fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,539
- 8,991
Huku Mwanza DSTV NA STARTIMES wamefunga ofisi wamebakisha mawakala tu.
Wamemezwa na Azam.
Wamemezwa na Azam.
Contents ni subjective, kuna watu hupenda hiki wengine kile, ila tafakari yafuatayo:Anawameza ila hana content zaidi ya LIGI KUU..
Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50KUEFA na EPL ndipo DSTV wanapompiga bao.
Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50K
Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50UEFA na EPL ndipo DSTV wanapompiga bao.
Ndo hapo, kupata ataweza kupata, ila wadau NYINYI mnaweza kuilipia kifurushi cha 100K?? Yeye anaangalia atarudishaje hyo pesa na faida atapataje??Shida dau na miundombinu. Angeshapata muda sana.
Na hii akiipata Azam, baaas shughuli hamna Tena, vifurushi vitaanzia 50
Ndo hapo, kupata ataweza kupata, ila wadau NYINYI mnaweza kuilipia kifurushi cha 100K?? Yeye anaangalia atarudishaje hyo pesa na faida atapataje??
Contents ni subjective,kunacwatu hupenda hiki wengine kile,ila tafakari yafuatayo:Anawameza ila hana content zaidi ya LIGI KUU..
Ni kweli but nahisi anawalia mission soon atapita navyoUEFA na EPL ndipo DSTV wanapompiga bao.
hapo kwenye red ndo umemaliza kila kitu,,, na mimi nilitoa maoni yangu ndugu,,,, "subjectively" naweza sema kuwa AZAM TV ni "sub-set" ya DSTV na ni "opinion" yangu ,,, kwasababu hata wewe mwenyewe katika list yako hujajumuisha zile channel za "mbc" zinazonyesha filamu za zilipendwa...Contents ni subjective,kuna watu hupenda hiki wengine kile,ila tafakari yafuatayo:
1.International contents,ana tv kubwa zote za duniani.
2.Ana tv zote kubwa za Afrika mashariki na kati
3.Ana channels 3 za filamu za kinaigeria
4.Ana special channel ya filamu za kitanzania ambayo kwa sasa inafanya vizuri sana
5.Ukiacha ligi ya Tanzania anatangaza ligi ya Kenya.Hapa sijamaliza kuhusu chaneli za miziki na filamu za kiingereza na kihindi.Sasa sijui wewe ungependa contents gani zingine?
Ni kweli but nahisi anawalia mission soon atapita navyo
Correct ila kwa maoni yangu Azam ameishawaacha dstv kwa mbali sanahapo kwenye red ndo umemaliza kila kitu,,, na mimi nilitoa maoni yangu ndugu,,,, "subjectively" naweza sema kuwa AZAM TV ni "sub-set" ya DSTV na ni "opinion" yangu ,,, kwasababu hata wewe mwenyewe katika list yako hujajumuisha zile channel za "mbc" zinazonyesha filamu za zilipendwa...
Nyie muda wote ni kuwaza udini tu..Kwa mgongo wa zenji na dini ya mnyazi...jamaa dream yake n ku monopolize media sector...by any means
We huwez jua your stil junior..Nyie muda wote ni kuwaza udini tu..