Habari za asubuhi ndugu zangu, hakika kwenye huu ukanda wetu inawezekana huyu mama is a best president Kwa Sasa, nimeangalia mambo mengi kuhusu utawala wake.
Mosi, Kuhusu utumishi Bora na Sheria kwa Sasa hatuwasikii watumishi wakilalamika Sana Kuhusu stahiki zao kama mwanzo, mfano madaraja au...