Magesajr
Member
- Nov 13, 2018
- 32
- 79
Habari wana jambi!
Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo.
Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine lukuki.
Wachimbaji hao wamefukuzwa bila kupewa fidia yeyote kutokana na gharama walizo tumia kwa kigezo kua kuna Muwekezaji.