Program ya kuandika wimbo kwa Notation na kutengeneza sauti

Kitabu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
302
26
Habari wakuu,

Nahitaji program itakayonisaidia kuandika nyimbo kwa staf notation pamoja na kupangilia sauti kwenye kwaya.

Msaada tafadhali
 
Rosegarden (Rosegarden: music software for Linux)

Au chukua MIDI - Sequencer yoyote (mfano, Kinanda) halafu tengeneza na uexport a MIDI file. Hilo file lifungulie kwenye Rosegarden, utaona notation zake.


Musescore (Free music composition and notation software | MuseScore) Hii ni kwa OS nyingi kama vile Windows, Linux na Mac. Pia iko kwenye Android Play Store.

Software zingine:


 
Back
Top Bottom