wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Wachimbaji wadogo wa mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe wapewa siku sita waondoke

    Habari wana jambi! Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo. Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine...
  2. Shemsa Mohammed aongoza Kamati ya Siasa ya mkoa wa Simiyu kuhitimisha kukagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wilaya ya Busega

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Busega. Kwenye wilaya ya Busega, Jumla ya Miradi 6...
  3. Mkuu wa Wilaya ya Same aagiza Shule ya Msingi Kigulunde ifungwe kutokana na kutishia usalama wa watumiaji

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameagiza kufungwa kwa Shule ya Msingi Kigulunde, iliyopo katika Kata ya Mtii, Tarafa ya Gonja kutokana na kutishia usalama na uhai wa wanafunzi pamoja na walimu wao. Shule hiyo iliyojengwa mwaka 1975, licha ya kukabiliwa na uchakavu wa majengo yake...
  4. Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi Wilaya ya Bariadi

    KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU IMEENDELEA KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI WILAYA YA BARIADI, HALMASHAURI YA BARIADI TC Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 04/12/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua...
  5. MSD yasambaza vifaa tiba vya zaidi ya Tsh 930m katika Vituo vya Afya 24 vya Halmashauri ya Wilaya ya Ulanga

    Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga. Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
  6. Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima, Simiyu.

    Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsha Mohamed amekabidhi gari la wagonjwa lililotolewa na Serikali ambalo...
  7. Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 25/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Bariadi, Halmashauri ya Bariadi DC Katika...
  8. Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Imeendelea Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Itilima

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 24/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Itilima Jumla ya Miradi 5 yenye thamani ya Mil 700...
  9. Mganga Mkuu wa Wilaya ya Temeke lifanyie kazi hili

    Jana tarehe 23, majira ya saa tatu usiku nilifika hospitali ya Malawi - Yombo, (yenye hadhi ya kiwilaya - ni referral hospital katika ukanda wa temeke) nikiwa na kijana wangu mdogo ambae alikuwa na homa, huduma zikawa zimesimama kwa kinachoelezwa umeme hauko sawa katika majengo ya mapokezi...
  10. Halmashauri ya Wilaya ya Ubungo tusaidieni hili la taka Sinza, hali ni mbaya

    Nikiwa kama mwananchi nimeona nitumie jukwaa hili maana naamini wahusika wengi wapo humu na wengi wanaweza saidi kupaza sauti. Nimepita eneo la Sinza kumekucha karibu na kanisa la KKKT kiukweli hali ya usalama wa afya ni mbaya kwa wakazi hao. Nilifanya mahojiano na baadhi ya wakazi wa maeneo...
  11. Ndugu Shemsa Mohammed Aongoza Kamati ya Siasa Mkoa wa Simiyu Kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM Wilaya ya Meatu

    NDUGU SHEMSA MOHAMMED AONGOZA KAMATI YA SIASA MKOA WA SIMIYU KUKAGUA UTEKELEZAJI WA ILANI YA CCM WILAYA YA MEATU Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake ndugu Shemsa Seif Mohammed tarehe 22/11/2023 imeendelea na ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa...
  12. Polisi Michael Rasha Atoa ujumbe kwa IGP Wambura. Rais Samia ampe Ukuu wa Wilaya

    Kumbe sio kila Polisi ana roho mbaya wala katili. Wapo Polisi baadhi wema. Yupo Rasha mmoja kwa Polisi 1,000. Sema watu kama hawa wanakomolewa kwa kupelekwa Vijiji vya ndani ili wasionekane kitaifa. Rasha alitakiwa ahudumie japo Wilaya nzima sio kata tu. Wanaotenda mema bila kujali mapito...
  13. M

    Wilaya ya Mbarali imekuwa ikitoza ushuru wakulima bila kuwatengenezea barabara

    Moja Kwa Moja kwenye mada; niwapongeze wilaya ya Mbeya vijijini waliohusika na ujenzi wa Barabara ya Inyala -Malamba kupitia hospitali ya wilaya iliyopo Inyala Hadi stesheni ya Tazara Kijiji Cha Malamba. Barabara hii haijawahi kutengenezwa toka mwaka 1970 wakati wa ujenzi wa reli. Barabara hii...
  14. C

    Waziri Mchengerwa mtume Naibu Waziri wako Halmashauri ya Wilaya ya Kilwa

    Mheshimiwa waziri agizo lako la kumtuma naibu waziri kutembelea Halmashauri ambazo wakurugenzi hawajawalipa hela za kujikimu waajiriwa wapya halistahili Tu pongezi Bali na kuungwa mkono pia. Ila hapa nimetembelea wailayani Kilwa kwenye hospital ya Kinyonga nimekutana na malalamiko ambayo pia...
  15. Mbunge Aysharose Mattembe Aitaka Halmashauri ya Wilaya ya Singida Kuwa na Miradi ya Maendeleo Kuongeza Ukusanyaji Mapato

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi wa Halmashauri hiyo. Pia, Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe...
  16. Mkuu wa Wilaya awataka Maafisa Ugani na Watendaji wa Vijiji watoke ofisini waende wakatoe elimu ya Kilimo Bora

    Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Mkoani Katavi amewataka Maafisa Ugani na Maafisa Watendaji wa Vijiji kuhakikisha wanawafikia Wakulima ili kuendelea kutoa elimu ya kilimo bora. Mkuu wa Wilaya hiyo, Onesmo Buswelu ameyasema hayo wakati Kikao cha Maendeleo cha Wilaya kilichohusisha Watumishi wa...
  17. K

    Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

    Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023. Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu...
  18. Tetesi: Musiba kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya, anaweza kupewa Arusha, Hai au Tarime

    Kuna tetesi zinatembea "chini ya kapeti" kwamba Musiba anaweza kuteuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya katika hizo Wilaya tata kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu.Tega sikio
  19. M

    Ombi kwa Paul Makonda ukiwa Chato muamrishe mkuu wa Wilaya apige marufuku kamari za kichina. Ziwawafisi na kuwamalizia walimu pesa

    Walimu wanaliwa pesa isee na hizi mashine za kichina hazifai Makonda okoa walimu wa Chato.
  20. Naibu Waziri Dkt. Dugange: Milioni 900 Kukarabati Hospitali ya Wilaya ya Mbozi

    NAIBU Waziri anayeshughulikia Afya Ofisi ya Rais-TAMISEMI , Mhe Dkt. Festo Dugange amesema Serikali katika mwaka wa fedha wa 2023/24 imetenga kiasi cha Sh Milioni 900 kwa ajili ya ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Mbozi. Mhe. Dkt Dugange ameyasema hayo leo bungeni jijini Dodoma wakati akijibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…