa kuna viwango tofauti zipo shule hutoza 26000...
  16. JamiiForums Tanzania Hawa ndio watu 3 pekee wanaoendesha Tanzania wengine wote ni wafuata maelekezo!

    1.Rais wa Nchi, MHE. Samia Suluhu Hassan -Rais wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu -Yeye jukumu lake kubwa ni ku control hali ya Usalama na Siasa ndani na Nje ya Nchi 2.Dkt. Moses Mpogole Kusiluka-Katibu Mkuu Kiongozi -Yeye ni Katibu wa Rais na Mkuu wa Utumishi wa Umma-anaratibu shughuli zote za...
  17. JamiiForums Tanzania Alichosahau kuongelea Rais Samia siku ya mwaka mpya 2024: Fedha za kuendesha Mfuko wa Bima ya Afya kwa Wote zitatoka wapi?

    I. Utangulizi Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu za kuongoza utekelezwaji wake. Sheria hii ni mkakati wa kuipunguzia serikali mzigo wa kugharimia...
  18. X

    JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    GENTLEMAN OF 2024 FAHAMU [10] KUKUHUSU. 1. Kumwaga bao wakati unamuandaa mwanamke (foreplay) hata bado haujaingia Ukeni don't take it easy, hilo ni tatizo. 2. Kuwahi kumwaga kila round, angalau kwa round ya kwanza, ila kwa zinazofuata hilo ni tatizo, changamka. 3. Kuwahi kufika kileleni Kila...
  19. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli: Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana

    Happy New Year Watanzania wote na Mungu awabariki sana.
  20. JamiiForums Tanzania Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…