Wimbo wa enjoy ungekuwa ni collabo kati ya Jux na msanii wa kawaida ingetisha sana

Muite

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
2,344
4,801
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama walivyo wasanii wa Nigeria kina Davido they have nothing new ndio maana dunia sasa inakwenda na Burnaboy, Wizzdanie nk.

Kwa ninavyoona wimbo wa Enjoy ni mzuri sana na ungependwa na kufuatiliwa zaidi iwapo Jux angeimba na msanii wa kawaida na sio Diamond. Sema tatizo la Diamond anapoona ngoma ni nzuri atataka aibebe yeye.

Halafu sijui kwasasa Meneja wa Diamond ni nani. Kipindi yupo babu tale alikuwa anajitahidi sana Diamond awe na haiba ya kimuziki lakini isiyovuka mipaka. Kwasasa Diamond hana personality nzuri, amekuwa na muonekano usioendana na haiba yake, angalia hata anavyoweka manywele, nadhani kwa umbo lake na kichwa chake kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa nywele au rasta, ukikosea au kuzidisha unakuwa kituko.
Pia suala la kukaa tumbo/kifua wazi kwa umbile lake haimpendezeshi TOFAUTI NA WENYE MIILI KAMA KINA BURNABOY.

Kimsingi Diamond anatakiwa kujua yeye tayari ni star mkubwa sana na kwa level yake tayari ameshafika peak. Na sio kila nyimbo inayopitia lebo yake ya wasafi basi na yeye aimbe
 
Unazani kuimba na Davido,Wizkid au Burnaboy unaimba nae bure. Jux sio mjinga kaona Mondi anammudu na mshikaji wake, Davido tu Collabo anacharge mpaka dola elfu 80K,unazani Wizkid na Burnaboy ambao ni global superstar itakuwa shilingi ngapi.
 
ume andika nini sasa kwamba hata meneja wa Dplatnumz humfahamu unajua nini sasa ww kwenye muziki?
Dogo huo ushauri wako peleka angaza hizi ramli zenu kuna wajinga wajinga kama ww walianza toka 2015 mlisema hatafika mbali sasa ni 2023 bado mna endeleza ramli zenu!!!.
 
Kuna muda unafika kwa Msanii mkubwa kutokuwa na jipya katika jamii hata utoe ngoma kali kiasi gani. Ndivyo ilivyo sasa kwa Diamond, hana jipya la kuwavutia mashabiki na wapenzi wa music, labda aimbe nyimbo zake za zamani. Watu wanataka ladha mpya kuanzia personality, sauti nk. Ni kama walivyo wasanii wa Nigeria kina Davido they have nothing new ndio maana dunia sasa inakwenda na Burnaboy, Wizzdanie nk.

Kwa ninavyoona wimbo wa Enjoy ni mzuri sana na ungependwa na kufuatiliwa zaidi iwapo Jux angeimba na msanii wa kawaida na sio Diamond. Sema tatizo la Diamond anapoona ngoma ni nzuri atataka aibebe yeye.

Halafu sijui kwasasa Meneja wa Diamond ni nani. Kipindi yupo babu tale alikuwa anajitahidi sana Diamond awe na haiba ya kimuziki lakini isiyovuka mipaka. Kwasasa Diamond hana personality nzuri, amekuwa na muonekano usioendana na haiba yake, angalia hata anavyoweka manywele, nadhani kwa umbo lake na kichwa chake kunatakiwa kuwe na uwiano fulani wa nywele au rasta, ukikosea au kuzidisha unakuwa kituko.
Pia suala la kukaa tumbo/kifua wazi kwa umbile lake haimpendezeshi TOFAUTI NA WENYE MIILI KAMA KINA BURNABOY.

Kimsingi Diamond anatakiwa kujua yeye tayari ni star mkubwa sana na kwa level yake tayari ameshafika peak. Na sio kila nyimbo inayopitia lebo yake ya wasafi basi na yeye aimbe
Mimi sio mchawi ila nna hakika wewe ni wale vijana wanachomekea suruali tumboni na viatu mchongoko na gazeti kwapani.
 
Wimbo wa Enjoy angeimba Jux peke yake au na msanii wa kawaida ungebamba sana, tatizo Mondi anataka umaarufu yeye tu.

Kashafanikiwa hapo alipo. Hakuna nyimbo nzuri itakayopelekwa wasafi halafu Mondi asihusike. Hakajua hakana tena vibe
 
Unazani kuimba na Davido,Wizkid au Burnaboy unaimba nae bure. Jux sio mjinga kaona Mondi anammudu na mshikaji wake, Davido tu Collabo anacharge mpaka dola elfu 80K,unazani Wizkid na Burnaboy ambao ni global superstar itakuwa shilingi ngapi.
Umemwelewa kweli mtoa mada mkuu?!!!!!
 
Sijamwelewa okay kwani ww umemwelewaje.........

Then may nitakueleza nilivyo muelewa.
Naona kama hoja yake amesisitiza umuhimu wa kuwashirikisha wasanii wadogo na sio wakubwa kama Diamond, wewe naona umetaja wakubwa zaidi.
 
So unavyozani hoja ya mleta mada ndio ya Jux? Watu wanatizama watafika wapi,mziki ni biashara na pili Jux bado anaendelea kutoa nyimbo so huko mbele anaweza kuwashirikisha hao underground.
 
Back
Top Bottom