Je, Taifa moja linaweza kuwa mbumbu wote?

Je, Taifa moja linaweza kuwa mbumbu wote?

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
900
Reaction score
3,110
Jibu ni ndiyo, hii inaanzia katika familia unaweza kuta familia moja ya watoto 8 wote wakawa vilaza, inaenda mtaa wote ni vilaza, unaenda wilaya wote ni vilaza, unaenda mkoa wote ni vilaza, unaenda nchi nzima wote ni vilaza

Najua vilaza wenzangu mtakuja kunishambulia,

Hebu tufananishe taifa na taifa toa mfano wako mwenyewe hapo
 
If you want to change the World,
go home and love your family.

Mother Teresa.
 
Back
Top Bottom