Hatimaye Paula wa Kajala amepost wimbo wa Mme wake "Kelebe" aliomshirikisha Innoss b

Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
5,361
2,000
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....

Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale karbu na kilele kama sio kileleni kabisa ndani ya masaa manane tangu litungue anga......

Katika hatua nyingine mrembo matata asiyeishiwa vituko mtoto mzuri mwenye zigo la haja Paula wa Kajala ameonyesha upendo wa dhati Kwa future husband wake Kwa kushow love baada ya kupost wimbo huo kwenye ukurasa wake wa Instagram.....

Endelea kuenjoy mziki mzur toka Kwa king of the beast , Vanny boy mtu mbaya ......

IMG_20210514_223317.jpg
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
58,966

View attachment 1785112
Huyu mtoto ajifunze kutoka kwa Wema Sepetu
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,277

Huyu bora shule zifunguliwe aende akaanze A-level,naona kama anazidi kupotea kila siku.
 
sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
876
1,000
Baada ya Vannyboy mtu mbaya kuachia "lisong" akiwa amemshirikisha mega star from Kongo Innos b , goma linalokwenda Kwa jina la "KELEBE"ambalo kwa sasa ndo habar ya mjini....

Goma Hilo lililogonga views "kilo " na usheee ndani ya saa moja ,limechanja mbuga huko YouTube na sasa linatambaa pale karbu na kilele kama sio kileleni kabisa ndani ya masaa manane tangu litungue anga......

Katika hatua nyingine mrembo matata asiyeishiwa vituko mtoto mzuri mwenye zigo la haja Paula wa Kajala ameonyesha upendo wa dhati Kwa future husband wake Kwa kushow love baada ya kupost wimbo huo kwenye ukurasa wake wa Instagram.....

Endelea kuenjoy mziki mzur toka Kwa king of the beast , Vanny boy mtu mbaya ......

View attachment 1785112
Kuna watu hawapendi haya mambo eti wanasikitikia future ya Paula 😂😂😂😂
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom