Rau Madukani mna ile miziki yenu😂Siyo mpenzi wa bongo flavor lakini baada ya BASATA kutoa ujinga wao itabidi nami nisikilize huu wimbo
Jinga kubwa weweRau Madukani mna ile miziki yenu😂
Saivi Ni zaidi na Zaidi MkuuWimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
Akiwaheshimu wananchi inatoshahana nidhamu kabisa
chadema tiini mamlaka ndugu zanguAkiwaheshimu wananchi inatosha
Basi tutaweka ile nambari wani mbele kwa mbeleBASATA: Wasanii mnakumbushwa kutotumia Lugha za Uchochezi
Mamlaka isiyo na kibali tunaitii vipi ?chadema tiini mamlaka ndugu zangu
Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
Polehana nidhamu kabisa