Wewe Gombel is a female supernatural being or ghost in Javanese mythology. It is said that she kidnaps children.This myth is taught to encourage children to be cautious and to stay at home at night. Traditionally, the Wewe Gombel is represented as a woman with long, hanging breasts. Modern representations include vampire-like fangs. This is a popular spirit that also appears in comics.
Yaani kabisa Dr Matola PhD awe Boss wangu Himayani na amesfaafu ( na najua aliharibu mno kuanzia mfano mwaka 2005, kisha Mimi GENTAMYCINE nimekalia Kiti changu ( alichokikalia Yeye ) kisha niwe namsikiliza Yeye kwa kila Kitu hata kama ni Pumba na mambo yasiyofaa Himayani.
Nitakachokitoa a ni...
Jiji la Dar es Salaam ndilo jiji lenye amsha amsha kuliko jiji lingine lolote. Ndilo jiji lenye bandari kubwa nchini, uwanja wa ndege mkubwa, barabara za kutoka sehemu zote nchini huishia Dar.
Dar ni jiji la maraha na karaha pia. Matapeli, vibaka, majambazi, wezi, na machanguduoa pia.
Mitume...
Tukiwaambia nchi hii tumepitia kipindi kigumu sana muwe mnaelewa jamani! Maana kuna watu kabisa uwezo wao wa kufikiri ni mdogo sana.
During that regime kila mwekezaji alikuwa anaogopa na wengine walifirisiwa kabisa ama moja kwa moja au kwa kuchukua pesa kwenye akaunti zao, mfano Nimrodi mkono...
Kisa kingine cha kweli acha niwashirikishe kuhusu JPM kipindi alipokuwa W UJ.
Kama sikosei ilikuwa mwaka 2013 kipindi hicho miradi miwili ya barabara kuanzia Songea mjini hadi Namtumbo na Likuyu hadi Mbinga ilikuwa inatekelezwa kwa ufadhili wa MCC.
Songea - Namtumbo Mkandarasi wake ilikuwa...
Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli.
Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio kwa makusudi kabisa kwa kudhani wanawakomoa hao wanao dhani ni wafuasi wa Magufuli.
Mh.Rais...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza limetangaza ‘dau’ la Sh1.5 milioni kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa watuhumiwa wa mauaji ya Juliana Lukono (51) aliyeuawa na wasiojulikana wilayani Magu.
Mauaji ya mwanamke huyo yanadaiwa kutokea usiku wa kuamkia leo Mei 12, 2023 alipokuwa akiishi katika Kijiji...
Kila mmoja ana pitia changamoto hapa duniani, iwe changamoto ya kifedha, uchumi,msiba na hata mahusiano.
👉 Ila kumekuwa na tatizo kwa baadhi ya wanna jamii, ambao wamekuwa wakishindwa jinsi ya kukabiliana na changamoto hizo.
Na hii hupelekea wao kujiona Kama walioshindwa, laaniwa au kutokuwa...
Ni mimi na Wewe
Ili kujenga jamii bora yenye kuzingatia maadili na desturi za kiafrika basi watekelezaji wakubwa ni mimi na wewe. Mimi na Wewe ndio tunaoweza kuibadilisha jamii au kubadilisha jamii zetu na ziwe katika mstari mnyoofu na wenye kuleta matunda kuanzia sasa na vizazi vingine vijavyo...
Vipi kwema wakongwe wenzangu?
Wakuu mimi ninachemshabongo yangu ambayo imenisumbua kwa muda mrefu, so nitafurahi na kushukuru sana kama nitapata mtu mwenye upeo wa kuijibu chemshabongo hiyo.
1. Kwanza naomba mtu aniwekee jina la band au msanii gani alieimba wimbo wa zamani unaoimbwa "mtu ni...
Morng Africa
Ukilisikia neno mswahili kwako unapata maana gani yaani ukisikia mtu anaitwa mswahili ni picha gani inakujia juu ya mtu alie itwa mswahili
Za sahizi wakuu,
Leo, hebu tuongee juu ya safari isiyo ya kawaida ya shujaa wa ndondi Mike Tyson na uamuzi wake wa kukaa bila kujihusisha kimapenzi kwa miaka tano ya kushangaza. 🥊
-Mike Tyson, anayejulikana kwa ngumi zake zenye nguvu na mtindo wa kupigana kwa ukali, alikabili changamoto...
Hasa kwa wale vinganganizi kutwa nzima kufatilia kama mwanaume ana mtoto nje, ukiupata ukweli ujipange kisaikolojia!! ni heri ukae kimya umwache mme wako kama alivyo wewe kaa kimya tu maisha yaendelee
(1) Mwanzo alikua anawasiliana na huyo Mama wa mtoto kimya kimya,hakutaka ujue, alikua...
This is mei dei. Happy birthday dear workers world wide.
Kwa wasiojua siku hii inazingatiwa na international labour organization- ILO.
Niende kweny point yangu. Nilianza kuhangaikia maisha long ago. Age is so so so going fast. Nyumba yangu ya kupunzikia sio kulala. Ninayo. Watoto yesu...
At the pub, must show you’re VIP
Kwenye baa na sehemu zingine za starehe Kuna ulazima wowote wa kujionyesha kuwa wewe ni VIP.....
pedjeshee...papaa mukulu....Mupe Muruke... Mupe Muruke....
Je, Kuna tija yoyote mtu huipata.
karibu tujadili.
Sina records nzuri lakini sijawai kuona msanii wa kike Tanzania amebeba tuzo nyingi hivi kwenye event moja.
Zuchu kwa ili unastahili hongera, upo kimya umeacha kazi zako zipige kelele. Sisi ndio tunajua namna gani Zuchu ni mkubwa mtaani ila tukisema inakuwa nongwa umu watu wanapanic.
Hongera...
09.12.2019 Mahakama Kuu ilimwachia huru mtuhumiwa wa madawa ya kulevya. Jana 28/4/2023 Mahakama ya Rufaa ikamuona ana makosa ya madawa ya kulevya , ikamtia hatiani na kuamuru arudi /akamatwe afungwe miaka 30/maisha. Je wewe katika hali hiyo utarudi?
Mimi sitarudi yote ya kwangu nyumbani...
Ni haki yako! Ulitukanwa sana na ukadhalilishwa mno! Tafadhali timiza hukumu halali ya Mahakama na chukua fidia dhidi ya udhalimu uliotendewa na Cyprian Musiba.
Kumbuka kuwa sio wewe peke yako ulidhalilishwa na Musiba, wewe ni muwakilishi tu, tupo wengi tulioshindwa kwenda mahakamani kumshtaki...
Kwanza niseme wazi kwa mtazamo wangu wanamuziki wa bongo flaver, hiphop, dance nk ktk miziki ya ulimwengu ni wabunifu sana ingawa wengine mizigo.
Pili nawapongeza wanamuziki wa dini wachache wana ubunifu wengine craming capacity inawasaidia hawabuni kitu ambacho kitaelimisha na kumleta mtu ktk...
Wadau mimi ni fundi wa simu lakini kunawakati kabisa najiona mimi sio fundi.
Hivi umewahi kupeleka simu au computer ikiwa na tatizo la kutokuwaka kwa fundi, halafu akakwambia imekufa kabisa haiwezi faa labda ununulie mashine nyingine?
Yaani iko hivi, simu au computer haiwezi unguza components...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.