Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege.
Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada.
Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya chakula nahisi ni nafaka sijui ni nafaka hipi.
Nitaanza na ili nyuma kidogo,Wakati miaka ya nyuma...
Huenda hii michezo ya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi, matumizi mabaya ya madaraka na matumizi mabaya ya rasilimali za chama chake kwa manufaa yake binafsi na familia yake alianza kufanya muda mrefu huko nyuma. Na huenda hiyo ndio tabia yake halisi ya kutamani kujilimbikizia mali za chama...
Hii project ilitakiwa kuwa kwa jamii kuridisha shukrani kama wakongwe wa fiesta mkaleta matukio kama kila mlicho fanya,kukumbusha maduka ,watu kampuni.
Hapa naona babu tale na cheo kesho sio mbali mtakuja kulia tukiwazika.
Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online.
Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria)
Katika...
Hamjambo!
Mfumo wa Dunia ni kama umbo la vidole vyako vya mkononi. Umbo la pyramid. Watu hawalingani.
Kuna watakaokula zaidi ya wengine. Kuna watakaokula vizuri zaidi ya wengine.
Ulaji.
Kula kwa urefu wa kamba walisema wahenga. Ni kweli. Nature ipo hivyo. Kila mtu ale kwa urefu wa kamba...
Kama dangote ameamua kwenda kujenga crude oil refinery lamu ni sawa kama nchi hatujashindwa bado tutafute mwekezaji mwingine wa kujenga crude oil refinery Tanga hatujashindwa bado
Kuna mambo yanaendelea ni ya kushangaza, Sasa ona Leo hata kazi za ujenzi wa taifa na uchumi wa individuals hazijafanyika kisa Waandamanaji wamealikana wao wenyewe lakini walioandamana na kwa gharama kubwa ni askari wetu.
Hii tabia Sasa inajirufia sana, uchaguzi nao tumekuwa na tabia hii ya...
Na kwamba,
Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele?
Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana?
Je,
suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
Hamjambo! Mimi sijambo
Unapoingia kwenye siasa usiingie kichwa kichwa kama panya kwenye shimo ambalo hakulichimba.
Asilimia kubwa ya watu siasa kwao ni fursa ya kibiashara na kiuchumi. Wao siasa wameingia kwa sababu ya Maslahi Yao ya kiuchumi.
Hivyo chochote anachokifanya ndani ya siasa...
Wote tunajua ugumu wa maisha unayoikumba Kenya hasa kwa Mwananchi asiye na ajira yyte. Ni vema viongozi wa chadema wakatoa ufafanuzi wa nani anafadhiri maisha ya viongozi wao ambao walikimbilia Kenya Toka waka Jana, nani anawatunza?
Je? Nani amewapangia nyumba ya kuishi? Nani anawalisha? Ni...
Kuna mtu kila fikra itakayotoka imejaa negativity
Kila comment atakayotoa ni ya masimango na udharilishaji
Kila hoja atakayo toa imejaa uchungu.
Ukiwa leyman, utadhania wewe ndio mwenye tatizo lakini kumbe ni mtoa hoja au ushauri ana teseka ndani yaani ni SADISTIC.
ISHI MAISHA YAKO, MATUSI...
Ukweli lazima usemwe. Hii ni wizara ambayo inagusa maisha ya kila mtanzania.
Kuna vijimtu vipuuzi na vipumbavu kuwa wasimamizi vinadhania vimemaliza maisha.
Vinanyanyasa watumishi na kuwatukana kama housegirls wao.
Tangu Rizimoko aingie madarakano kama waziri wa menejimenti ya utumishi na...
Kuna tabia ya baadhi ya Lecturers wengine hapa chuoni UCC UDSM, tena ni kikundi cha Lecturers inavyoonekana ni wanajuana wanachokifanya, kuanzia kwa Principal Mr. Aron na Mr. Kabigi sana sana. Yaani unakuta ukifeli wanakuambia uwalipe kuanzia laki kwa somo ili wakusafishie na wakuwekee grade...
Anonymous
Thread
chuoni
lecturer
rushwa
sana
tabia
ucc
udsm
wengine
Sitaki kuingia kwenye dini sio sehemu yangu.
Hapa na zungumzia wale wakina Nuhu wakutaka kuwajengea safina.
Wanaopigania nchi na vizazi vyenu kwa mislahi yenu mnawaona sio wazarendo,vibaraka,waihini na wengine kupotezwa kabisa.
Kwa nyie CCM na chawa siku galika likifika mtawakumbuka wakina...
Unafkiri hawaoni yanayoendelea ?? wanayaona sana tu lakini mapenzi ya vyeo, pesa, maisha mazuri ya familia, n.k. ni muhimu sana kuvitunza
Kwa kiasi kikubwa, tatizo linaweza kuwa ni sehemu ya utamaduni wetu wa kisiasa na kijamii. Mara nyingi wengi wetu huwa waaminifu zaidi katika maslahi kama...
Kuna mifano kibao ya watu maarufu na watu wa kawaida ambao maisha yao yaliathiriwa na matumizi ya pombe kupita kiasi.
Wengine walipoteza Afya na maisha yao. Mifano ya watu maarufu kama Proff Jay ambaye aliwahi kuzungumza hadharani kuhusu athari za kiafya alizokutana nazo Kuna marehemu kibonde...
Wanabodi,
Angalizo la Nyuzi Ndefu
JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.