wote

  1. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Alie tunga wimbo " ALISEMA NYERERE VIJANA WOTE MLEGEA " ni Genius wa viwango vya juu sana. Wapinzani wanapaswa kujifunza kwa huyu mwamba.

    Wimbo uliimba " ALISEMA ALISEMA ALISEMA. NYERERE ALISEMA, VIJANA WOTE MLEGEA SHARTI TUANZE MCHAKAMCHAKA CHINJA CHUKUA CHINJA CHUKUA". This was a Diss to Nyerere Ila watu wengi hawajui kwa sababu they don't listen. Wakati Nyerere anatoa hiyo kauli wengi wetu hatukuwepo au hatukumsikia live...
  2. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Well done JWTZ kwa kuwaondolea wananchi mashaka ya kiusalama na kuwahakikishia Amani na Utulivu wa kudumu waTanzania wote.

    Ama kwa hakika mmesimama vema na imara kwenye nafasi yenu, na mnatekeleza wajibu wenu wa kikatiba kwa weledi wa kiwango cha juu sana na kisasa zaidi. waTanzania wana imani kubwa na utendaji kazi wenu wa viwango, na baada ya taarifa yenu maalumu juu ya hali ya kiusalama nchini, imani ya wananchi...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hii ni Lushoto Karibu kwa uwekezaji wa KILIMO Cha umwagiliaji mda wote,

    Kijiji cha Lunguza Kata ya Lunguza Wiraya ya Lushoto Mashamba yapo 0772582186, bei Kati ya laki na nusu, laki mbili mpaka laki tatu kutegemeana na shamba , yapo ya kumwagia kwa pump na yapo ya kutumia maji yanayotoka mlimani bila pamp ,
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  5. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Je, anguko la kijamii, kisiasa na kiuchumi la Mzee Wilbroad Peter Slaa ni fundisho kwa wasaliti wote?

    Ama kwa hakika, mkataa pema pabaya pana muita. Mzee huyo baada ya kujilimbikizia fedha na mali za kutosha akiwa kuhani wa kanisa, akaisaliti nadhiri yake ya sakaramenti ya upadre na kuachana na kazi ya uinjilishaji na kutimikia kwenye sakaramenti ya ya ndoa, kwa tamaa za mwili. Akiwa huko...
  6. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya uhuru, umeme ni WA grid ya Taifa unakatika masaa 5, usalama wa nchi u wapi?mwizi wa RASIRIMALI akiukata anatuua wote

    Miaka 60 ya kujitawala, Taifa linategemea umeme wa Grid ya Taifa Ikipata itilafu kama ya Jana Taifa Zima kasoro ikulu tunakuwa gizani. Kwa Nini kila mkoa usiwe na CHANZO chake cha kuzalisha umeme IKITOKEA IMEKATIKA mkoa unawash? Mwizi wa RASIRIMALI alkipitia hapo si atatumaliza wote kasoro ikulu?
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanasiasa mashuhuri kuliko wote Tanzania yupo Gerezani!

    Mwanasiasa mzalendo na anaependwa kuliko wote yupo jela. Hilo ni tatizo kubwa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wabunge Wote Wangeruhusiwa kuendelea Kupewa vibali kufanya Mikutano ya Hadhara Majimboni Mwao ili kupokea kero za Wapiga Kura wao na Kutoa Mrejesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Maoni yangu na kwa Ushauri wangu katazo la kufanya mikutano yote ya siasa kwa vyama vyote vya Siasa hapa Nchini lisingewagusa Wabunge wa Majimbo. Wabunge wote kutoka Majimbo yote Bara na visiwani wangeendelea kupewa Vibali vya kufanya Mikutano Majimboni Mwao...
  9. Nomadiq

    JamiiForums Tanzania Jaribu hiki kitu: Kinatokea kwangu tu ama ni kwa wote?

    Habari wakuu Katika pita pita zangu YouTube kuna kitu cha ajabu kinatokea mwenye ufahamu aweke hapa. Ukisearch video yenye urefu wa kuanzia masaa mawili kwenye PC au kwa kuwasha Desktop site kwenye chrome, kisha uiplay na uedit link inayotokea pale juu kwenye search. Kwa kuondoa herufi t...
  10. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Tanzania hata mwenyekiti wa mtaa anataka ashinde ofisini muda wote badala afanye kazi zingine haya sasa ToneTone imekoma leo rasmi.

    Hii mentality ya kuishi kupitia siasa kula kupitia mikutano ya Hadhara ifikie mahali iondolewe hasa kwa hawa wanasiasa wanaotegemea wale kupitia kapu la donation. Wewe mwanaume unaishije kwa kutembeza kikapu? Ipo siku utajiuza kwa mabeberu ila mostly mmeshajiuza Mfano wewe kama mwenyekiti wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina?

    Nuhu aliwezaje kuwatambua wanyama wote na kuwaingiza kwenye Safina? Biblia inatuambia kuhusu kazi aliyopewa Nuhu, ya kuviingiza katika Safina, viumbe virukavyo, vya kiume na vya kike kwa jinsi yake, na kila namna ya wanyama wa kiume na wa kike kwa jinsi yake. Kitabu cha Mwanzo 7: 2 “Katika...
  12. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Haya ndio mambo yangetokea kama watanzania wote wakiwa CCM

    Wakuu, maafande wi Baada ya kushiba kipolo cha wali na chai ya maziwa hapa nimewaza mambo mengi sana ... Hebu fikiria kama watanzania wote million 70s tungekuwa na ideology au tungesuport falsafa za chama tawala .....bila upinzani nafikiri Tanzania tungekuwa mbali zaidi kiuchumi hapa Africa Kwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sababu 5 za msingi za muda wote

    1. Chama husika hakina uhusiano wa asili na TANU,chama hiki kilianzishwa 7/7/1954 2. Ukinzani wa malengo.TANU kilipigania uhuru wa Tanganyika,Chao kuleta vurugu na umwagaji wa damu. 3. Wajumbe (viongozi) wao hawana uhusiano wowote (hata wa damu) na wale waliokuwa TANU (waasisi wa Taifa letu)...
  14. C

    JamiiForums Tanzania SISI WOTE NI WABAYA KWA NAMNA MOJA AMA INGINE-WE ARE ALL EVIL

    Habari wanajf, Nimekuwa nikitazama mambo jicho la nini ni sahihi na sio nani ni sahihi? Na kufahamu sababu yeyote ile inayokufanya kuwa sahihi (in moral sense) ,ndio sababu hiyo hiyo inayokufanya usiwe sahihi. Kwa sababu ili jambo liwe Zuri kwako inabidi likufurahishe wewe? Lakini tunasahau...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wafungaji Bora wa Muda wote katika World Cup mpaka kufikia leo Juni 17, 2026

  16. Sanctus Libela

    JamiiForums Tanzania Dada zetu mnaopanda daladala mnatuboa

    Leo nilikuwa naenda town, bahati mbaya gari nililosimamisha lilikuwa limejaa. Sasa bhana kuna Mdada mwenye Makebo Makubwa akawa amesimama mbele yangu. Sasa Gari likaondoka ee bhana ya Mungu mengi, kutokana na msongamano, akawa ananigusa mara kwa mara kila gari lilipopiga breki au kuondoka...
  17. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Sio binadamu wote wanajitafakari, kufikiri ni kipaji

    Ni kazi kubwa kumkomboa mtu anayefikiri kuna mchawi wa maisha yake kumbe mchawi ni yeye mwenyewe kayakoroga, mtu wa aina hii ni ngumu kuyatatua matatizo yake .
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi bora cha Brazil cha muda wote hiki hapa

    Hiki ndicho kikosi ambacho watu wengi wanasema kuwa ndio kikosi bora kabisa cha Brazil cha muda wote. kikosi hiki ndicho kilichobeba kombe la dunia mwaka 2002 huko korea dhidi ya timu ngumu ya Ujerumani kwa magnolia 2-0 yaliyofungwa na Ronaldo og. Katika mashindani hayo Ronaldo akiwa katika...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Kuna siku ukweli wote utajulikana wazi kuhusu kifo cha Nyerere, lakini kwa wenye akili alichosema Jenerali Ulimwengu kinatosha

    Kuna mambo mawili ambayo wenye akili wanayatafakari sana: 1. Nyerere alikuwa ameshaamua Mkapa asingekuwa raisi wa awamu mbili 2. Nyerere angekuwa hai, Kikwete asingekuwa Rais, maana alimshamkataa katakata 3. Mkapa alimwambia Kikwete waziwazi, kwamba kwa mazingira yaliyopo mimi nisipokuwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi anazidi kukubalika na kuonekana ana busara kuliko wanachama wote wa CCM

    Nipo kwenye basi natoka Chato na kuelekea huko ninakokwenda. Nimefika Bwanga nikaanza kujiuliza juu ya hili suala.
Back
Top Bottom