wizara ya ardhi

  1. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Mbona Jerry Slaa hasikiki siku hizi?

    Sijui ni mimi tu ndiyo simsikii! Alipokuwa Waziri wa Ardhi, ilikuwa ni nadra sana wiki kupita bila habari zake kutamba mtandaoni. Aliimudu sana hiyo Wizara. Kwa kadiri ya uelewa wangu, yeye ndiye Waziri bora kuwahi kuiongoza hiyo Wizara. Nashangaa kwa nini aliondolewa! Huu ukimya ni wa...
  2. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi ya nini? Wakoloni walipiga kazi miaka 10/20 kwisha!

    wizara ya ardhi mpaka leo hii bado ina survey na kugawa/uza viwanja wakati kwa hali ya kawaida hiyo kazi walipaswa wawe walishamaliza muda na kukabidhi halmashauri husika. Mkoloni alikuta mapori lkn alipiga kazi ndani ya miaka 10/20 nchi yote ilipimwa, maziwa, mito, bahari, kilimo wapi kilimwe...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri ya Ardhi yashiriki uzinduzi wa michezo ya Mei Mosi 2025

    Michezo ya wafanyakazi kuelekea kilele cha Mei Mosi 2025 imefunguliwa rasmi tarehe 22 Aprili 2025, katika Uwanja wa CCM LITI mkoani Singida. Uzinduzi huo umehudhuriwa na mamia ya watumishi wa umma kutoka taasisi mbalimbali za serikali, mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Serikali kuanza kutekeleza programu ya kuendeleza maeneo yaliyochakaa katika majiji

    Serikali itaanza kutekekeza Programu ya kuendeleza miji iliyochakaa katika majiji sita ya Arusha, Dar es salaam, Dodoma, Mwanza Mbeya na Tanga. Hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi Aprili 04, 2025 katika mkutano wa hadhara na wananchi wa mtaa...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya PAC yaridhishwa na ujenzi wa jengo la Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), imeridhishwa na ujenzi wa jengo la Ofisi ya Makao Makuu ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inayojengwa Mji wa Serikali Mtumba jijini Dodoma. Hayo yamesema na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi

    Wakuu Wizara ya Ardhi yamkabidhi tuzo Rais Samia kwa kutambua mchango wake wa kusimamia mageuzi ya mifumo ya usimamizi wa sekta ya Ardhi Tanzania. Pia, Soma Prof. Mkumbo afananisha tuzo aliyopewa Rais Samia na tuzo ya Kombe la Dunia la FIFA, asema haya nimafaniko ya CCM
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia aikabidhi Wizara ya Ardhi magari 70

    Rais Samia Suluhu Hassan amekabidhi magari 70 pamoja na vitendea kazi vingine kwa ajili ya kuimarisha usimamizi wa ardhi nchini. Magari na vitendea kazi hivyo yamekabidhiwa kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Deogratius Ndejembi mkoani Dodoma, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Sera...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mgeni rasmi uzinduzi wa sera ya Taifa ya ardhi

    WIZARA ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi itazindua rasmi Sera ya Taifa ya Ardhi ya Mwaka 1995 toleo la mwaka 2023, Machi 17, 2025 katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center jijini Dodoma ambapo mgeni rasmi katika uzinduzi huo atakua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Dkt...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi awataka wadaiwa pango la ardhi kulipa

    A WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amewataka wadau wa sekta ya ardhi nchini ambao wanadaiwa pango la ardhi kulipa deni hilo kabla ya mwaka wa fedha 2024/25 kumalizika. Mhe. Ndejembi ametoa agizo hilo Machi 05, 2025 wakati akizungumza katika kikao kazi cha...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza eneo la ukuta lililozidi kigogo kuvunjwa

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi ametoa siku mbili kwa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kuvunja ukuta uliozidi kwenye kiwanja namba P18618 kilichopo eneo la Kigogo jijini Dar es Salaam baada ya mmiliki wake kushindwa kuwasilisha nyaraka za uhalali wa kiwanja hicho. Mhe...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kuundwa kamati kumaliza mgogoro wa ardhi Mwanza

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amemuagiza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Mandeleo ya Makazi, Mhanidis Anthony Sanga kuunda kamati mara moja kwa ajili ya kushughulikia mgogoro wa ardhi wa kiwanja namba 01, Kitalu R kilichopo barabara ya Nyerere...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi yashiriki uzinduzi wa wiki ya sheria kwa mwaka 2025

    Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kupitia Kitengo cha Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya, imeshiriki rasmi uzinduzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Sheria yaliyoanza leo, tarehe 25 Januari 2025, katika Viwanja vya Nyerere Square, jijini Dodoma. Maadhimisho haya yanayoandaliwa kila...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yapokea taarifa ya utekelezaji bajeti ya Wizara ya Ardhi kwa nusu mwaka 2024/2025

    Kamati ya Kudumu ya Ardhi, Maliasili na Utalii chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Timotheo Mzava Januari 23 2025 imepokea na kujadili taarifa ya utekelezaji wa Bajeti ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kipindi cha nusu mwaka kuanzia Julai hadi Desemba 2024. Katika kikao hicho...
  14. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi azuia uendelezwaji wa eneo lenye mgogoro Sumbawanga

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemtaka Mwekezaji wa Shamba la Malonje lililopo katika Kijiji cha Sikaungu Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa kutoendeleza eneo ambalo lina mvutano kati ya mwekezaji huyo na wananchi wa kijiji hiko. Mhe. Ndejembi ametoa...
  15. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa SMZ watembelea miradi mitatu ya kimkakati ya NHC jijini Dar es Salaam

    Ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC) umetembelea miradi mitatu ya kimkakati inayotekelezwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC. Ziara hiyo iliyoratibiwa na Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imefanyika leo tarehe 17 Disemba 2024...
  16. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Akili ni nywele: Wakati Wizara ya Ardhi Bongo wanahangaika na clinic za ardhi, Kenya wameanza kubomoa na kuyajenga upya maeneo yaliyojengwa vibaya

    Kila siku nasema kuwa akili ni nywele. Ukiwa na akili timamu, utajua tatizo ulilonalo ni lipi na utaweka na kutekeleza mipango sahihi ya kulitatua hilo tatizo. Wenzetu Kenya waligundua wana tatizo la mipango miji, kwa maeneo mengi kujengwa vibaya bila mpangilio na kufanya wananchi wengi kuishi...
  17. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Tangazo la Wizara ya Ardhi la Rais kutwaa ardhi Dar ni matokeo ya Mipango miji ya kisiasa. Nchi haileweki wala haina plan za miaka hata 20 ijayo

    Wakati wenzetu wakiwa na plan za miaka 100 ijayo Bongo tuna plan za wiki 5 zijazo. Nchi ina plani za kisiasa na ziko Surported na wajinga hili Taifa la Tanzania. Tanzania kuna plan za wiki chache mbele, kila mara ni Bomoa hiki weka hiki, badili hiki weka hiki. Mfano Chukulia ujenzi wa kituo...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ardhi aagiza vikao vya muda mfupi ofisi za ardhi kabla ya kuanza kazi

    DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameziagiza ofisi zote za Ardhi nchini kuanzia mkoa hadi halmashauri kuhakikisha zinakaa vikao vya muda mfupi kila asubuhi kabla ya kuanza kazi ili kuwa na njia bora ya kutatua changamoto za sekta hiyo...
  19. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania NHC Yapata Tuzo ya Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma

    Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limeendelea kuonyesha ubora wake katika usimamizi wa fedha baada ya kutunukiwa tuzo ya mshindi wa tatu wa Uandaaji Bora wa Hesabu kwa Mashirika ya Umma kwa kufuata viwango vya kimataifa vya uandaaji wa hesabu (International Financial Reporting Standards - IFRS)...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sitashiriki kamwe chaguzi yoyote nchini Tanzania kwa sababu ya Viongozi wa Serikali za Mitaa na Wizara ya Ardhi

    Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake. Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
Back
Top Bottom