wewe unapenda nyumba yako iweje

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,448
kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya eneo ambalo kwangu ni either nimekuwa mshamba na sijaelimika bado ni kwenye finishing ya nyumba kiufupi napenda nyumba simple lakini safi mfano rangi ya nyumba kwa nje napenda rangi nyeupe tu , hizo zingine hazinishawashi bado, paa ra nyumba napenda liwe na urefu wa kati tu liandane na nyumba tu , paa refuuu hapana , paa fupi limelala hapana, ukuta napenda uende na tofali kumi na nne tu , kumi na tatu hapana , kumi na tano hapana, msingi wa nyumba napenda uwe mrefu ukipungua sana uwe na ngazi tatu
, kwa sababu kama hizi nimependa hadi dari la nyumba liwe simple tu piga zangu gypsum board , no maua , namini fashion mara ua hili mara lile linafanya nyumba iwe ina boa , wale mnaoweka gysum board ukutani kwa upande wangu naona mnachafua nyumb tu tiles ninazopenda ni zile Zenye rangi moja tu na saizi ya kati tiles kubwa hapana, ndogo hapana, kati ya vibanda vyangu sijawahi kuchonga grill ( mlango wa chuma) bado sijaelewa kwa sababu mlango wa mbao kwangu naupenda kwa muenekano, kama kuna kitu sikipendi basi ni ule urembo wa nyumba mara urembo dirishani, mara nguzo zimewekwa urembo ddh hiki siji kufanya je wewe unapenda nyumb yako iweje iweje
 
Mi sipendi nyumba iwe na ma urembo mengi kama kanisa la freemason kila kitu napenda kiwe simple tu ila smart na kizuri na mafundi wangu wamesha nielewa kwamba sipendi mambo mengi...
Hata geti la nje la fensi fundi aliniletea sample zake nyingi za mageti ya urembo sijui yana ma mikuki juu nikamwambia si una nijua sipendi mambo mengi nikatafuta sample mtandaoni nika mwambia piga hili.

Screenshot_2023-04-10-19-53-20-171_com.android.chrome.jpg
 
kila mtu ana sababu ya kupenda kitu flani, hata kwenye ujenzi wa nyumba kila mtu ana sababu ya kupenda muenekano flani wa nyumba yake moja ya eneo ambalo kwangu ni either nimekuwa mshamba na sijaelimika bado ni kwenye finishing ya nyumba kiufupi napenda nyumba simple lakini safi mfano rangi ya nyumba kwa nje napenda rangi nyeupe tu , hizo zingine hazinishawashi bado, paa ra nyumba napenda liwe na urefu wa kati tu liandane na nyumba tu , paa refuuu hapana , paa fupi limelala hapana, ukuta napenda uende na tofali kumi na nne tu , kumi na tatu hapana , kumi na tano hapana, msingi wa nyumba napenda uwe mrefu ukipungua sana uwe na ngazi tatu
, kwa sababu kama hizi nimependa hadi dari la nyumba liwe simple tu piga zangu gypsum board , no maua , namini fashion mara ua hili mara lile linafanya nyumba iwe ina boa , wale mnaoweka gysum board ukutani kwa upande wangu naona mnachafua nyumb tu tiles ninazopenda ni zile Zenye rangi moja tu na saizi ya kati tiles kubwa hapana, ndogo hapana, kati ya vibanda vyangu sijawahi kuchonga grill ( mlango wa chuma) bado sijaelewa kwa sababu mlango wa mbao kwangu naupenda kwa muenekano, kama kuna kitu sikipendi basi ni ule urembo wa nyumba mara urembo dirishani, mara nguzo zimewekwa urembo ddh hiki siji kufanya je wewe unapenda nyumb yako iweje iweje
Iwe hivi 👇
 
Wewe ni mimi kabisa 100%
 
Mm hata nikijenga ghorofa napenda kuwe na choo/bafu yenye option ya kupata mwanga wa jua moja kwa moja (yaani kama vile natumia choo cha nje kisicho na paa) najisikia vizuri sana.
 
Back
Top Bottom