Wimbo wa Ney umeimbwa na malaika ni mtego kwa bunge na utawala!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha kitu, (bunge ni la mchongo na spika ni WA mchongo). Hapa sio ney ni malaika ,kama watawala hamjauona mtego wa malaika ndani ya huu wimbo basi ole wenu atakaeinua ncha ya kidole chake kwa ajili ya Ney!

Najua Kuna mchakato na tamko linaandaliwa kwamba amelitukana bunge tukufu na hivi Huwa hampendi kuguswa mtamwita kumhoji.

Nawambieni Tena huu wimbo kaandika malaika sio ney ! Ney yeye kauimba TU ! Maana hamchelewi, tunawaonya mapema!
 
Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali Kuna malaika alisimama nyuma ya ney ! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha kitu ,(bunge ni la mchongo na spika ni WA mchongo! ) Hapa sio ney ni malaika ,kama watawala hamjauona mtego wa malaika ndani ya huu wimbo basi ole wenu atakaeinua ncha ya kidole chake kwa ajili ya ney! Najua Kuna mchakato na tamko linaandaliwa kwamba amelitukana bunge tukufu na hivi Huwa hampendi kuguswa mtamwita kumhoji ! Nawambieni Tena huu wimbo kaandika malaika sio ney ! Ney yeye kauimba TU ! Maana hamchelewi, tunawaonya mapema!
Binafsi niko naisikiliza hii ngoma non stop kwa muda mrefu bila kuchoka
 
Hawa ndio watanzania mpenzi msomaji, wanapelekwa na upepo tu.

Kitu gani amekisema huyo msanii ambacho hamkijui ama hakisemwi kila siku humu ndani (jukwaa la siasa) na kokote kuliko na watanzania wasiopendezwa na kinachoendelea??

Wow!
 
Hawa ndio watanzania mpenzi msomaji, wanapelekwa na upepo tu.

Kitu gani amekisema huyo msanii ambacho hamkijui ama hakisemwi kila siku humu ndani (jukwaa la siasa) na kokote kuliko na watanzania wasiopendezwa na kinachoendelea??

Wow!
Kama kweli hicho alichoimba kinasemwa humu kila siku ulishasikia member yeyote humu kaitwa basata?
 
Hizi habari kwamba BASATA wamemuita ajieleze ni kweli?
Screenshot_20230727-173802_Instagram.jpg

Kweli
 
Back
Top Bottom