wizara ya ardhi

  1. B

    JamiiForums Tanzania Kodi ya ardhi hulipiwa Halmashauri au Wizara ya Ardhi?

    Wakuu naomba mnijuze kuhusu hizi kodi za ardhi zinalipiwa wapi kwa sasa maana nikiingia kwenye website ya WIZARA Wana mfumo wa kulipia na huko HALMASHAURI wana utaratibu wao?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi imulikeni Mtwara Mjini

    Wanajamii forum nawasalim, Naiomba wizara ya Ardhi na Maendeleo Ya Makazi waumulike Manispaa ya Mtwara. Mimi ni mhanga katika ufisadi ambao unaendelea pale ofisi ya ardhi jirani ma BOT. Nilikuwa nahitaji kulipia kiwanja changu. Lakini kila nikipewa control number inasoma jina ambalo silo la...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Wizara ya Ardhi imeshindwa kutatua kero za wapangaji nchini?

    Zaidi ya asilimia 80 ya wananchi hasa mijini wanaishi nyumba za kupanga. Kwa mji kama DSM ambapo bado kuna uhitaji mkubwa wa makazi bora, watu hutumia zaidi ya robo ya vipato vyao kulipia kodi za nyumba kila mwezi, lakini cha kushangaza, serikali haioni unyeti wa kuingilia na kusimammia sehemu...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Naomba tujadili kuhusu Ada ya upimaji viwanja

    Habari Wadau wa JamiiForums, leo nawaletea hoja ambayo imekuwa changamoto hasa kwa wananchi kuhusu tozo ya upimaji wa ardhi katika maeneo mengi Tanzania. Kuna maeneo ambayo yamepimwa na Halmashauri na baada ya Halmashauri husika kushindwa kulipa fidia kwa Wananchi, Uamuzi ulitolewa wananchi...
  5. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Utangulizi Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Zoezi la Urasimishaji wa Ardhi - namna zuri ya kuliongezea uharaka na ufanisi

    UTANGULIZI: Kwa muda sasa serikali imetangaza kuendelea na zoezi la urasimishaji ardhi kwa maeneo yasiyopimwa (squatters). Kufanikisha hilo, serikali imekuwa ikishirikiana na makampuni binafsi ya ardhi kufanya sehemu kubwa ya kazi hizo. Watu katika kampuni hizo wanalipwa kutoka kwa michango ya...
Back
Top Bottom