Niwatakie Mwaka Mpya Members wote hapa JF

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Sep 1, 2021
2,157
10,718
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Napenda kutoa shukurani za dhati kwa mkurugenzi wa JF Ndugu Maxence Melo kwa mwaka huu wa 2023 ambao tumeumaliza salama!,Kiukweli nimeanza na Mkurugenzi kwasababu kwa Mwaka huu wa 2023 huyu jamaa kwangu ndiye mtu bora kwangu,kitendo cha kuanzisha Shindano la #STORIES OF CHANGE kwa ajili ya kuwainua vijana si kila mtu anafanya!,Zipo media kibao hazifanyi hii kitu lakini huyu bwana ameendelea kufanya vema kwa ajili ya kuwainua vijana na kukuza ndoto za Vijana wengi,lakini pia kulisaidia taifa kwa ujumla!

Mimi pia nilishiriki lakini nadhani sikubahatika kuchaguliwa lakini nitashiriki mwaka mwingine na naamini nitafanya vema!

Pamoja na hayo,pia niwashukuru Members wote ambao wengi wenu mlinifahamu kupitia simulizi zangu ambazo zilikuwa sehemu ya maisha yangu!,Mungu awabariki sana!

Nawaahidi mwaka ujao sitowaangusha,nitawaletea simulizi zinazohusu maisha yangu kama kawaida ili Kuwaburudisha,kuwafurahisha,kuwatia moyo na zenye mafunzo!.

Mwezi Ujao Januari nitahakikisha nawatoa misongo kwasababu huwa ni mwezi wenye misongo kama yote!.

Kama kuna member nilimkosea naomba anisamehe,na kwa wale wote ambao walinikosea mimi nimewasamehe kwa moyo mweupe kabisa!

Pia nitoe shukurani kwa Moderators wote

Payge
Active
Mhariri
Paw
Boqin
Xyln
Diversity
BlackBold
NightCrawler
Bridger
YinYang
Moderator

Na wengine ambao sikuwatag,natambua mmekuwa na kazi ngumu mno ya kudili na akili za wapumbavu lakini hamkukata tamaa,Mungu awabariki sana na niwatie moyo kwa mwaka ujao ongezeni bidii!,JF iwe ni daraja la kuwapeleka kwenye mafanikio huko duniani!.

Nawapenda sana nyote!
 
Na kwako pia.
Uvuke mwaka salama UMUGHAKA wewe pamoja na familia yako
 
1704040993845.png

1704041013791.png
 
insha'Allah na wewe pia
 
Ngoja wakubonde ban ndio ujue kwamba hawa si watu poa
 
Na kwako pia brother vip ile Sparing ilikuwepo leo nahitaji kujua matokeo maana imetangazwa siku tatu hivi.. ..
 
Back
Top Bottom