Kwa upande wangu ilionivutia zaidi kuliko hata hii ya kijana wa kisukuma,msomi,Mtu mashuhuri Isaya yunge kumuoa mtoto wa Ruto,
Ilionivutia zaidi ni ile ya Mwamba wa kimasai kumuoa mtoto wa raisi mwinyi.
Na ambayo Haina mvuto hata kwa muonekano wao ni wale __ na __ (sijataja mtu), msije...
Kuanzia bakharesa, Azim Dewij , Yusuph Manji, Ghalib Mohammed na hata ukienda ulaya na duniani kote matajiri wote wawekezaji Katika soka wanapenda kubaki kama mashujaa nyuma ya camera, na sio kubwabwaja bwabwaja hovyo na kutafuta justification na public sympathy kama huyu muhindi mzaramo.
Au...
Nje ya hapo Africa kupata maendeleo ni nadri sanaa.
Wazungu wakikabidhiwa bara la Africa kama ambavyo livyo hivi sasa within 10yrs litakuwa very attractive and beautiful place to live.
Ukoloni Zanzibar haukuanzia kwa waingereza bali kwa walowezi waarabu wa Omani ambao walihamia zanzibar pamoja na ndugu ya sultani wao ambapo walimuweka akawa sultani wa zanzibar na kuanzisha utawala wa ukoloni wa kilowezi wa kiarabu.
Waomani hao wakatawala eneo la zanzibar na pwani ya afrika...
Pamoja na mabaya mengi ya Samia amesaidia kwa kiasi kikubwa kuwakuza viongozi wa Chadema na kukuza chama. Kitendo cha Chadema kutokuingia kwenye chaguzi fake zimeonyesha walikuwa sawa na ukweli Watanzania wanakubaliana nao. Yaani Samia alifanya makosa makubwa sana kupuuza Ushauri kabla ya...
Kutoka kwangu mwenyewe The Palm Beach
1. CHADEMA inawataarifu wana CHADEMA wote, wafuasi, wapenzi na wote wanaounga mkono mapambano dhidi ya uhuru, haki, demokrasia na utawala wa sheria ktk taifa na nchi yetu popote pale mlipo hapa nchini na duniani kote kwamba, tutakuwa na mapokezi makubwa...
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na Machawa waliosifia kila kitu alichosema/ kufanya)
Nyerere alifadhaisha sana wapinzani wa sera...
Kuna kipindi nilikuwa naamini kwamba ili watu wakukubali ni lazima uwe karibu nao, uwashirikishe kila jambo na uzingatie maoni yao. Nilikuwa nahofia kuitwa mbinafsi, mwenye maringo au mtu anayejiona. Kadri nilivyojaribu kuwafurahisha watu, ndivyo nilivyozidi kugundua kuwa huwezi kamwe...
Watanzania wote hawana msimamo mmoja, ila CCM ina msimamo mmoja. Lazima tujitizame, kwanini CCM wote wana mtizamo mmoja? na kwa nini Watanzania wote hawana mtizamo mmoja?.
Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya.
Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na
Bunge (Legislature)
1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
haki
haki za raia
halali
katiba
katiba mpya
kauli
kisiasa
kulinda
kusema
kutetea
makamu
makamu wa rais
mazingira
mpya
raia
rais
sana
ugaidi
viashiria
viongozi
watanzania
wote
Mliokuwa hamjui ni kwamba;
Moja ya hirizi ya uchawi wa CCM ulioteka na kuharibu akili za watu na kuwa kama mazezeta ni hii koroboi inayoitwa "Mwenge wa Uhuru..."
Godbless Lema wakati fulani aliwahi kusema, umefika wakati hiki kibatari kipelekwe na kutunzwa ktk makumbusho ya taifa kama...
Ndugu zangu Watanzania,
Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030.
Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
Meta muda wote wana process data hawalali , watumishi wa umma bado unasikilizia muamala tuuh hadi lini , ninaona post za walimu kama wote na nyingi sana .
Mi yangu mawili amua uwe na boss zaidi ya mmoja au endelea toa comment hapa jamii forum na mbaya zaidi boss wako haendeshwi kwa comment .
Kwanza nawashukuru wote mlionifikia inbobo na kunitumia jumbe mbalimbali za kunipongeza Kwa kua member mwenye nidhamu na utii kuliko members wengine hapa jukwaani, Hasa Katika kipindi hiki ambacho jukwaa limekumbwa na taharuki ya kinidhamu.
Mimi mwehu ndama nimekua nikionyesha Kwa maandishi...
Za jpili
Najua wengi waoga kutokana na matukio ya nyuma
Nawaza tu hivi aje dk kupima
HIv
humu
Member gani unahisi atakosa hiv kama mm... 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 😂 😆 endelea kucheka kama. Mazuri
Jpili njema kwa hisani ya mashabuki wa
🇪🇸
Lamal....
Nabii Msomi
Pdidy2026
Mimi ni mkulima wa Muda mrefu kidogo nalima viazi kama zao la urithi, parachichi na sasa nimeanza kulima kahawa( sijafanikiwa kulima kahawa kwenye kiwango kizuri) nadili na nafaka kwa kununua na kuuza.
Nimejaribu kufuatilia trend ya Bei ya mazao kwa Miaka kadhaa hadi nikamua kuanza kulima...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Sheria Tanzania (Law School of Tanzania), naomba kupaza sauti kuhusu uamuzi wa chuo kutangaza kuwa wanafunzi wote wa Kundi la 42 pamoja na Kundi la 40 waliokuwa kwenye marudio (Supplementary) warudie tena mtihani wa Written Practical Assessment (WPA)...
Anonymous
Thread
kukamata
law
law school
mitihani
school
udanganyifu
wachache
wanafunzi
wote
Huwa tunapenda sana kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu. Hata hivyo majibu ya namna hiyo hayatibu ugonjwa.
Mtaji wa kwanza wa chama cha siasa ni wanachama waaminifu ambao wapo tayari kukitetea, kukilinda na kukipigania chama chao.
Tafakari, kama chama viongozi wake, wanaweza nunuliwa kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.