Msanii Zuchu ameshauriwa na nani kutoa wimbo huu wa Meja Kunta. Mashabiki tumepigwa hakika

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
51,961
41,438
Msanii Zuchu kaingia rasmi kwenye singeli baada ya kutamba na kibao cha sukari. Kwa habari nilizonazo huu wimbo aliyoimba na kuutoa leo ulikuwa wimbo wa Meja kunta na Msanii Zuchu kauziwa. Nimepata wasaha kuusikiliza wimbo husika ni wazi kabisa wamelipa hela za bure.

Kwa level za wimbo wa sukari ulipokuwa umefikia Msanii Chuchu alipaswa kuja na wimbo bora zaidi ya huu. Huu wimbo ni wazi tumepigwa tena mchana kweupe.

Binafsi nimekuwa dissapointed sana

Kama umepigwa kama mimi comment hapo chini kwa kusema hiki ni kipigo cha mbwa koko.
 
Ujinga huu ndio ulio mfanya Aslay apotee ndani ya miaka miwili, katoa nyimbo 14 mfululizo zote hits, kama angekuwa anachanganya leo hii angekuwa bado wa moto.

Msanii akitoa nyimbo ya kawaida baada ya kutoa nyimbo kali ana maana yake sio kwamba hana hits songs.
 
Haujawahi kuwaongelea wasafi kwa mazuri hata siku moja.Hiyo singeli nimeisikiliza imetulia hasa ni ngoma moja nzuri sana
 
Ndo huu nimeukuta YouTube
Screenshot_20210617-111026_YouTube.jpg

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cna cha kuchangia maana ckumbuki kwa mara ya mwisho lini kuskiliza ngoma za kitoto
 
Ujinga huu ndio ulio mfanya Aslay apotee ndani ya miaka miwili, katoa nyimbo 14 mfululizo zote hits, kama angekuwa anachanganya leo hii angekuwa bado wa moto.

Msanii akitoa nyimbo ya kawaida baada ya kutoa nyimbo kali ana maana yake sio kwamba hana hits songs.

Hawajuagi kuwa hii itakuwa ni hit, wasanii wanatoa nyimbo wakitegemea kuwa zitafanya vizuri hiyo habari ya kusema nimetoa hits sasa ngoja ntoe ngoma ya kawaida hamna kitu kama hicho, binadamu nature yetu ni kuwa greedy kwahiyo mtu akiwa hajatoa ngoma kali sio kaamua kuwa atoe ngoma ya kawaida ujue uwezo ndio umefika hapo
 
Nyimbo nzuri inafahamika tokea ikiwa studio na kama ukiwasikilizisha watu wako wa karibu watakupa maoni ,labda kama hushirikishi watu.
 
Similar Discussions

7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom