wizara ya ardhi

  1. R

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi ina matatizo makubwa ya utendaji wa Maafisa wa ardhi wa Wilaya na Mikoa. Waziri yuko wapi?

    Hii ni wizara nyeti na yenye matatizo makubwa ya utendaji wa maafisa wa ardhi wa wilaya na mikoa. Kidogo Lukuvi aliwafuatilia kwa karibu na kuchukua hatua ilipobidi. Leo Waziri Mabula naona ni kama vile wizara haina Waziri. Wanatamba kuwa tulisema ataondoka Lukuvi atatuacha, na huyu tena...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Huyu Ndiye Anayetakiwa Kumlipa Dalali Kwenye Uwekezaji Wa Ardhi Na Majengo

    Dalali anatoa huduma ya kuunganisha huduma zinazohusiana na ardhi na majengo kati ya makundi yafuatayo;- ✓ Wapangaji na wenye nyumba. ✓ Wauzaji na wanunuzi. ✓ Watoa mikopo na wapokeaji mikopo ya majengo. Haya ndiyo makundi makuu (3) ambayo huhusika na gharama za kumlipa dalali kwenye...
  3. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuandaa mkataba kati ya mpangaji na mwenye nyumba

    Makubaliano kati ya mpangaji na mwenye nyumba ni jambo muhimu sana kufanyika. Makubaliano kati ya watu hawa wawili ndio muongozo wa mahusiano, na jinsi ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazoweza kujitokeza kipindi ambacho mpangaji atakuwa katika nyumba ya mwenye nyumba. Uwekezaji...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mbinu tano (5) halali za kuchelewesha mnada wa hadhara wa nyumba yako uliyoombea mkopo

    Nyumba yako au ardhi yako kuuzwa kwa njia ya mnada wa hadhara ni jambo ambalo linaweza kutokea ikiwa umeamua kujenga utajiri kupitia uwekezaji huu. Chanagamoto ya kuuzwa nyumba au ardhi yako kwa njia ya mnada wa hadhara inaweza kutokana na sababu za kibinadamu au sababu ambazo zipo nje kabisa...
  5. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Jinsi mwenye nyumba alivyoshughulikia Chanagamoto ya mpangaji wake ya uharibifu wa nyumba

    Mwezi wa disemba mwaka 2021 nyumba nilipokea simu kutoka kwa msimamizi wa nyumba ya kupangisha. Hitaji la msimamizi na mwenye nyumba huyu lilikuwa ni kujifunza mbinu bora za kupambana na wapangaji waharibifu. Aliendelea kutoa maelezo kuwa hajawahi kutana na changamoto ya kutolipwa kodi ya...
  6. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hatua tano (5) za kuchagua njia sahihi za kutengeneza fedha kwenye ardhi na majengo

    Somo kuhusu kuchagua njia za kutengeneza fedha kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo ni somo muhimu sana kwa yeyote anayewekeza kwenye uwekezaji huu. Rafiki yangu ukianza vibaya kuwekeza kwenye ardhi na majengo utashindwa kukuza uwekezaji wako kwa haraka kwa kutumia viwanja na majengo...
  7. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Mambo matano (5) ya kukusaidia kununua nyumba ya kupangisha kwa bei nafuu kuliko bei halisi

    Kanuni mama ya uwekezaji kwenye viwanja na nyumba ni kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba. Kanuni hii inamhusu mwekezaji yeyote anayewekeza kwenye viwanja na nyumba. Kwa kutumia mbinu yoyote ya uwekezaji huu na kwa wakati wowote unatakiwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba...
  8. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  9. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Anzia hapa Ili kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye viwanja na majengo

    Kila eneo kwenye maisha hutegemea sana kitu hiki ili uweze kujenga mafanikio makubwa sana na ya kudumu. Kitu chenyewe ni mtazamo wako. Huu ndio msingi wa kujenga mafanikio makubwa kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Ukiwa na mtazamo hasi, utakuwa unashindwa kila wakati mpaka ukate...
  10. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Saikolojia: Jinsi mnunuzi anavyoshindwa kutengeneza fedha wakati wa kununua nyumba

    Kazi ya kununua nyumba ni kazi rahisi sana ukilinganisha na kazi ya kuuza nyumba hasa kwa wanunuzi wa nyumba wasio wawekezaji. Ni vigumu kupata wanunuzi wa nyumba kuliko kupata nyumba unayotaka endapo una fedha tayari za kununulia nyumba unayoitaka. Kwa lugha nyingine, utatumia muda mrefu...
  11. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kamishina wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Rukwa ni mbabaishaji, atumbuliwe

    Habari, Napenda kukujulisha Waziri wa Ardhi kuwa tangu amefika huyu kamishina hapa Mkoani Rukwa hana tija yoyote kwani amekuwa ni mbabaishaji na mtu wa kusafiri sana kila leo. Migogoro mingi ya ardhi anashindwa kuitatua na pia amekuwa na tabia ya kutolipa madeni ya ofisi yake kwa wanaomdai kwa...
  13. VAPS

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Ardhi, undeni timu ndogo watalaamu iwape mapendekezo kuondoa dhuluma na kadhia hii

    Hongera Mh. Mabula, na Mh. Ridhiwani Lipo tatizo la sheria mortgage dhamana kuuzwa na wadau wakopeshaji kwa Bei za hasara na kutokujali kutambuliwa juhudi za awali mdaiwa alivyopambana. Hii inapelekea kuongeza umaskini na kudumaza sector ya biashara. Nashauri undeni team ndogo watalaamu iwape...
  14. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hii Ndiyo Sababu Ya Kuwekeza Kwenye Majengo Ya Kupangisha Ili Ustaafu Mapema

    Je umefanya maamuzi ya kufikia uhuru wa kifedha kupitia majengo ya kupangisha?. Je umefanya maamuzi ya kustaafu mapema zaidi kupitia majengo ya kupangisha?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha ukiwa unaendelea na ajira yako?. Je upo tayari kuanza kumiliki majengo ya kupangisha...
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wizara ya ardhi tatueni hii migogoro kabla hajafa mtu kwa mapanga au kulogwa

    Habari wadau..! Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la 9 September kwamba muda si mrefu lile eneo lote la Kurasini-Temeke lilitwaliwa miaka kibao ya nyuma enzi za JK sasa litaanza kufanyiwa kazi kwa kugeuzwa kituo cha biashara. Pia maeneo ya karibu yote na hapo kama Machungwa na Mivinjeni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

    Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri! Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Tanzania kuna double standard, yapo maeneo maamuzi yanafanyika haraka kulimo mengine

    Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo amesema Tanzania ina 'Double Standard' ambapo kuna baadhi ya maeneo maamuzi yanafanyika haraka, yapo ambayo maamuzi yanafanyika kwa kuangalia maslahi mapana ya Nchi na mengine maamuzi yanachelewa Vilevile akiwa Bungeni leo wakati wa majadiliano ya Bajeti ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Je, Deep Poll kabla haijasajiliwa Wizara ya Ardhi inakubalika?

    Naomba kuuliza kwa wanaofahamu. Je kabla deed poll haijasajiliwa wizara ya ardhi je inakubalika kuitumia? Nauliza kwa sababu inabidi niitumie kwenye application ya kazi na kule ardhi wanasema itachjkua siku 7 za kazi ili mchakato wa kuisajili ukamilike. Hapo muda wa applicationutakuwa umepita...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanasheria nauliza; Hivi Deed Poll kabla yakuisajili wizara ya ardhi inaweza kutumika?

    Naomba ushauri wa haraka kuhusu hili. Vyeti vyangu vyote mpaka chuo kikuu nina majina mawili. Kitambulisho cha Taifa kina majina matatu. Jina la kwanza na la mwisho kwenye NIDA ndio majjna yangu kwenye vyeti. Nina-apply kazi na inabidi niambatanishe hiyo Deed poll. Kule ardhi usajili...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini wizara ya ardhi DSM iliamua kupima mbuga na mabonde yote ya kulima mpunga kuwa sehemu ya makazi?

    Ukizunguka mkoa wa Dar es salam! Maeneo yote yenye chemchem za maji ndiyo yaliyopimwa viwanja rasmi kwa ajili ya makazi ya binadam! Je; ni kwanini wizara iliacha kupima maeneo salama ikakimbilia kupima mashamba ya mpunga kuwa makazi? Mbezi beach yote, kunduchi, ununio na mbweni kote huku...
Back
Top Bottom