LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 15,115
- 27,105
Wimbo ni mzuri lakini wananchi hawaja upokea vizuri kama walivyo zipokea nyimbo zilizo pita za Joh na weusi kwa ujumla.
Wimbo umeshindwa ku hit wimbo umeshindwa ku trend. Joh anatumia nguvu ya ziada ku push wimbo kwenye social networks (jambo ambalo ni nadra sana kufanywa na.mwanamuziki wa kaliba yake) In every comment he must mention his song. Yani anakuwa kama wale wauza dawa za nguvu za kiume na waganga wanao tangaza dawa zao kwenye comment sections za watu wengine. Jambo hili lina mfanya aonekane yupo musically desperate.
Joh, it is high time now ukubaliane na matokeo kuhusu mapokezi ya wimbo bobea..
Kubali kwamba watu hawaja upokea.
Inaonekana ulikuwa na matarajio makubwa sana kuhusu wimbo lakini kuwa dis appointed ni jambo la kawaida in music business.
Inaonekana umetumia gharama nyingi sana kwenye huo wimbo kama vile kumlipa msanii wa Nigeria ambae wimbo wako wa bobea unaendana kivionjo na wimbo wake.
Fanya upya research yako,.nenda studio uje na wimbo mwingine.