wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Mfumo dume, chuki wivu na udini ni baadhi ya sababu kwa watu kueneza chuki dhidi ya utawala wa awamu ya sita

    Binafsi sioni kama Rais Samia ana makosa ambayo yeye ndiye Rais wa kwanza kuyafanya, Kama ni mambo ya kutekwa yalikwepo toka enzi ya Dr Ulimboka Kama ni uchaguzi wenye udanganyifu ccm haijawahi kushinda bila wizi ndiyo tabia yake Ufisadi upo toka kipindi cha nyerere Maisha magumu toka...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni jambo/kitu gani watanzania tunacho kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?

    Hoja ya kwamba tunaonewa wivu na nchi nyingine duniani imekuwa ni kama alama ya siasa za CCM kwenye kuzuia isikosolewe. Hivi ni jambo ama kitu gani tulichonacho Tanzania kinachofanya tuonewe wivu na nchi zingine?
  3. O

    JamiiForums Tanzania Simbachawene ni presidential material, atunzwe na alindwe kwa wivu mkubwa

    Ukitulia vizuri ukachambua mambo ya siasa na wanasiasa kwa jicho la tatu, utagundua Tanzania ina uhaba wa wanasiasa wenye utulivu. Lakini kila nikimuona Simbachawene naiona future iliyo bora kabisa kwa ustawi wa nchi yetu. Namsihi aendelee hivyo hivyo, unaweza kuwa mtulivu na mwenye hekima na...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanasema waandamanaji Wana wivu na matajiri, mbona Mo Dewij na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao?

    Kuna majitu yanasema waandamanaji wamefanya vurugu kuchoma masheli maduka magari eti kisa wivu Sasa najiuliza kama wivu mbona hawa matajiri mo na Bakhresa hawajachomewa vitu vyao inakuaje nyie choka mbaya wenye viduka vya nguo na vya simu muchomewe na hao mafisadi wachomewe ujue mnatatizo...
  5. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuache uvivu na wivu

    1. Tupunguze ujuaji na wivu kwa waliofanikiwa (wakiwemo Wafanyabiashara na viongozi wetu). 2. Tufanye kazi kwa bidii. Tulipe Kodi bila shuruti. Tutafanikiwa. #OktobaTunatiki. NB: Viongozi wetu wakifanikiwa tunajaa jazba, why?
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Watu wa Arusha acheni wivu na ubaguzi.. kila mtanzania ana haki ya kuishi popote ndani ya Tanzania.

    Ninashangaa jeshi la polisi kutowachukulia hatua hawa wananchi wa Arusha wenye roho mbaya na wivu kwa mpambanaji Chinaa. Kumtaka ahame mtaa ni kumnyima haki yake ya kikatiba ya kuishi popote ndani ya nchi hii. Hii mbegu ya ubaguzi inayozidi kuchipua huko Arusha inabidi ikomeshwe. Halafu...
  7. venchwa

    JamiiForums Tanzania Leo nimenusurika kuuwawa kwa kugongwa hapa Australia kisa Wivu wa wanaume kwa mademu, midemu mitamu sana

    Nikafunga safari baada ya kupata likizo nikaja Brisbane airport kuingia queens land aisee (ila kuingia Australia ni pagumu kama hujajipanga kwa maelezo airport, itakuwa topic ya siku nyingine) Nikafika hotel moja maarufu sitataja Jina, nikakuta mademu wakali tu Nikaanza ku move around ili...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ila tusemeni Tu ukweli bila wivu mtu akisoma masomo ya sayansi halafu akawa Rais lazima TAIFA lipige hatua kimaendeleo

    Najua hii itawaumiza ambao mmesoma masomo ya Sanaa na biashara lakini ukweli masomo yenu tofauti na sayansi hayana foundation za kutafuta majibu kwa changamoto nyie NI watu wa negotiation Tu mambo ya diplomasia. Mifano ipo na tumeshuhudia baada ya hapo naombeni mnitajie viongozi wa sasa hasa wa...
  9. matiko sibora wambura

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda wakati hii ndiyo ungekuwa nafasi Yao kutengeneza undugu na kuongeza marafiki na kuwasaidia katika kufanikisha swala ajira
  10. Sniper

    JamiiForums Tanzania Vifungo vya Kichawi Baada ya Talaka

    Ndoa ni taasisi yenye nguvu kubwa kijamii na kiroho. Lakini pale panapojitokeza kutokuelewana, mara nyingi matokeo yake huwa ni migawanyiko na hatimaye talaka. Katika mazingira mengi, talaka haimalizii tatizo pekee, bali huibua hali mpya ya maumivu, visasi na mara nyingine mashambulizi ya...
  11. Bani Israel

    JamiiForums Tanzania Uzi wetu ni mkali licha ya kuvuja yanga wanaona wivu na full european touch

    Tukiacha utani huu uzi ni mkali.
  12. Z

    JamiiForums Tanzania GE2025 CCM Mbelee kwa mbeleee, kamwe msiwasikilizi wanafiki na wazandiki wenye wivu na chuki ambao vinywa vyao vina sumu mithili ya nyoka weusi.

    Watu hao ambao baadhi yao wanajinasibisha kuwa wanachama wa CCM ni wanafiki na wazandiki wakubwa, vinywa vyao vinatema sumu kwa lengo la kuwavuruga wananchama na wapenzi wa CCM. Sisi raia ambao tunaamini kuwa UHAI wa taifa letu upo mikononi mwa Chama cha CCM hatuna shaka wala wasiwasi kuwa CCM...
  13. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni wivu jitumeni

    Mnawivu sana na ni wachawi sana hadi kero . Kila kitu mmejawa na wivu sana .
  14. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni Upinzani wa masengenyo, upotoshaji, uongo, uzandaki, chuki, wivu. Ni Upinzani usio na hoja haujitambui

    Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja. Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani wanasiasa za masengenyo. Wapinzani wetu hawana elimu ya siasa ndo maana utaona mtu anapost Uzi...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unamkejeli mdada kugeukia JF kutafuta bwana kisa amevuka 30 eti mtaani hasomeki. Hivi boy anakuwaje na wivu juu ya intentions za kimapenzi za mdada?

    Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist. Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣 Trash🚮🚮
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  19. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  20. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Je walio kwenye Viti vya Mamlaka wana furaha? Na je wanakuwa na wivu au husuda kwa sisi raia wa kawaida?

    Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida. Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
Back
Top Bottom