At the pub, must show you’re VIP (Kwenye baa, lazima ujionyeshe kuwa wewe ni VIP)

Dr am 4 real PhD

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
7,049
13,165
Screenshot_20230430-161507_1.jpg

At the pub, must show you’re VIP
Kwenye baa na sehemu zingine za starehe Kuna ulazima wowote wa kujionyesha kuwa wewe ni VIP.....
pedjeshee...papaa mukulu....Mupe Muruke... Mupe Muruke....
Je, Kuna tija yoyote mtu huipata.

karibu tujadili.
 
personally would go to a bar to just get a drink,ila siku hizi bar nyingi vinywaji ni overpriced so I'd rather just go to the damn liquor store to buy a tall can of beer/sixer.

kwa swali lako watu wengine wanakwenda kutafuta social interaction au sexual partners, so lazima avimbe kimtindo aonekane si mnyonge. Hii inamrahisishia kupata anachohitaji.

Kwa maoni yangu lakini.
 
and 100 others Sina Cha kukoment kwasabb umesema &100 others......
 
Yap Mhimili lazima ujulikane hakuna kukaa KINYONGE....dadek unakunywa IGO mpaka mwenye henkenini anapigwa raundi mhudumu tipu ya nguvu ...yaani akileta ankara mpaka namba yake ndani ...hahaha ndani ya Zepikinik A town
Next time ukitimba wahudumu wanakugombania ...teh teh dadiii dadiii unakunywa nini leo...kimoyo moyo bichwa hilooo...
 
Back
Top Bottom