Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

KANYAGWANDA

Member
Apr 16, 2023
5
11
Hii Nchi sijui tunaelekea wapi.Walimu zaidi ya 100 wameenda semina ya kusimamia Mtihani wa kitaifa wa Kidato cha nne unaotaratijia kuanza November 13, 2023.

Cha ajabu karibu walimu 54 mpaka sasa hawajapata barua kujua vituo watavyosimamia huku Mafsa Elimu kata wakiwa kimya. Hao hao maafsa Elimu kata wamekuwa wakiwapigia simu baadhi ya Walimu (Ambao hawakuhudhuria semina) wakiwaomba hela ili wapangiwe vituo vya kusimia Mtihani huo. How comes Mtu hajahudhuria semina, hajala kiapo asimamie Mtihani kama siyo Rushwa ni nini?

Kuna harufu sana ya Rushwa ndani ya ofsi ya DED, TAKUKURU, DEOs pamoja na AEKs.

Hii wilaya watu wanajiibia watakavyo bora hata Makonda apite pengine uovu utakomeshwa maana huku ndo kuna mapapa wa rushwa haswa. Mpka wathibiti rushwa nao wanakula Rushwa.

NECTA SHITUKENI MTAPIGWA ZA USO.

Kuna harufu kali sana ya rushwa.
 
Kwimba ni nje ya Tanzania, wilaya kongwe imechoka na haieleweki ni kama Ukerewe, kuliko kuishi kwimba bora ata uende Magu pamechangamka.

Walimu ni wajinga sana, unganeni msitoe rushwa alafu tuone huyo afisa elmu kama ataacha kuwapanga akasimamie mtihani pekeyake.

Tena mkipangwa na mafunzo hamkwenda mnakaataa achene kuwa ndondookila wao kila siku.
By the Way Ualimu ni Kazi ya laana by Mpwayungu Village
 
Kwimba ni nje ya Tanzania, wilaya kongwe imechoka na haieleweki ni kama Ukerewe, kuliko kuishi kwimba bora ata uende Magu pamechangamka.

Walimu ni wajinga sana, unganeni msitoe rushwa alafu tuone huyo afisa elmu kama ataacha kuwapanga akasimamie mtihani pekeyake.

Tena mkipangwa na mafunzo hamkwenda mnakaataa achene kuwa ndondookila wao kila siku.
By the Way Ualimu ni Kazi ya laana by @Mpwayungu Village
Uzi ufungwe
 
Back
Top Bottom