wizara ya ardhi

  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Namba ya Huduma kwa Wateja ya Wizara ya Ardhi haipokelewi, siku nyingine haipatikani

    Kumekuwa na shida sana kwenye Namba za Huduma kwa wateja kwenye baadhi ya Wizara za Serikali, kama namba ya huduma kwa wateja Wizara ya Ardhi , mwananchi unapata shida ili upige simu upate msaada wa kitaalamu unakuta namba haiiti na wameitangaza kwenye website ya wizara, au namba inaita ila...
  2. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Geofrey Pinda: Fanyeni mapatano kwenye migogoro ya ardhi inayowakabili

    Ikungi – Singida Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida kufanya mapatano ya amani kwenye migogoro ya ardhi inayowakabili katika maeneo yao. Naibu Waziri Pinda amesema hayo Novemba 07, 2024 kwa niaba ya...
  3. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Uganda zakutana kujadili uimarishaji mpaka wa kimataifa

    Bukoba Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Uganda kimeanza mkoani Kagera nchini Tanzania kujadili uiamarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo. Kikao hicho kinachofanyika katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera kimeanza leo tarehe 5 Novemba 2024 na kutaratarajiwa...
  4. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi: Zingatieni taaluma yenu katika kuwahudumia Watanzania

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amefanya kikao kazi na wataalamu wa Ofisi ya Mthamini Mkuu wa Serikali Novemba 1, 2024 kilichofanyika Makao Makuu ya Wizara Mtumba jijini Dodoma. Katika kikao hicho, Mhe Ndejembi amewataka wataalamu wa idara hiyo kufanya...
  5. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Ndejembi: Mifumo ya Kielektroniki kuboresha huduma za Sekta ya Ardhi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Wizara yake imeanzisha mifumo ya kielektroniki ya kusimamia sekta ya Ardhi ikiwemo e-Ardhi ili kutoa huduma bora kwa Watanzania. Waziri Ndejembi amesema hayo wakati akifungua mafunzo ya Mifumo inayosimamia Sekta ya...
  6. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tukiwa wepesi hivi, tutaweza kupambana na ufisadi na ubadhirifu Wizara ya Ardhi?

    Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali. Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio. Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika? Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi 7 wa Wizara ya Ardhi

    WAZIRI NDEJEMBI AMEMUELEKEZA KATIBU MKUU WIZARA YA ARDHI KUWACHUKULIA HATUA ZA KINIDHAMU WATUMISHI 7 WA WIZARA YA ARDHI Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi, amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za...
  8. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza Watumishi saba ardhi kuchukuliwa hatua za kinidhamu

    Dar es Salaam WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kuwachukulia hatua za kinidhamu watumishi saba wa wizara hiyo Mkoa wa Dar es Salaam kwa tuhuma za makosa waliyofanya kwenye sekta ya...
  9. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yaja na mpango wa uendelezaji eneo la Sinza Dar es Salaam

    Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi inakuja na mpango wa uendelezaji upya eneo la Sinza jijini Dar es Salaam (Sinza Redevelopment Plan 2024 - 2044.). Hayo yamebainishwa leo tarehe 17 Oktoba 2024 mbele ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi Maliasili na Utalii wakati wa uwasilishaji...
  10. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge yaendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeendelea kujadili taarifa za Wizara ya Ardhi ambapo imepokea na kujadili taarifa ya Utendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi pamoja na Utendaji wa Ofisi ya Msajili wa Hati. Wasilisho la taarifa hizo limefanyika leo...
  11. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Hati mikili za Ardhi 310 zatolewa Jijini Mwanza, Waziri Ndejembi awafikia na kusikiliza wananchi

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi amewahisi wananchi waliopokea hati miliki za maeneo yao kuzitunza kwa kuwa ardhi ni mtaji waitunzi ili iwatunze. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe...
  12. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Klinik ya ardhi yaendeshwa mtaa kwa mtaa Ilemela

    Ofisi ya Kamishna wa Ardhi mkoa wa Mwanza imeendesha Klinik ya Ardhi katika halmashauri ya Ilemela mtaa kwa mtaa ili kuwafikia wananchi wengi kwa haraka na kuwapatia huduma za ardhi wanazohitaji katika maeneo yao. "Kama mnavyofahamu tumekuwa na haya mazoezi ya Kliniki za Ardhi mara kadhaa, na...
  13. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Timu mbili za Wizara ya Ardhi zafuzu hatua ya 16 bora kwenye mashindano ya SHIMWI

    Michezo inatoa fursa muhimu ya kuimarisha afya na mshikamano miongoni mwa watumishi wa umma na inasaidia kuleta hamasa kwa watumishi kufanya kazi kwa tija na uzalendo kwa taifa. Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko Septemba 25, 2024 wakati wa...
  14. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha

    Njia 10 za Kuongeza Kiasi cha Kodi ya Majengo ya Kukodisha Majengo ya kukodisha ni mojawapo ya njia bora za kuingiza kipato cha muda mrefu na endelevu. Hata hivyo, ili kuongeza kipato kutoka kwa mali yako, unahitaji kutumia mbinu mbalimbali za kuboresha thamani ya jengo lako na kufanya...
  15. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Land Banking: Umuhimu Wa Kutambua Maeneo Yaliyotengwa Kwa Ajili Uwekezeji Wilaya Unapowekeza

    Utangulizi Land banking ni mbinu ya uwekezaji ambapo mtu au taasisi hununua kipande cha ardhi kwa bei ya chini na kukishikilia kwa muda mrefu, akitarajia kuwa thamani ya ardhi hiyo itaongezeka. Kwa kawaida, maeneo ambayo hayajafanyiwa maendeleo, lakini yana uwezekano wa kuongezeka thamani...
  16. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Waziri Ndejembi aagiza kufutwa hati milki ya ardhi Ruvuma

    WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemuelekeza Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Ruvuma kuifuta Hati ya Ardhi kwa Bw. Steven Mapunda ambaye alikabidhiwa bila kufuata utaratibu katika Kijiji cha Mwanamango Manispaa ya Songea. Mhe. Ndejembi ametoa agizo...
  17. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi yawatakia heri wachezaji wake kuelekea SHIMIWI 2024

    Na.Mwihava GF,Dodoma Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Sheusi Mbuli kwa niaba ya Katibu Mkuu, amewatakia Heri wanamichezo wanakwenda kushiriki michuano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) inayotarajiwa...
  18. Wizara ya Ardhi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Pinda: Hekima itumike kutatua migogoro ya familia inayohusu ardhi

    HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA Na. Joel Magese, ROMBO Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima katika kupata suluhisho la migongano ya kifamilia inayohusu ardhi kabla ya kufika mbele ya vyombo...
  19. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi-Web page yenu ya kukadiria kodi ya viwanja haifanyi kazi

    Serikali siku zote inasisitiza mapato, na imeunda systems za kurahisisha ukusanyaji wa mapato hayo. Sasa inapoelekea systems hizo hazifanyi kazi basi ujue kuna hujuma ili hela zilipwe kwenye mifuko ya watu. Wizara ya Ardhi, nimejaribu kutumia web page hii ili kukadiria na kulipa kodi bila...
  20. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi iangalie namna ya kuwapa watoto wa mjini wizara kama ujenzi na ardhi wajenge nchi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Wakati mungine inabidi tu tuambiane ukweli bila kupepesa macho ili kupata njia ya kulisongesha mbele taifa letu, na kutuepusha na aibu ambayo huwa tunaipata pindi tunapotembelewa na wageni mbali mbali kutoka Ulaya, Asia, Marekani, East Afrika, Africa yenyewe na...
Back
Top Bottom