Wimbo wako pendwa kutoka kwa Alikiba ni upi?!

kibaWaKitaa

Member
Apr 26, 2021
26
75
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO".

Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!

Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!?
Screenshot_20210425-122049.jpg
 
Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
6,643
2,000
Tukianza na mm km mm wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO"..kwa nn mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!
Ww je ni upi wimbo wako pendwa na kwann!? View attachment 1786057
Kumbe unajiita Kiba duh
 
kamba0719

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
569
1,000
My everything hili ni songi la mwisho baada ya hapa alikaa miaka mitatu bila kufanya mziki ndio chokochoko zikaqnza na mondi ikabidi arudi tena kwenye mziki....
Chokochoko alizianzisha ili arudi kwenye chat,kwani kipindi yeye anarudi Mondi tayari yupo juu kimziki na number one ikachukua tuzo 3 channel 0 na ilimboost.

Ila sijui nani alimzibua masikio,Madam Rita alikua anatupotezea kiba,kijana yy kipindi hiko ilikuwa kusugua mbunye ya madame.
 
maji ya gundu

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
2,553
2,000
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO".

Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!

Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!? View attachment 1786057
Nikahisi msiba ndo umefika" aliki ana nyimbo moja tu my everything

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
18,269
2,000
Tukianza na mm km mimi wimbo wangu pendwa kutoka kwa mfalme huyu wa bongo fleva ni "MBIO".

Kwanini mbio?ni wimbo ambao uandishi wake naupa 100%...melodies99.9%...beat..99.8%...mm co mtaalam sana ila naeza sema utunzi wake umejitoshelezaa.!

Wewe je ni upi wimbo wako pendwa na kwanini!? View attachment 1786057
Album yote ya Cinderella ilikuwa ni FIRE, FIRE, FIREEEE.

Kuna goma moja humo unaweza kusikiliza tu ukashiba ukalala.

Goma linaitwa Sabrina👇👇

🎶🎶🎶🎶

Alikiba ni moja ya wasanii ambao hawatumii nguvu kubwa kuandika hits.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom