wizara ya ardhi

  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Tuvunje Wizara ya Ardhi na Tamisemi tuwape Wazungu

    Kielelezo cha kufeli kwa Mtanzania au kufeli wa Serikali ya Tanzania ni kwenye Wizara mbili 1. Wizara ya Ardhi 2. Wizara ya Tamisemi. Kila nikienda majiji makubwa kuanzia Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na hadi Dodoma nasikitika kwa kuona Nchi hii imefeli kwa sehemu kubwa sana kwenye...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania BURE; Jinsi Ya Kutumia GPS App Kwenye Simu Janja Kupata Vipimo Vya Shamba/Kiwanja

    GPS (Global Positioning System) ni teknolojia ya kisasa inayotumika kupima na kupata vipimo vya eneo au kiwanja kwa usahihi. Kwenye simu janja, unaweza kutumia programu za GPS ili kupata vipimo vya kiwanja chako. Hapa chini ni hatua kwa hatua jinsi ya kutumia GPS App kwenye simu yako janja...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo 30 Muhimu Kwenye Kuandaa Mikataba Ya Upangishaji Wa Hosteli Ya Chuo

    Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli. Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo. Hapa kuna sheria 30...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo

    Kwanini Unahitaji Mastermind Group Ili Uweze Kupiga Hatua Kubwa Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi au Majengo Katika safari ya uwekezaji kwenye majengo, kuwa na Mastermind Group ni muhimu sana kwa sababu ya faida nyingi ambazo kundi hili linaweza kuleta. Mastermind Group ni kundi la watu wenye malengo...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mawaziri Ndejembi, Bashungwa ziarani korea kusini

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa pamoja na Maafisa wa Wizara hizo Septemba 07, 2024 wamewasili jiji la Seoul nchini Korea Kusini na kupokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Mhe. Togolani Mavura kwa...
  6. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yahitimisha mafunzo ya viashiria hatarishi vitakavyosaidia katika utekelezaji wa majukumu

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imehitimisha mafunzo ya siku tatu kwa watumishi wa wizara hiyo kuhusiana na viashiria hatarishi. Mafunzi hayo yamefanyika jijini Dodoma yakihusisha Wakuu wa Idara na Vitengo pamoja na Waratibu wanaosimamia masuala ya viashiria hatarishi kwenye...
  7. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Mhandisi Sanga akagua eneo la Samia Arusha AFCON City

    ARUSHA Katibu Mkuu wzara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga amekakagua eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC). Eneo hilo lenye ukubwa wa ekari 4,555.5 lipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha na limepakana na miradi miwili ya viwanja...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi kurasimisha mitaa 13 ya Mji wa Kondoa

    KONDOA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inatarajia kutekeleza mradi wa urasimishaji makazi holela kwenye mitaa 13 ya Mji wa Kondoa mkoa wa Dodoma. Hayo yamebainishwa tarehe 21 Agosti 2024 na Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda wakati wa ziara ya...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ilemela yapongezwa kwa kutekeleza Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha Ardhi

    Kamati ya kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa – TAMISEMI ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Justine Nyamoga imeipongeza Halmashauri ya wilaya ya Ilemela kwanamna ambavyo imetekeleza kwa mafanikio makubwa Programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha Aridhi katika Halmashauri...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yatakiwa kusimamia maazimio ya Bunge

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi Maliasili na Utalii imeitaka wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuendelea kusimamia maazimio ya Bunge ili kutoa huduma bora kwa Watanzania. Hayo yameelezwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo na Timotheo Mzava jijini Dodoma Agosti 20, 2024 wakati wa uwasilishaji...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zilizokopa fedha kutekeleza Mradi wa KKK zatakiwa kurejesha

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetoa semina kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya TAMISEMI kuhusu Mradi wa Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK) unaotekelezwa katika halmashauri mbalimbali nchini kwa fedha zilizotolewa na Wizara hiyo. Akizungumza na wajumbe wa Kamati pamoja na...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Ardhi wametakiwa kuwahudumia Watanzania kwa weledi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Idara ya Maendeleo ya Makazi pamoja na Idara ya Upimaji na Ramani Agosti 13, 2024 ambacho kimefanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma. Soma Pia: Waziri Ndejembi ataka uadilifu na...
  13. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wizara ya Ardhi, huu usajili mlioutoa kwa kwa kampuni ya KMM ni kwa faida ya nani?

    Vitendo vya utapeli vinavyofanywa na kampuni ya KMM LAND USE CONSULTING CO.LTD, yenye namba ya usajili 0359-T0218, iliyo na ofisi Sinza - Dar es Salaam. Kampuni hii ilipewa kibali cha upimaji katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, lakini imeshindwa kutoa huduma kwa wananchi kwa mujibu wa...
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mtumishi huyu idara ya Ardhi Halmashauri ya Jiji Ilala anapaswa kuwajibishwa kwa vitendo anavyofanya

    Kumekuwa na kero Halimashauri ya jiji la Ilala kitengo cha Ardhi kinachosababiswa na huyu mtumishi mmoja Huyu mtu amekuwa akitumika kwa maksudi kuminya haki za Wananchi kupata Hatimiliki. Amekuwa akishirikiana na maeneo ya upimaji ambayo baadhi yake yanamilikiwa na walimu wake waliomfundisha...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi itoe mrejesho wa mashamba pori ambayo Rais aliagiza wananchi wagawiwe

    Nimeona katika mitandao, SSH atakuwa mkoa wa Morogoro, ungependa uongozi wa mkoa huo utoe mrejesho gani kuhusu utendaji wa serikali? Mimi naona apewe mrejesho kuhusu mashamba pori yaliyorudishwa kwa wananchi, kama walipewa hati, au laa, iwapo ilifanyika kazi ya kupanga matumizi bora ya ardhi...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi, taifa linasubiri uchambuzi wa kitaalamu unaotokana na data mlizokusanya katika kliniki zenu, mje na suluhu ya kudumu

    Kliniki za ardhi, walau kwa kiasi fulani, hazitarajiwi kuwa suala la kudumu. Zitumike kutambua chanzo cha tatizo, na wizara iwasilishe andiko la kitaalamu kuhusu hasa kilichotufikisha hapo, na ikiwezekana lisomwe kwa watu wote, likiwa na mapendekezo ya suluhusho. Mapendekezo hayo yarejeshwe...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi Ataka Watendaji Ardhi Kuondoa Urasimu na Kutoa Hati kwa Wakati

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Deogratius Ndejembi amewataka Menejimenti na watumishi wa Wizara ya Ardhi kuondoa urasimu na kutoa hati milki za ardhi kwa wakati. “Tuondoe urasimu, kama mtu ana nyaraka zote zinazohitajika, tuwape hati zao na tukumbuke sisi ni watoa huduma kwa...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bring back Jerry Silaa Wizara ya Ardhi

    Sijawahi kuipenda CCM tangu uchaguzi wa kwanza wa mfumo wa vyama vingi wa mwaka 1995 kipindi hicho nakumbuka nilikuwa darasa la tano. Lakini nilikuwa navutiwa na utendaji wa baadhi ya viongozi wa serikali ya CCM katika idara mbalimbali mfano wa viongozi hao wa chache ni Lyatonga Mrema, Samuel...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Niliumia alipotenguliwa Makonda kwenye nafasi ya Katibu muenezi, leo hii nimeumia tena kuhamishwa Jery Slaa kutoka Wizara ya Ardhi

    Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Jery Slaa ni miongoni mwa Mawaziri walio fanya kazi kubwa ya kuwatetea wanyonge walio dhulumiwa haki zao za umiliki wa ardhi/viwanja/nyumba na matajiri wenye mipesa. Hakika Jeri alikiwa mwiba mkali kwa matajiri matapeli. Wananchi wanyonge tunamlilia Jery Silaa...
  20. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Dar: Wizara ya Ardhi yatoa Hati Miliki 1,134 katika maonesho ya Sabasaba

    Hati za umiliki wa ardhi 1,134 zatolewa Sabasaba 2024 Wananchi wa Dar es Salaam, Dodoma na Pwani wafurika kupata hati zao. Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imetumia fursa ya Maonyesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam kuandaa, kusajili na kutoa Hatimiliki kwa...
Back
Top Bottom