wewe

Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.

View More On Wikipedia.org
  1. Bueno

    JamiiForums Tanzania Je! Wewe Utafanyaje?

    Ukiamka kesho asubuhi ukakuta dunia ina kila kitu unachokihitaji na hakuna mtu yeyote wa kumsemesha au kumuongelesha yaan umebakia peke yako dunia nzima, Utafanyaje? Ijumaa Karim!
  2. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Hawa maslay queen bwana, soma na wewe

    ⚠️😭 Socialite huyo wa Nigeria kwa jina la Benjamin(Killaboigram) ambaye ana miaka 26 amekiri na kujutia kumuua mpenzi wake huyo kwa jina la Austa ambaye pia ni socialite baada ya kutokea ugomvi baina yao Alimuua katika nyumba aliyokuwa anaishi, ilijulikana baada ya familia ya mwanamke kumtafuta...
  3. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Sisi wote wageni hapa duniani, imekuaje unajiita "Life Coach"?

    Wakuu kuna kitu kimekuwa kikinikera mno na kunishangaza, naona leo nikiweke hadharani. Kuna hawa viumbe wanaojiita Life Coach wamezidi kuongezeka sana town. Kimsingi ni Motivational Speakers ambao kwa sababu wanazozijua wao wameamua kujipa vyeo kwamba ni makocha wa maisha. Najiuliza maswali...
  4. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Funguka, Weka hapa mkasa wako uliojutia kumuazima rafiki yako chumba / geto lako, Mimi yalinikuta haya, wewe je?

    Kwakweli hiki kitu kiliniuma sana, nilimuazma geto rafik yangu ili AZAGAMUE, nyie acheni tu, nilijifunza kuanzia siku iyo mpaka leo chumba changu ni Madhahu, Takatifu siwezi kuazima mtu. Niliwahi kumuazima rafiki Geto, saa 12 jioni alinirudishia funguo mwenyewe, narudi saa mbili geto namkuta...
  5. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO OCS kituo cha Polisi Igogo Mwanza jitathimini wewe na askari wako

    Ndugu wanajamvi Habari za muda huu, Nilifungua kesi polisi Igogo Mwanza na hii ni wiki ya tatu mtuhumiwa wangu hajakamatwa, mtuhumiwa amezidi kunitesa na kuniwinda njiani usiku ninapotoka kazini. Mtuhumiwa alinitishia kunidhuru ila RB Inasoma Kutoa Lugha chafu, Hii Imekaaje? Na kwanini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania SoC03 "We! Mmmmhh ni wewe, hapana sio wewe ni wewe" alisikika rafiki wa maisha akimuita Naisha

    😂😂😂Hahaa!! Acha nicheke nifurahi, nikakumbuka hadithi ya "Nani amfunge paka kengele" niliyofundishwa na Mwl Ludao 😀 Mmhh, nyie! Acha kabsaa, ukiachilia mbali ile hadithi ya Mwl Kukome "Sizitaki mbichi hizi". Ukiachilia mbali maswali yangu niliyouliza kutojibiwa zaidi ya kuambiwa kua uyaone 😂...
  7. Equation x

    JamiiForums Tanzania Wewe ndio chanzo cha umasikini katika familia yenu

    Katika familia, gharama hazipo kwenye kuzaa tu; bali gharama zipo kwenye malezi. Na kwa mazingira ya sasa, unaweza kuta kijana ana miaka zaidi ya 30, lakini bado anaishi kwao, huku akiendelea kuwapa mzigo mzito wazazi wake. Kwa nini nasema wewe ndio chanzo cha umasikini wa kwenu; ni kwa...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Miaka ya 80, 90 hadi 2000 Dar ilikuwa inachangamshwa na ngoma mbali mbali za kitamaduni, je wewe unakumbuka ngoma ipi?

    Enzi hizo ilikuwa ukienda Kinondoni kuanzia ijumaa hadi jumapili maeneo mengi yalikuwa yakitawaliwa na ngoma ya sindimba, ambayo inasemekana asili yake ni huko mkoani Mtwara na wenyeji wa ngoma hiyo ni wamakonde haswa wale waliochanjwa chale. Siku hizo hizo za ijumaa hadi jumapili ilikuwa...
  9. Girland

    JamiiForums Tanzania Je, wewe ni "Mungu"?

    MOJAWAPO ya maswali magumu, ambayo mwanadamu amekuwa akitafuta majibu ni MIMI NI NANI, JE MUNGU NI NANI, n. k Tumesikia pia, nchini Tanzania mwanamama anayejiita "Mfalme Zumaridi " akijiita "mungu "!.Viongozi wa dini mbalimbali wamejitokeza kumpinga na kusema kuwa anakufuru kujiita "mungu ".Je...
  10. cupvich

    JamiiForums Tanzania SoC03 Pale ambapo mimi na wewe tumeshindwa kumlinda mtoto wa kike, teknolojia ya habari na mawasiliano haina budi kuingilia kati

    Katika miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto wa kike hususan wanafunzi wa shule za msingi na sekondari kunyanyaswa kingoni ikiwa ni pamoja na Kuingiliwa kimwili (KUBAKWA) hadi kupelekea kukatisha masomo yao kutokana na kubeba Mimba na kuathirika kisaikolojia jambo ambalo...
  11. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

    Salamu wana jamvi! Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana? Natanguliza shukrani!
  12. V

    JamiiForums Tanzania Rais Samia sikiliza na kubali ushauri kuhusu mkataba wa Bandari

    Kwa asili Mwanawake amejaliwa kwa neema ya mwenyezi Mungu kuwa msikivu. Ni msikivu mzuri na hasa 'anaposomeshwa' na mwanaume. vinginevyo, ndoa zisingekuwepo duniani. Tumeshuhudia siku za hivi karibuni mjadala mkali kuhusu bandari zetu zilizopo upande wa pili wa Muungano. Wabongo tumegawanyika...
  13. Shark

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando hata Wewe?

    Kila Nikiwaza kuandika huu uzi nilikuwa najishauri sana, mwishowe nimeona tu bora niandike ili dukuduku langu liishe. Hivi karibuni watangazaji wakituo cha Wasafi FM Gerald Handom Maulid Kitenge na Zembwela walienda mpaka ziliko ofisi za DP Word kwenda kufanya mahojiano na wafanyakazi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ukiolewa usikubali kupewa masharti, kumpikia, kumfulia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl

    Amkeni akina dada. Wewe amekukuta ukiwa mtu mzima, hivyo endelea kufanya yale yote aliyokukuta ukiyafanya. Usigeuzwe kuwa mtumwa ama mfanyakazi wa kazi za ndani baada ya kuolewa. Wewe ni msaidizi wake. Maana yake mume ndiyo anatakiwa kupika, kufua na kusafisha nyumba, akilemewa wewe ndiyo...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Uiolewa usikubali kupewzmasharti, wala kumfulia, kumpikia na kusafisha nyumba. Wewe siyo house girl.

    Wewe
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ungependa kuongozana na mkeo akiwa katika mavazi gani?

    Ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo ndefu zilizomsitiri mwili wake? Au ungependa kuongozana na mkeo, akiwa kavaa nguo zimembana au zimemuacha nusu uchi, huku wanaume wenzako wakimsifia?
  18. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Haya mambo 30 yanayonisumbua sana, sijui wewe

    Katika mambo yanayonisumbua maisha yangu, mambo haya 30 yanaongoza; 1. Kila kitu ni kitapita au ni cha muda tu ukiwemo uhai au maisha yangu. 2. Ukweli kuwa sitoridhika na nilichonacho au niliyonayo mpaka wakati wa kufa 3. Uhalisia kuwa uchu ndiyo unaotawala uchumi na uchumi nao kutawala uchu...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Cheedy: Kuvunja mkataba Konde gang ni Billioni 1 ila wao wakivunja mkataba na wewe ni million 10

    Msanii Cheedy hivi karibuni Konde Kang walivunja mkataba nae ikalazimika imlipe million 10 kama sehemu ya kuvunja mkataba. Wakati akihojiwa na East Africa Radio, Cheedy amefunguka kuwa; "Mkataba waliotengeneza Konde Gang hauendani na uwekezaji wanaouweka kwa sisi wasanii. Haiwezekani uweke...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Salim Asas tambua kuwa wengi wa UVCCM hawafurahii mnavyouza nchi. Wanaofaidi ni wachache, hawawezi kutetea ufisadi

    Usilazimishe watetee uovu. ---- MNEC SALIM ASAS ATAKA VIJANA KUVUNJA UKIMYA KUJIBU HOJA ZA WAPOTOSHAJI MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Salim Asas ameushangaa ukimya wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kutetea viongozi na mipango mbalimbali ya maendeleo inayofanywa...
Back
Top Bottom