BASATA: Hatujaufungia wimbo wa 'One Time' wa Lady Jaydee

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,879
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema taarifa za kuufungia wimbo wa ‘One time’ wa Judith Wambura maarufu kama Lady Jaydee si za kweli.

BASATA wamesema walimuita kumpa maelekezo msanii huyo ikiwemo kufanya maboresho kwa wimbo huo, kuwasilisha BASATA kusikilizwa na kupewa daraja la kusikilizwa na Umma.

BASATA imewaomba wadau wote wa muziki nchini kupuuza uvumi wa kufungiwa kwa wimbo huo.

1603302492265.png
 
  • Thanks
Reactions: Auz
Back
Top Bottom