wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu Wimbo ni moja ya nyimbo zenye kitu. Na hizi nyingine zenye kujaa Roho ndani yake

    Sikumbuki jina la choir. Ila wanaimba "Mimi ni kitu gani Bwana uniokoe Ninapojitazama mimi sistahili Ninazo dhambi tele Shetani kanisonga Yesu uniokoe Unishike mkono bwana Ni moja ya choir za zamani sana. Kama sikoei ni kutokea Kilimanjaro au Arusha. Pia natafuta na choir ya Moravian...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  3. JamiiForums Tanzania Nafsi ya Joh Makini imeshindwa kukubaliana na ukweli Mchungu kuhusu mapokezi duni ya wimbo wake mpya uitwao "Bobea"

    Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla. Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa...
  4. JamiiForums Tanzania Jay Dee wacha nikwambie ukweli dada angu. Wimbo wako mpya " mambo matano" sio mzuri

    Achana na watu wanao komenti kwa kukuogopa kwenye page yako huko instagram. Ukweli ni kwamba wimbo wako sio mzuri na hauendani na nyakati zilizopo. Nakushauri ufanye tena research yako vizuri. Kisha nenda upya studio uje na wimbo mpya. Ni hayo tu dadake
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya: Wasanii watoa wimbo wa Kukemea matendo Maovu ya Polisi. Wamvaa RCO Andrew Kantimbo

    Tuseme Mbeya wameamua au ndo kawaida yao? Wanasema Andrew Kantimbo atawafunga, atawanyonga, atawapiga ila ajue sio Mungu. Kwamba anacheza na Chanda cha Mungu. Nashauri IGP amhamishe Mbeya sababu inaonekana Moyoni anachukiwa sana na Wananchi anao wasimamia.
  6. JamiiForums Tanzania Mbeya: Baada ya Polisi kumshikilia Msanii wa Nyimbo, Sifa Bujune Wenzake watoa wimbo wa Kulaani kitendo hicho

    Salaam Wakuu Ninacho jua, Watawala hawawezi kuwanyamazisha Watu wa Mbeya. Watu wa Mbeya ni wapole ila ni watu wenye Ushirikiano na kupendana pia. Hawaogopi wala kutishwa. Tangu enzi la Nyerere Mbeya imejijengea sifa hiyo. Waliomkamata Sifa walijua wamemaliza. Bado sana na ndo kwanza...
  7. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwimbaji wa Wimbo wa "Mnatuona Nyani" afikishwa Mahakamani, tuhuma za Uchochezi zayeyuka yawa kesi ya kusambaza Uongo

    Kwa mujibu wa Wakili Jebra Kambole ambaye yuko upande wa utetezi, amesema Watuhumiwa wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi jijini humo kwaajili ya kusomewa Mashtaka yanayowakabili. Sifa Bujune, Mkazi wa Isyesye anashikiliwa tangu Septemba 13, 2023 pamoja na Mtayarishaji wa muziki aitwaye...
  8. JamiiForums Tanzania Wakili Jebra Kambole asema Muimbaji wa Injili anayetuhumiwa kwa uchochezi akwama kupata dhamana Polisi

    Wakili Jebra Kambole amesema "Bado wanashikiliwa kituo cha polisi na hawajapewa dhamana Lakini tumeshapeleka kesi mahakamani kuomba waletwe mahakamani pamoja na wakili Philip Mwakilima, Boniface Mwabukusi na Nickson Kiliwa." Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya wimbo wa Taifa kwa matangazo

    Habari ya mchana wakuu. Kuna mahali nimeona tangazo kwenye ukurasa wa kampuni fulani ila audio inayo play ni wimbo wa Taifa la Tanzania. Naomba kufahamu, hii inaruhusiwa kisheria au kuna makatazo yake?
  10. JamiiForums Tanzania Tafadhali nichagulie Wimbo mzuri wa Kusikiliza ili nishushe Hasira zangu za Draw ya Kizembe ya Ndola nchini Zambia 16 Sept, 2023

    Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia. Ukiwa ni Wimbo wa Kikongo ( Rhumba au Sebene ) nitafurahi zaidi kwani ndizo Nyimbo ambazo huwa nikiwa Nimekwazwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯% Ukiujua...
  12. JamiiForums Tanzania Msanii Ruby atoa wimbo! Aomba support ya Mashabiki “YATAPITA”

    Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa kina Mbarikiwa Mwakupesile "Tatizo Wanatuona Nyani" umezua songombingo aka patashika nguo kuchanika!

    Wana jamvi, Ni matumaini yangu wote hamjambo. Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya. Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
  14. JamiiForums Tanzania Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Kwa wimbo huu wa mbilia Bel 'paka wewe' wakongo wapewe maua yao

    Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada Tafsiri ya huu wimbo

    Huyu dada anaimba lugha gani. Na wimbo una maanisha nini? Nyimbo amabazo anacheza huku amesimama ninazo pia ila mpaka ulipie hela
  17. JamiiForums Tanzania Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  18. S

    JamiiForums Tanzania TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

    TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani. .....sijui kutongoza.... .....ikiiingia inateleza.. ....paka mate niteleze.. .....nampatia sukari ananambia ongeza.. n.k, n.k...
  19. JamiiForums Tanzania Wimbo wa SOGEA karibu wa JUWATA JAZZ

    Kazi ya mziki wa dansi Hawa waheshimiwa waliutendea haki hasa kuishika hadhira na kupenyeza ujumbe na mafunzo kwa jamii. 1.Katika wimbo huu unakutana na mtunzi Kakere Belesa(nafikiri huyu alikuwa anatokea tanga)RIP.Alikuwa na bonge la idea na ujumbe ambao mpaka sasa unaishi Ni Mara nyingi...
  20. JamiiForums Tanzania Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…