Kama ungekuwa wewe ungefanya nini?

Mr George Francis

JF-Expert Member
Jun 27, 2022
235
353
"Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani.

Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala chumbani kwa house girl bila kumwambia mumewe.

Usiku baada ya chakula, watoto wakaenda kulala, baba akabaki sebureni kuangalia mpira, siku hiyo Simba alikuwa anacheza mchezo wa kimataifa (African Champions League).

Mama kimyakimya akaenda kulala chumbani kwa house girl, akazima taa na kutoa nguo zote akiamini mumewe pale sebureni anazuga tu ni lazima atakuja kulala chumbani kwa house girl.

Dakika chache mlango wa chumba alicholala ukafunguliwa na mtu huyo akaenda mojakwamoja hadi kitandani bila kusema chochote na kuanza kushiriki nae tendo la ndoa.

Baada ya round nne, yule mama akasema..
"we mwanaume inatosha utakuja kuniua, kumbe hivi ndivyo unavyofanyaga na house girl wetu arafu kwangu kila siku unasema umechoka."

Sauti ile ilimshtua yule mwanaume, ikabidi awashe taa la haula, wakaanza kushangaana
"Kumbe mama!!" mama anasema "kumbe mwanangu."

Soon baba anaingia chumbani mkewe hayupo, anasikia sauti chumbani kwa house girl. Kufungua mlango anamkuta mkewe na mtoto wao mkubwa wa kiume wakiwa utupu baada kushiriki tendo la ndoa.

Wote wamepigwa na mshangao, hawajui wafanye nini."

Je, kama wewe ungekuwa ni mume au mke au huyo mtoto ungefanya nini ??

Je kwa ujumla kulingana na kisa hiki una kipi cha kushauri kwa Ustawi bora wa ndoa na familia zetu?
 
Attachments

  • 360_F_225278117_46RrAjKCx3J8Vgzdz4XMe5BeSaMxdsjX.jpg
    360_F_225278117_46RrAjKCx3J8Vgzdz4XMe5BeSaMxdsjX.jpg
    21.5 KB · Views: 9
George ulifikiria nini kutunga hii story?

Inamana kijana hakujua kua house girl karidishwa kijijini au kamrudisha usiku huo huo baada ya watu kwenda kulala? Rekebisha hapo
 
"Kwa muda mrefu mke alikuwa akidhani kuwa mumewe anamsaliti kwa kutoka kimapenzi na (house girl/ maid) mfanyanyakazi wao wa kazi za ndani.

Hivyo, akapanga kufanya mtego ili aweze kufanya fumanizi. Sasa alichokifanya siku hiyo akamrudisha house girl wao kijijini, arafu yeye akaenda kulala chumbani kwa house girl bila kumwambia mumewe.

Usiku baada ya chakula, watoto wakaenda kulala, baba akabaki sebureni kuangalia mpira, siku hiyo Simba alikuwa anacheza mchezo wa kimataifa (African Champions League).

Mama kimyakimya akaenda kulala chumbani kwa house girl, akazima taa na kutoa nguo zote akiamini mumewe pale sebureni anazuga tu ni lazima atakuja kulala chumbani kwa house girl.

Dakika chache mlango wa chumba alicholala ukafunguliwa na mtu huyo akaenda mojakwamoja hadi kitandani bila kusema chochote na kuanza kushiriki nae tendo la ndoa.

Baada ya round nne, yule mama akasema..
"we mwanaume inatosha utakuja kuniua, kumbe hivi ndivyo unavyofanyaga na house girl wetu arafu kwangu kila siku unasema umechoka."

Sauti ile ilimshtua yule mwanaume, ikabidi awashe taa la haula, wakaanza kushangaana
"Kumbe mama!!" mama anasema "kumbe mwanangu."

Soon baba anaingia chumbani mkewe hayupo, anasikia sauti chumbani kwa house girl. Kufungua mlango anamkuta mkewe na mtoto wao mkubwa wa kiume wakiwa utupu baada kushiriki tendo la ndoa.

Wote wamepigwa na mshangao,
Wanawake wanatofautiana smell, maumbile....kenge wewe,hadithi za inder 18
 
Yaan hapo ni pagumu sana kuamua hio ni ngumu kumeza maana hapo ni pagumu sana kutoa maamuzi ya moja kwa moja
 
🤣🤣🤣🤣ngoja nirudi Facebook nikaangalie filamu za ngono na picha za utupu kwa marafiki zangu ambao wamekua tagged
 
Kwamba huyo mama hajui mwili wa mumewe?? Hivi vichekesho vyenu mnapovitunga muwe mnaweka vitu ambavyo vina uhalisia mxiewwww!!
 
Back
Top Bottom