wizara ya ardhi

  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Sanga ahoji matumizi ya mkopo wa Bilioni 350 Bajeti Wizara ya Ardhi

    MHE. SANGA AHOJI MATUMIZI YA MKOPO WA BILLION 350 BAJETI YA WIZARA YA ARDHI Mbunge wa Jimbo la Makete Festo Sanga ameishauri Serikali kuacha kutenga fedha za dharula badala yake fedha hizo za dharula zielekezwe katika kutekeleza miradi Sanga ameyasema hayo Bungeni wakati akichangia hoja kwenye...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi Kutoa Hakimiliki za Kimila 520,000 mwaka 2023/24

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka wa fedha 2023/24 imejipanga kuandaa na kutoa Hati za Hakimiliki za Kimila 520,000, Hatimiliki 500,000, Hati za Sehemu ya Jengo 1,000 na itasajili Miamala ya Hatimiliki na Nyaraka za Kisheria 100,000. Taarifa hiyo imetolewa leo bungeni...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Programu Tatu Ambazo Zitakusaidia Kuboresha Uwekezaji Kwenye Ardhi Na Majengo

    Habari rafiki, Naitwa Aliko Musa. Mimi ni mwandishi na mbobezi kwenye mambo ya uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Nimeweka shabaha kwenye kuwezesha watu kujenga utajiri au kutunza fedha zao kupitia ardhi na majengo. Ninawafikia wateja wangu kwa njia kuu ya kuwashirikisha makala kupitia blogu...
  4. R

    JamiiForums Tanzania OMBI: Rais Samia mrudishe William Lukuvi Wizara ya Ardhi

    Kama makosa msamehe. Binadamu wote tuko fallibe. Aliteleza lakini hakupashwa kuangushwa. Wizara ya Ardhi uoxzo ulipungua by 90%, sasa umerudi by 99% Tuma wajumbe wako watakupa taarifa za uozo ardhi Lukuvi aliimudu sana.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

    Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati. Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua? Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Serikali kupitia Wizara ya Ardhi yatoa Orodha ya Viwanja Vilivyobatilishwa na Rais

    Kamishna Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi anawatangazia wanachi kuwa wamiliki wa viwanja na mashamba kwenye orodha hii milki zao zimebatilishwa kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi No. 4 Sura ya 113 kwa amri ya Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania kuanzia tarehe 3 na 8 Agost 2022...
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Walaghai na matapeli wote ambao mmeigeuza wizara ya ardhi dar kama chaka lenu achaneni na kazi hizo ni lockup tu.

    Nipende kumpongeza kamishna mpya ambaye amekuja kwa ajili ya mkoa wa dar na pwani, MR. LEO, dhamira yako njema ya kubadilisha taswira iliyokuwepo na kujenga mtazamo mpya inaonekana waziwazi, hongera kwa mfumo wako mpya ambao umeuweka hakika wengi wataumbuka, pia nafurahi ya kuwa umetambua vizee...
  8. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya waziri wa Ardhi kuhusu ulipaji wa kodi ya pango la ardhi na maduhuli mengine ya sekta ya ardhi 7 Februari 2023

    Ndugu, Waandishi wa Habari Mtakumbuka kuwa katika Mwaka wa Fedha 2022/23, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassani alitoa msamaha wa riba ya malimbikizo ya pango la ardhi ambapo wananchi walio na malimbikizo walipewa nafuu ya kulipa deni la msingi ili wasamehewe...
  9. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Kashfa kubwa Wizara ya Ardhi: Bilioni 375 zatumika kugharamia semina na uratibu

    BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara. Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
  10. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Rais wetu Samia, turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi. Kwa sasa ni mateso, kiburi na rushwa iliyokithiri

    Rais wetu mpendwa Mama Samia ikikupendeza tunakuomba sisi wananchi wako wanyonge uturudishie mnyonge mwenzetu Mh. Lukuvi, alipamudu alipanyoosha nidhamu ilikuwepo haki ilikiwepo heshima ilikiwepo uwajibikaji ulikuwepo usikivu ulikuwepo. Aidha kama hili litakushinda tuwekee dawati hapohapo...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani asisitiza Wizara ya Ardhi inafanya kazi kubwa ya kupima na kupanga ardhi kwa matumizi bora, hati 8 zakabidhiwa Tanganyika

    RIDHIWANI ASISITIZA WIZARA YA ARDHI INAFANYA KAZI KUBWA YA KUPIMA NA KUPANGA ARDHI KWA MATUMIZI BORA, HATI 8 ZAKABIDHIWA TANGANYIKA. Wilaya ya Tanganyika, Mkoa wa Katavi. Salamu za Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)- Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa Wananchi wa Kijiji cha...
  12. Stroke

    JamiiForums Tanzania Kupunguza migogoro ya ardhi Wizara ya Ardhi iweke ramani na taarifa muhimu online

    Ramani za miji kwa maeneo yaliyopimwa ni public document. Migogoro mingi ya ardhi inakuwepo kutokana na double allocation. ( Ardhi moja kuuziwa kwa watu wawili). Itungwe sheria itayopelekea ramani za maeneo yaliyopimwa na ambayo bado kuwa online na kuwa access upon payment of a certain fee...
  13. E

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Rais avunje Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    Chimbuko la migogoro ya ardhi iwe ni wafugaji kwa wakulima, iwe ni wananchi na wawekezaji kama maneo yenye madini au iwe ni maeneo ya mijini kama nilivyosikia kinondoni nyumba 400 zinabomolewa au iwe ni ngorongoro Chimbuko la migogoro hii ni wizara ya ardhi nyumba na maendeleo ya makazi. Kwa...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi isitafute visingizio kuibia raia

    Katika miezi ya karibuni mahakama za ardhi kwa kushirikiana na maafisa ardhi wa miji na majiji wamekuwa wakifungua kesi kwa wamiliki wa majengo na viwanja. Kinachofanyika ni ofisi za ardhi kutengeneza madai ya miaka mingi nyuma ambayo wao hawajarekodi kwenye mifumo mipya ya wizara. Mteja...
  15. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mteue Prof. Muhongo awe Waziri wa Madini, Dotto Biteko ahamishiwe Wizara ya Ardhi, Mabula apigwe chini

    Kwenye mada moja kwa moja bila kuchoshana. Kwako Mh. Rais, naomba kama itakupendeza mtumbue Waziri wa Ardhi Anjelina Mabula na nafasi yake mpeleke Dotto Biteko huku Prof. Sospeter Muhongo achukue nafasi ya Waziri wa Madini. Dotto atafaa Sana Wizara ya Ardhi Ili kuwanyoosha matapeli wa Wizara...
  16. chiembe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina kudaiwa kudhulumu ardhi ya Kijiji ekari 1000 Morogoro, Wizara ya Ardhi iingilie kati

    Serikali ndio mtetezi wa wanyonge dhidi ya matapeli papa wanaodhulumu wanakijiji ardhi yao, hawa ndio wanazua migogoro mikubwa sana kati ya wananchi, na kati ya serikali na wananchi. Nashauri wizara ya ardhi iunde timu ikachunguze na Kisha ichukue hatua ya kurudisha ardhi hiyo kwa wanakijiji...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi na Makazi; Mkopo wa nyumba uliishia wapi?

    Nakumbuka mwezi mei mwaka 2020 , Wizara ya Ardhi iliweka tangazo kwenye tovuti yake walitangaza watumishi wa umma wanaotaka mkopo kwa ajili ya ujenzi wa nyumba kufanya maombi na fomu ziliwekwa, watu tulijitokeza na kuingia gharama kubwa katika kukamilisha masharti, miongoni mwa masharti ilikuwa...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi kushirikiana na Korea kubadilisha mifumo yake kuwa ya kidigitali

    Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa ushirikiano wake na Korea Kusini imeanzisha mkakati wa kuhakikisha inabadilisha mifumo yake upangaji, utumiaji, upimaji na uwekaji kumbukumbu za sekta ya ardhi kutoka analogia kwenda digitali ili kuboresha sekta...
  19. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yamwaga Ajira 1440+

    Ingien ajira.go.tz Land valuation, surveyors, cartographers, geographist,GIS, town planners and alike. Data recorder kwa Level ya degree.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete afungua maonyesho ya viwanda vya kuzalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali

    Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete Jana Alhamisi Machi 24, 2022 alikuwa Mgeni rasmi kwenye Ufunguzi wa maonyesho makubwa ya Viwanda vinavyozalisha Nishati kwa kutumia Teknolojia mbalimbali. Ufunguzi wa maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Kampuni ya Expo...
Back
Top Bottom