Sio watalii wote ni wema wengine ni wahalifu

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
2,528
Reaction score
6,264
Sio watu wote wanaokuja kutalii katika nchi zetu za Afrika ni watalii wengine ni wahalifu kutoka katika nchi zao , wanakimbia msara waliofanya walikotoka . Sehemu kama Zanzibar wanafika watu wa kila aina Majambazi, Drug dealers, makahaba . Tatizo letu watu weusi tunawaamini sana wazungu kwa urahisi
 
Nyie kama sisiem mmechukua hatua gani?
 
Hofu yangu ni uwepo wa wapelelezi/makachero wanaipeleleza nchi kijasusi kwa faida ya mataifa yao wanakotoka
 
Bora hao majambazi, ma drugs dealer wanakuja kupumzika tu wakiskilizia nchini mwao kunaendekaje afu wanarud zao kwao kuliko sir*ika*li tuliyonayo ya mauaji ya halaiki, watekaji, wasababisha hali ngumu ya maisha kwa wananchi, wanyanyasaji wa wenzao na kuwaita wahaini tuko nao na hakuna kitu tunawafanya na ukijihadhari na kuwatahadharisha wenzio washtuke unamalizwa.....kina kibao, mdude, na wengine weeengi na waliotangulizwa mbele za haki kwa makusudi ya mwandamu (shemeji zangu wawili kwa kutekwa since march 2025 na mwingine July 2025)😭😭😭 Mwenyezi Mungu awaweke mahali pema siku moja tuonane😭😭😭😭😭 hatujui ni wazima au mlishamalizwa huko....watoto wangu wamekosa ukaribu na baba wamebaki kumuona kwa video call tu😭😭😭😭 angezubaa naye tungeshasahau. Nasemaje bora hao watalii kuliko humu tunamoishi na kuongozwa
 
Naunga mkono hoja
 
Hawa hapa ndio cancer yetu

Back
Top Bottom