Mkeo, kabla ya kumuoa alikupendea nini mpaka kuwa tayari kuishi na wewe?

Melki the Storyteller

JF-Expert Member
May 3, 2022
5,701
9,779
Ule usiku wake wa kwanza kulala magetoni kwangu ulimchanganya sana

Nilimvua mibaibui yake kisha kumfunga kanga nusu utupu, mtoto wa watu ni mwendo wa aibu mule ndani

Nikawasha widi (cha Arusha), moshi wa kutosha ukafutuka chumba kizima. Nikafungulia bufa kisha nikaanza kuplay ngoma za Lucky Dube. Together as one ilisababisha nimwage ndoo ya maji kwa godoro. Mtoto wa watu nikampiga cheni kwenye miguu na mikono pale kitandani, nikavuta dyudyu nikalisokomeza huku nikifuata mapigo ya ngoma ya Ala Ji, muda huo nasukumia safari laga huku nikishauti na kumtukana pusi wangu. Mguu wake mmoja niliuvika buti nisilifunge kamba. Na mimi nilivaa buti la mguu wa kulia

Sintosahau usiku huo, mpaka sungu sungu walikuja kunigongea mlango usiku ule

Huu uchizi ulimchanganya sana ostazat wa watu mpaka kupendekeza mahari ya kitabu pendwa

Aliponipigia simu na kukutana na ngoma ya Ala Ji au Parakata atumba aliweweseka sana kwa kuwa alifahamu kuwa hizo ni ngoma za kazi. Huenda nikawa na kipotabo magetoni

Mtoto wetu wa kwanza ni dancer mzuri. Nahisi ni kwa sababu ya yale mauno ya Fally Ipupa
 
T

Together as One😅😅
 
Kile alichokupendea mwanamke mwanzoni kama gia ya kumuweka kwenye himaya yako ndo hicho atakachokupendea.
Kama ulimfata na gari, pesa, Kazi, six-pack, uhandsome viendelee kuwepo Ili awepo. Usilalamike kuachwa kisa kazi, pesa, gari, mali vimeisha nae kaishia. Hii dunia ishi maisha yako huyo ni partner na sio mwili mmoja.
 
Na pindi unapopoteza yale yote uliyokuwa nayo au mliyofanya mwanzoni, ndipo mwanzo wa ndoa kuvurugika

Kwa sasa mke wangu huwa ananiomba tukumbushie ule ujinga tuliokuwa tunaufanya, mwenzie ndo ivyo umri ushakwenda, nawaza tu kutafutia wanangu urithi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom