wizara ya ardhi

  1. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Pinda: Makamishna wa ardhi, kutaneni kupanga mikakati ya utekelezaji wa bajeti

    TABORA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Makamishna wa Ardhi Wasaidizi wa mikoa nchini kuhakikisha wanakutana na kufanya tathmini na kuweka mpango kazi wa utekelezaji Bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa mwaka wa fedha 2024/2025. Mhe. Pinda ametoa...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yaendelea kutoa huduma za ardhi maonesho ya Sabasaba, Dar es Salaam

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inaendelea kutoa huduma za ardhi kwenye Maonesho ya 48 ya Bishara ya Kimataifa (Sabasaba) yanayoendelea katika viwanja vya Mwl. Julius Nyerere, Temeke jijini Dar es salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aagiza kila Taasisi ya Umma kutenga Fedha katika bajeti ili kulipa fidia za ardhi

    DODOMA: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amezielekeza Taasisi zote nchini kutenga Fedha katika Bajeti zao kwaajili ya kulipa fidia kabla ya kuanza zoezi la utoaji wa Ardhi kama inavyoelekezwa katika Waraka wa Uthamini wa Fidia namba moja wa Mwaka 2024 - Kauli ya Waziri Mkuu inakuja wakati ambao...
  4. Brojust

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi Dar es Salaam, kitengo cha hati za kawaida

    Salaam wadau wa maendeleo! Najua wizara ya ardhi mnafanya kazi kubwa sana tena sana, Hongereni sana; Licha ya changamoto mbali mbali mnazopitia ila naomba wakuu wa idara basi angalieni utendaji wa kitengo cha kuchukua hati za kawaida. Haiwezekani kwenye system hati inaonekana imetoka alafu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mageuzi ya kimfumo na kiteknolojia yanahitajika katika Wizara ya Ardhi ili kukabiliana na kero za ardhi

    Wizara ya ardhi ni miongoni mwa sekta nyeti sana ambayo mtu yeyote anayepewa nafasi ya kuiongoza wizara hii hapaswi kucheza nayo hata kidogo mathalani viongozi wa vijiji na watendaji wote katika mipaka yao wanapaswa kutambua madhara ambayo yanaweza kujitokeza endapo hawatatilia mkazo juu ya...
  6. 3

    JamiiForums Tanzania Kujua hatma ya wananchi kupewa hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni na Wizara husika

    Mhe Jerry Silaa Waziri wa Ardhi, nyumba, maendeleo na makazi tunaomba kujua hatma ya kupewa HATI kwa wananchi walionunua viwanja vya mradi wa Tundwi Songani vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni mwaka jana. Wizara husika imeweka zuio la kutoa hati kwa wananchi waliokwisha maliza kununua...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wizara ya Ardhi tatueni huu mgogoro unaozuia wananchi kupata hati ya viwanja vya mradi wa Tundwi Songani uliotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni

    Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja tumezuiwa kupewa hati zetu kutokana na mgogoro uliopo baina ya Wizara ya Ardhi na mhusika wa eneo...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kilio chetu kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi pamoja na Wizara ya Nishati

    Sisi ni Wataalamu 183 tulifanya kazi ya Uthamini katika uhamishaji wa wananchi kwenye Mradi wa GN 754 Mbarali Mbeya ambao ulikuwa unahusisha Wananchi kuhamishwa Ili kupisha hifadhi ya Ruaha na Bonde evu la Ihefu. Waheshimiwa Mawaziri wa Wizara ya ardhi Jerry Silaa na Mhe. Waziri na Naibu Waziri...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya Nusu ya Bajeti ya Wizara ya Ardhi itatumika kwenye Matumizi ya Kawaida

    DODOMA: Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imewasilisha Bungeni Bajeti ya Tsh. Bilioni 171,372,508,000 kwaajili ya Matumizi yake kwa mwaka wa Fedha 2024/25 ambapo zaidi ya Nusu ya Bajeti (Tsh. 93,930,673,000) imeelekezwa katika Matumizi ya Kawaida Pia, Wizara imeomba kiasi...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Usifanyie lamination hati yako ya umiliki wa ardhi. Tuhifadhi vipi hati zetu za umiliki wa ardhi zisichakae?

    Wizara ya Ardhi inakushauri usijaribu kufanyia lamination hati yako ya umiliki wa ardhi kwa sababu inaweza kukwamisha wakati wakuuza ardhi husika, kukopa au kufanya transfer yoyote. Ndugu wananchi tunaomiliki ardhi tuchukue ushauri huu na kuufanyia kazi una manufaa makubwa kwetu wamiliki na...
  11. D

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Rais Samia tupia jicho Wizara ya Ardhi Kanda ya Dar es Salaam, unahujumiwa

    Kwanza Kabisa nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya ya kuwaletea Maendeleo wananchi wako wewe Binafsi Mh. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan bila kujali ni kwa kiasi gani unaangushwa na baadhi ya wasaidizi wako. Sasa sikia haya na uyafanyie kazi. Miezi kadhaa iliyopita Waziri wa Ardhi Nyumba na...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Juliana Masaburi Aibana Wizara ya Ardhi Kuhusu Kutumia Fedha za Kigeni Katika Malipo ya Upangishaji Nyumba

    MBUNGE JULIANA MASABURI AIBANA WIZARA YA ARDHI KUHUSU KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KATIKA MALIPO YA UPANGISHAJI NYUMBA Mhe. Juliana Didas Masaburi, Mbunge wa Viti Maalum, ambaye swali lake namba 15 kwa niaba limeulizwa na Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini, Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo...
  13. SAFCo_Academy

    JamiiForums Tanzania (Tanzania) Clean up your data headaches! Jump into Power Query training and see how it can make your data work way easier.

    Why Choose Power Query Training with Us? Hands-On Learning: Our training is practical and hands-on, ensuring you gain real-world skills that you can apply immediately. Expert Guidance: Learn from experienced instructors who will guide you through the ins and outs of Power Query. Supportive...
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Wakandarasi wa barabara (Nyanza Roadworks) hawafukii mashimo walipochukua vifusi, maeneo ya Iyumbu, Block C, Dodoma na kusababisha HATARI

    Habari, Tunaomba ushauri ili tupate msaada kutoka kwa mamlaka husika. Mimi ni mmoja wa wakazi wa Block C, Iyumbu West, Dodoma. Tuna changamoto ya mashimo / makorongo makubwa yaliyochimbwa na kampuni ya Nyanza Roadworks wakitafuta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara, na mpaka sasa...
  15. PureView zeiss

    JamiiForums Tanzania Ni mawaziri wangapi wanaweza kukataa rushwa ya Tsh milioni 300?

    Naweza kumpongeza mh waziri jerry slaa Kwa uthubutu wake wa kukataa rushwa ya milioni 300 ingawa sina uhakika kama amekataa kweli! Ingawa wabongo ni wagumu muda mwingine kuelewa na kukubali hii statement ya slaa lkn bado kwangu Mimi naweza kumuamini aliyosema pia wapo baadhi ya wamaziri wenye...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Lukuvi ndiye aliitendea haki wizara ya ardhi

    Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi. Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi za Kanda. Haikupita muda akashusha mpk ofisi za mikoa. Kaingia Angelina Mabula akataka kuendeleza...
  17. ZVI ZAMIR

    JamiiForums Tanzania Ombi Kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kufuatilia kwa ukaribu Baraza la ardhi Sumbawanga

    Mabaraza yaliyowekwa na hii wizara ili kutatua migogoro kwenye ardhi na sio migogoro ya kifamili kwa sehemu kubwa yamefanyika kuwa kero kwa wananchi haswa wenye uhalali wa umiliki wa ardhi kwa viongozi husika kuendekeza rushwa sanaa.(Sijui posho zao haziwatoshi) Kumekuwa na ucheleweshaji wa...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Dar: Mtumishi wa Wizara ya Ardhi akutwa na hatia ya Matumizi mabaya ya Madaraka na Kughushi Nyaraka

    Mahakama ya Wilaya ya Ilala imemkuta na hatia ya Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kughushi Nyaraka, mtumishi wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi aliyetambulishwa kwa majina ya Melchiory Rutayuga Mukandala. Keshi hiyo iliyowasiliswa na Jamhuri kupitia Taasisi ya Kuzuia na...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kupata hati wizara ya ardhi inachukua siku ngapi?

    Nina ardhi yangu iko mkoa wa Dar es Salaam haijapimwa bado. Je, process za wizara ya ardhi kukupimia zikoje?
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ndaisaba Ruhoro aitaka Wizara ya Ardhi kupitia upya Sera na Viwango vya Fidia kwa Wananchi

    "Mgogoro wa Ardhi baina ya kijiji cha Rusumo na Gereza la Rusumo, mgogoro ulioletwa na Afisa wa Ardhi ambaye Mamlaka yake ya kinidhamu yapo chini ya Wizara ya Ardhi." - Mhe. Ndaisaba George Ruhoro, Mbunge wa Jimbo la Ngara "Afisa kwa kushirikiana na viongozi wa Gereza la Rusumo walikwenda...
Back
Top Bottom