Kusini pride JF-Expert Member Joined Nov 19, 2022 Posts 1,762 Reaction score 4,077 Apr 5, 2024 #1 Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Wakuu nina swali je kuchukua pesa ya serikali ni Wizi na ni dhambi? Na je pesa za serikali zina mwenyewe?
Pekejeng JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 831 Reaction score 2,239 Apr 5, 2024 #2 Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Mali ya umma ni kwa maendeleo ya umma na si binafsi, kunawananchi wanahenyeka kwa kukamuliwa kodi ili kuhudumia nchi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 44,769 Reaction score 132,314 Apr 5, 2024 #3 Ni wizi kama wewe siyo kada wa ccm.