wivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni wivu jitumeni

    Mnawivu sana na ni wachawi sana hadi kero . Kila kitu mmejawa na wivu sana .
  2. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Upinzani wa Tanzania ni Upinzani wa masengenyo, upotoshaji, uongo, uzandaki, chuki, wivu. Ni Upinzani usio na hoja haujitambui

    Tanzania tuna wapinzani wasio na hoja ambazo zinamgusa mwananchi moja kwa moja. Wapinzani wetu wanaroho za chuki, wivu, uongo, upotoshaji, uzandaki wanafanya siasa Kama wanasengenyana wapinzani wanasiasa za masengenyo. Wapinzani wetu hawana elimu ya siasa ndo maana utaona mtu anapost Uzi...
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Unamkejeli mdada kugeukia JF kutafuta bwana kisa amevuka 30 eti mtaani hasomeki. Hivi boy anakuwaje na wivu juu ya intentions za kimapenzi za mdada?

    Its either wanaingilia harakati zako humu au basi wewe ni sadist. Kuna wakati mwanaume alichohangaika na mwanamke ni kupata penzi lake pekee ila siku hizi vijana wa kiume nao wanaumia na maamuzi ya kimapenzi ya wadada 🤣🤣 Trash🚮🚮
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwanini maskini ndio huwa wana wivu sana katika mapenzi na ndoa ?

    Watu wenye malalamiko ya ndoa na mapenzi zaidi na ambao wanatembea hadi na mafuta kwa ajili ya wagoni wao ni maskini au wa kipato cha kawaida, watu matajiri wao wakishindwana kwenye ndoa au mahusiano wataachana na wataoa au kuolewa na mtu mwingine na maisha yataeendelea. Ni nadra kukuta kesi ya...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Polepole ni mhuni na mwenye wivu sana,apuuzwe

    Huyu jamaa anajiona yeye ni genius sana. Ana chuki za waziwazi na Rais Samia, anaona wivu Rais Samia kuwa Madarakani. Nashauri apuuzwe kwa nguvu zote.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Imam wa Ujerumani: Ukimalizana na bikira mmoja, anayefuata atakuwa tayari kwa ajili yako. Mabikira hao hawataoneana wivu

    Imamu Muislamu nchini Ujerumani amesema:
  8. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Je walio kwenye Viti vya Mamlaka wana furaha? Na je wanakuwa na wivu au husuda kwa sisi raia wa kawaida?

    Hili swali nimewahi jiuliza sana .sasa leo nimeona nipate ku share na wadau humu. Kilichonisukuma mpaka kujiuliza hili swali ni nyakati za hafla za kijamii au za kimichezo zinapowakutanisha viongozi na wananchi wa kawaida. Ipo hivi mimi huwa ni good observer na ku pay attention kila jambo...
  9. Bueno

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Wivu ni Kidonda Kisichopona na wala hakisikii Dawa?

    Wakuu, ninajaribu kuwaza hapa sasa kwenye kuwaza kwangu ningependa niwashirikishe na nyinyi mpate kuwaza na tujiulize kwa pamoja kwenye kuwaza huku nipo sahihi au sipo sahihi au nimetafasiri vibaya hiki kitabu?. IPo hivi, nimejaribu kuwaza pale bustanini Edeni ndugu yetu Adamu alimchukua Eva...
  10. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili

    Kuishi Maisha Yenye Amani: Kujilinda na Kuepuka Wivu, Chuki, Ubaya, na Ukatili** Salamu zangu kwenu nyote! Leo, nimefurahi sana kushiriki na nyie mawazo yangu kuhusu somo muhimu sana: jinsi ya kujilinda na kuepuka athari mbaya za wivu, chuki, ubaya, na ukatili katika maisha yetu. Katika...
  11. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Camillus Wambura: Jeshi la Polisi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani

    Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Camillus Wambura, amesema Jeshi halipo tayari kumvumilia yeyote atakayeleta uvunjifu wa amani. Amesema hayo leo Juni 9, Jijini Dar es Salaam wakati wa sherehe ya kufunga kozi ya maafisa na wakaguzi wa Jeshi la Polisi. "Sote tunatambua kuwa mwaka huu 2025...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Songwe: Mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki yametokana na wivu wa mapenzi, alituhumiwa kutembea na mke wa mtu

    Jeshi la Polisi limesema linamshikilia Mtu mmoja kwa tuhuma za mauaji ya Katekista wa Kanisa Katoliki, Vincent Mwenda ambaye alifariki Mei 10, 2025 kwa kushambuliwa na kitu chenye ncha kali. Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema wanamshikilia Lameck Mwamlima (29), Fundi...
  13. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania WIVUUU

    Nitakuhonga figo nikupe na moyo, Baby me na wivu we jifunze uchoyo, Chuma nilipotoka nilikuwa loyal, Yaliyonikuta mengi nimekoma, Oya noma, Mapenzi noma, Oya noma, Yalinipa kahoma. Ni muda wa kuenjoy sasa, huko nyuma yalininyanyasa, Tumefungua mpya kurasa, tuzae na watoto we sio tasa, Oya...
  14. haszu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenye sura "personal" ndio wenye wivu uliopitiliza

    Huwa wanapata wanawake kwa kutumia external signifiers kama pesa, so wanajua kabisa wanapendewa kwa something unnatural. So pesa wanatafuta kwa shida, na mwanamke wanampata kutumia hiyo pesa. Matokeo yake ni kua na wivu wa uliopitiliza, muda wote anahisi mke ana cheat. Tofauti na sisi wanaume...
  15. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Ukiona Baba mwenye nyumba anamuonea wivu house girl ujue tayari

    Kijana wangu wa boda boda kaangukia penzini na housegirl kwenye nyumba moja mtaa flani karibu na kwangu changamoto imekuja kujitokeza baada ya bodaboda huyu kuwa kimya muda kama wa siku nne hivi bila ya kuniletea hesabu but nikicheck chombo kwenye king'amuzi naona imepaki kwake but simu yake...
  16. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Serikali Imlinde huyu mtu wa Wivu Mkubwa sana. Wazungu wanaweza Mwiba

    Nimekuwa nikimsoma Bill Lugano jamaa ana madini sana. Sijashangaa kuona mataifa mbalimbali yanamtumia kukuza uchumi wao. Za ndani ni kuwa ndiye mshauri mkuu wa Serikali ya China, Russia na Marekani. Nashangaa serikali yetu inakumbatia akina Babu Tale, Musukuma, Mwigulu,Bashe inaacha huyu jamaa...
  17. haszu

    JamiiForums Tanzania Waogope na waepuke sana watu wenye wivu, avoid resentful people at all costs

    Resentful people are those who thinks they should get something or all the favor that others have and they don't. They think of it as their birthright. Niliposema ni handsome na wadada wananisumbua, wakasema tuma picha, nimetuma picha, sasa wananiita "shoga", hii yote inatoka kwa wanaume wenye...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR & Comedy awards!

    Hilo Bunge la Ulaya wanatuonea wivu SGR yetu na Tuzo za Comedy. Tumestuka. Msaada tutapata Dubai na Morocco
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Tulia: Tanzania haiwezi kuwepo bila ya muungano, tuulinde kwa wivu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amesema kuwa ni wajibu wa kila mtanzania kuhakikisha anailinda kwa wivu wote tunu ya Muungano iliyoanzishwa na waasisi wa taifa hilo. Dkt. Tulia ameyasema hayo leo tarehe 25...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna wengine ni Manabii hapa duniani hata kama kwa Wivu na Chuki za Kibinadamu kamwe hamtowakubali

    Haji Manara pole sana ila kwa Tabia zako ambazo hata Nduguzo wanazichukia nilijua tu hutodumu kamwe na Zaylisa. Halafu naona kila kona Watu wanampongeza Mange Kimambi wakati GENTAMYCINE hapa hapa JamiiForums miezi kadhaa iliyopita na hata juzi kati (Threads zipo JamiiForums) nilisema kuwa Haji...
Back
Top Bottom