wimbo

Dappled Cities (formerly "Dappled Cities Fly") are an indie rock band from Sydney, Australia.

View More On Wikipedia.org
  1. Tafadhali nichagulie Wimbo mzuri wa Kusikiliza ili nishushe Hasira zangu za Draw ya Kizembe ya Ndola nchini Zambia 16 Sept, 2023

    Najitahidi kushusha Hasira za tokea Jana Jumamosi Saa 12 Jioni na hadi Usiku huu wa Saa 4 leo Jumapili bado tu hazijapungua kwa Draw ya Simba SC huko Jijini Ndola nchini Zambia. Ukiwa ni Wimbo wa Kikongo ( Rhumba au Sebene ) nitafurahi zaidi kwani ndizo Nyimbo ambazo huwa nikiwa Nimekwazwa...
  2. Msanii Lina Sanga asikilize kwa umakini wimbo mpya wa Lady Jaydee "Mambo Matano" kuna kitu atahisi na kuchefukwa

    Niende kwenye mada Lady Jaydee katoa wimbo mpya unaitwa "Mambo Matano". Kwa anaemjua Lina Sanga na nyimbo zake, kama anaujua mziki hasa melodies, na mengineyo nadhani itakuwa topic of the town. Kuna wimbo fulani wa Lina Sanga, Lady Jaydee kapita na desa la melody by 90+% kama sio💯% Ukiujua...
  3. Msanii Ruby atoa wimbo! Aomba support ya Mashabiki “YATAPITA”

    Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
  4. B

    Wimbo wa kina Mbarikiwa Mwakupesile "Tatizo Wanatuona Nyani" umezua songombingo aka patashika nguo kuchanika!

    Wana jamvi, Ni matumaini yangu wote hamjambo. Lengo la hii thread ni kuhusiana na wimbo wa washiriki wa kanisa la Mbarikiwa Mwakipesile wa kanisa la Kikosi cha Injili huko Mbeya. Kibao hiki kilicholeta shida kinaenda kwa jina "Tatizo wanatuona nyani" ambao ndani yake wamejaribu kuelezea...
  5. Mbeya: Msanii wa Nyimbo za Injili, Sifa Bujune ashikiliwa kwa tuhuma za kuimba wimbo wenye maudhui ya uchochezi

    Mwimbaji huyo Sifa Boniventure Bujune (25) ni Mkazi wa Isyesye anatuhumiwa kuimba wimbo unaojulikana kwa jina la “Tanzania Inaelekea Wapi?” wenye maudhui ya uchochezi na kisha kuurusha katika Mitandao ya Kijamii pamoja na YouTube. Kamanda wa Polisi Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema Mtuhumiwa...
  6. H

    Kwa wimbo huu wa mbilia Bel 'paka wewe' wakongo wapewe maua yao

    Muda wa kupumzika tupunguze stress Kisha tuamke nazo tena kesho asubuhi. Nimekoma baada ya kusikia hiki kibao cha mkongwe mbilia bell nawanyoshea mikono juu wakongo wote. Ni kibao cha zamani lkn matata sana mpiga solo abebwe juu ashangiliwe sijui jina nani kaliungurumisha Solo vinginevyo...
  7. Msaada Tafsiri ya huu wimbo

    Huyu dada anaimba lugha gani. Na wimbo una maanisha nini? Nyimbo amabazo anacheza huku amesimama ninazo pia ila mpaka ulipie hela
  8. Msanii Nay wa Mitego ahojiwa na Polisi na kufunguliwa kesi ya Uchochezi

    Msanii Nay wa Mitego anahojiwa na jeshi la polisi Dar es Salaam kutokana na wimbo wake “AMKENI” Bado najiuliza ni nani anamshauri Rais kutumia hii style kukabiliana na wote ambao hawamsifii? Rais ni kweli umechangua njia hii? Kweli njia nii utaiweza? Utakamata na kuhoji wa ngapi? Rais mbona...
  9. S

    TCRA kuufungia wimbo "Amkeni" wa Ney wa Mitego na kuacha nyimbo za matusi ni uchawa, kujipendekeza na unafiki

    TCRA acheni kutumika vibaya. Mmeufungia wimbo wa Ney Wamitego "Amkeni" kwasababu tu umemparura aliyewateua lkn mmeacha nyimbo kibao za matusi zkiendelee kwenda hewani. .....sijui kutongoza.... .....ikiiingia inateleza.. ....paka mate niteleze.. .....nampatia sukari ananambia ongeza.. n.k, n.k...
  10. Wimbo wa SOGEA karibu wa JUWATA JAZZ

    Kazi ya mziki wa dansi Hawa waheshimiwa waliutendea haki hasa kuishika hadhira na kupenyeza ujumbe na mafunzo kwa jamii. 1.Katika wimbo huu unakutana na mtunzi Kakere Belesa(nafikiri huyu alikuwa anatokea tanga)RIP.Alikuwa na bonge la idea na ujumbe ambao mpaka sasa unaishi Ni Mara nyingi...
  11. Huu wimbo wa Zabron Singers unaweza ukatamani kuoa kutokana na vibe lake

  12. H

    Wimbo Overdose ya Diamond kali sana nimeikubali

    Jamaa kaachia wimbo kimya kimya kwa kweli aina hii ya release za Diamond zinakuwaga kali tofauti akifanya promo kubwa.Nimependa sana lyrics yake, melody, Vocal na S2kizzy katengeneza beat nzuri sana ni wimbo ambao huwezi kuuchoka kama baadhi ya nyimbo za mondi.
  13. Ni Wimbo gani wa Kikongo ( Sebene au Rhumba ) uliucheza vyema 'Stejini' hadi Ukampata Mpenzi wa Kukupenda?

    Kila nikiukumbuka Wimbo wa Maggie ( hasa Sebene lake ) wa Koffi Olomide nakumbuka mbali mno kwani nilivyokushauri Nauserebuka Kiustadi katika Sherehe uliweza kunipa Mpenzi ambaye baadae alinikataa kwa kuona nimeanza kupenda Nyimbo za Bob Marley na Tupac Shakur. Pia kila nikiupiga Wimbo wa...
  14. Wangapi wanaukubali huu wimbo?

    Nimeukuta mtandaoni. Uusikilize mwenyewe!
  15. Sikiliza Wimbo wa Kiswahili (Africa Anthem) unaounganisha Mataifa yote ya Afrika

    Wimbo wa Kiafrika hatimaye umetoka... Ni kwa Kiswahili kwa sababu hiyo ndiyo lugha inayozungumzwa zaidi katika Bara la Afrika.
  16. Nisaidieni kupata wimbo huu wadau

    Kwanza moderator naomba usiupeleke uzi huu kule kwingine maana kule sijapata msaada Wimbo wenyewe unaimbwa... "Nalia woo wooo, nalia sana woo wooo ×2 Nataka kuwa mimi milionea, uwezo sina woo wooo Nataka gari ya kutembelea, uwezo sina woo wooo Masikini nadharaulika hapa duniani woo wooo Sina...
  17. TCRA yapiga stop wimbo wa Nay wa Mitego kuchezwa kwenye vyombo vya habari

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imepokea taarifa kutoka Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kuzuiya wimbo uitwao "Amkeni" uliopigwa na mwanamuziki Emmanuel Elibariki (Nay wa Mitego) kutopigwa katika mitandao ya kijamii na vombo vya habari. Aidha, kwa mujibu wa BASATA, maudhui ya wimbo huo...
  18. Wimbo wa Ney umeimbwa na malaika ni mtego kwa bunge na utawala!

    Mashairi haya yamepangiliwa sio na ney Bali kuna malaika alisimama nyuma ya Ney! Hakuna aliyeachwa humo ndani ! Ni zaidi ya hotuba inayofaa kuisikiliza kwa masaa sita bila kuchoka! Soma: Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7 Dakika Tano za wimbo huu hazijaacha...
  19. K

    Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  20. S

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…