wilaya

A wilayah (Arabic: ولاية‎, wilāya, plural wilāyat, wilayat; Urdu and Persian: ولایت‎, velâyat; Turkish: vilayet) is an administrative division, usually translated as "state", "province" or occasionally as "governorate". The word comes from the Arabic "w-l-y", "to govern": a wāli—"governor"—governs a wilayah, "that which is governed". Under the Caliphate, the term referred to any constituent near-sovereign state.

View More On Wikipedia.org
  1. Trubarg

    Ufahamu kuhusu eneo linaitwa Kisopwa Wilaya ya Kisarawe

    Habari wadau. Kuna mdau yeyote anafahamu hili eneo. Je panafaa kuweka makazi yaani kujenga na kuishi? Nategemea majibu kutoka kwenu.
  2. M

    DOKEZO Wakazi wa Muganza, Chato tunaomba TAKUKURU imchunguze Hakimu Mfawadhi Makama ya Wilaya Chato

    Amekuwa akishirikiana na waendesha mashitaka wa TANAPA kubambikizia kesi watu wasiokuwa na hatia kisha kuomba rushwa kubwa. Watu wanabambikiziwa kesi kuwa ni wahujumu uchumi kwa kufanya uvuvi haramu kisiwa cha Rubondo na kisha kuombwa rushwa. Malalamiko yapo ofisi za PCCB wilaya ya Chato lakini...
  3. chiembe

    PreGE2025 Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, asema 'ana soda' kwa ajili ya wajumbe!

    Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" . Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
  4. Stephano Mgendanyi

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makandokando na kujenga mshikamano

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola. MNEC Khamis Hamza Chilo alisema hayo kata ya Ilala katika mkutano mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya chama...
  5. Kijana LOGICS

    Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

    Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar. Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA. Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja. Dar 70= Rukwa 1. Dar 75= Tabora moja
  6. A

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Bahi inazungusha kuwalipa watendaji wanaohamishwa vituo vya kazi

    Habari, Naomba mtusaidie kuizungumzia kero yetu hii ya Halmashauri ya Wilaya ya Bahi hususani Idara ya Elimu. Na hii imekuwa kama kero sugu. Afisa Elimu amekuwa na kawaida ya kuwahamisha walimu vituo vya kazi na ukiomba ulipwe kwa kuwa amekuhamisha yeye atakuzungushwa muda mrefu mpaka mwisho...
  7. and 998 others

    2021 Nissan Patrol 5.6 V8 LE Premium - Hospitali ya Wilaya inayotembea

    Wakuu hii kitu ya moto sana, gharama za kuinunua hii chuma ni sawa na hospitali ya Wilaya (pamoja na Assets zote) huko BUHIGWE. Hakika duniani wapo viumbe (akiwemo Mstaafu) wanafurahia maisha. NB: Tupeleke watoto CHIPUKIZI aisee. Haya mambo ya kukomaza Komwe ufaulu NECTA sijui SUA ndo uje...
  8. T

    Natafuta shule za Nursery kwa Wilaya ya Kahama

    Habarini wadau, Naomba kufahamishwa kuhusu shule za awali katika wilaya ya Kahama. Kuna kaka yangu anataka kumpeleka mtoto wake wa kike kusomea hapo. Mtoto ana umri wa miaka 4 na ½ Naomba kuwakilisha
  9. peno hasegawa

    Tanesco Wilaya ya Chunya , umeme umekuwa ANASA, unakatwa Kwa makusudi au ni mgao?

    Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
  10. S

    DOKEZO Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru nauli zetu za likizo kwanini hamjalipa mpaka leo?

    SIsi watumishi walimu tuliwasilisha fomu zetu za likizo tangia mwezi wa 11 mwanzoni, ila mpaka tarehe ya leo hatujalipwa wakati likizo imeshafikia nusu. Tunaomba mkurugenzi atueleze likizo tunaendaje? Kwanini amekalia pesa zetu na hataki kutulipa. Mchengerewa wewe ni jembe tegemeo la Rais...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
  12. peno hasegawa

    Tanesco wilaya ya Chunya kama tumewakosea mtusamehe! Umeme unakatika kila siku!

    Kila siku chunya umeme unakatwa! Tanesco kama tumewakosea mtusamehe! Tupatieni umeme kama mmetusamehe!
  13. BigTall

    Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  14. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele (Katavi) amewataka wavamizi katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji. Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
  15. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid akerwa kukuta mifuko ya saruji imeganda

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo ilihifadhiwa vibaya na hatimaye kukutwa imeganda. Majidi amefanya ziara ya kutembelea...
  16. M

    Peter Madeleka kusikiliza kesi ya Gekul mahakama ya Wilaya kwa tuhuma alizonazo dhidi ya Hamis

    Ameandika kwenye ukurasa wake wa X Hatua ya KWANZA kuhusu GEKUL ndiyo hiyo hapo 👇. Natarajia Mahakama ya Wilaya ya Babati itatimiza WAJIBU wake kwa wakati, ili Kuanzia Jumatatu tarehe 11 Disemba 2023 hatua nyingine za KISHERIA ziendelee. Hatua hiyo nimeichukua chini ya kifungu cha 128(2) na...
  17. Skull dance

    Naomba mawasiliano ya Maafisa hawa wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mara

    Kwa mwenye nazo naomba anisaidie namba za simu za Mkurugenzi Rorya DC, Afisa Utumishi Rorya, Afisa Elimu Secondary na kama unazo za staff wengine nitashukuru ukishea nami, ninashida nazo. Natanguliza shukrani zangu.
  18. Magesajr

    Wachimbaji wadogo wa mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe wapewa siku sita waondoke

    Habari wana jambi! Wachimbaji wadogo waliopo kwenye mgodi wa Kanegere wilaya ya Mbogwe mkoa wa Geita wamepewa siku sita wawe wameondoka katika mgodi huo. Serikali inasema wawekezaji Wachimbaji hao wadugu wamekuwa wakichimba ki wizi ilihali serikali ilikua ikichukua kodi na mirahaba mingine...
  19. Stephano Mgendanyi

    Shemsa Mohammed aongoza Kamati ya Siasa ya mkoa wa Simiyu kuhitimisha kukagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi wilaya ya Busega

    Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Simiyu chini ya Mwenyekiti wake Ndg Shemsa Seif Mohammed leo tarehe 06/12/2023 imehitimisha ziara yake ya kukagua Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi 2020/2025 ndani ya Mkoa wa Simiyu, Wilaya ya Busega. Kwenye wilaya ya Busega, Jumla ya Miradi 6...
  20. Roving Journalist

    Mkuu wa Wilaya ya Same aagiza Shule ya Msingi Kigulunde ifungwe kutokana na kutishia usalama wa watumiaji

    Mkuu wa Wilaya ya Same, Kasilda Mgeni ameagiza kufungwa kwa Shule ya Msingi Kigulunde, iliyopo katika Kata ya Mtii, Tarafa ya Gonja kutokana na kutishia usalama na uhai wa wanafunzi pamoja na walimu wao. Shule hiyo iliyojengwa mwaka 1975, licha ya kukabiliwa na uchakavu wa majengo yake...
Back
Top Bottom