PADI WUBONN mkenya huyu akiigiliziia wimbo wako anakupotezaaa kabisaaa

Opot opot88

Member
Jan 21, 2021
38
74
Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
 
Attachments

  • god_s_plan_parody_alcohols_plan_mp3_68903.mp3
    3.9 MB
Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
Daah jamaa katisha sana aisee
 
Huyu mkenya comedian akiigilizia wimbo wako utanuna anakupoteza.drake Mwenyewe alinuna ule wimbo wake wa gods plan mpaka akamnunia huyu mkenya.ila kiukweli Jamaa in balaa
:D :D Balaa kwa tungo zake,sio kugandamizia za wengine...
 
Ni comedian pekee ninayemkubali na nime'subscribe his channel Youtube.

The guy is natural, pitia videos zake Youtube uone balaa lake.
My favourite parody ni Leta Spana, parody ya Yes Bana ya Khaligraph Jones a.k.a Omolo
 
Back
Top Bottom