EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Huu wimbo hakika ni mzuri ukiuimba mpaka unajisikia raha.
Ndio wimbo unataka hivyoSauti hiyo..unalia au unaimba?
Hongera lakini kwa kuthubutu
Maana ya wimbo inataka hivyoSauti hiyo..unalia au unaimba?
Hongera lakini kwa kuthubutu
KwaniniPeleka jukwaa la jokes
Nahitaji kujua malalamiko yenu ili nije na vitu vikali hatari.Peleka jukwaa la jokes