Wakati naitafakari J2 yangu tulivu chini ya kivuli cha mti niliyoupanda kwa mkono wangu mwenyewe nikawa nawaza kumbe matokeo ya kesho yetu yapo mikononi mwetu.
Moyoni nimejikuta najiuliza hivi Mama amejiandaa kweli kutawala kwenye hili dimbwi za Damu za hawa jamaa waliyopata uhuru pasipo...
Huu ni ujumbe wa Mungu muumba kwa Watanzania;
Damu ya mtu ikimwagwa isivyo halali juu ya nchi (ardhi yenye mipaka rasmi na halali) nchi husika inanajisika.
Nchi ikinajisika hamna sadaka wala kafara iwezayo kuondoa huo unajisi ila damu ya huyo aliyoimwaga vinginevyo nchi itabaki najisi...
Watu wengine 25 wameongezwa kwenye mashtaka ya Uhaini Dodoma, idadi yafikia 187 nchi nzima.
Awali, watu 17 walipandishwa kwenye mahakama hiyo hiyo ya Hakimu Mkazi Dodoma.
Kwa sasa, mahakama ya Hakimu Mkazi Kisitu ina watuhumiwa 145 na Hakimu Mkazi Dodoma ina watuhumiwa 42.
Pia soma GE2025 -...
Kufuatia kufanyika Kwa uchaguzi, ambao haukukidhi viwango vya Haki. Ni vizuri Mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi, anajiuzulu na kuyakana haya matokeo. Na Majaji wakatae teuzi kwenye vyombo ambavyo, hawa taweza kufanya kazi ipasavyo kama hakuna mabadiliko ya Sheria yatakayo wawezesha kufanya...
Kwa matukio yaliyotokea siku za karibu kuna maswali imebidi nijiulize
Mwafrika ni rational human being
What if wanaotubagua wako sahii kwa asilimia mia mkuu content ya character zetu ni ya ajabu sana
Kwa nini tusirudi kwenye utawala wa kifalme kama demokrasia hatuwezi
Hivi marekani ingekuwa ni...
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amesema moja ya sharti la haki za binadamu ni kutowazuia wengine kupata haki yao ya kikatiba ikiwemo kupiga kura kuchagua viongozi na watakaodanya hivyo hawatavumiliwa.
Amesema CCM inaheshimu haki za binadamu, lakini...
Mara nyingi, utasikia wengi, hasa machawa na kunguni, wakisema eti uongozi hasa urais hutoka kwa Mungu!
Hii ni kwa sababu eti aliandika tapeli Paulo aka Sauli wa Tarso Warumi 13:1. Mlitetemea chawa kama huyu aseme nini wakati naye alikuwa akitafuta riziki kichawa na kitapeli?
Je, madikteta...
Timu maandamano bwana
Yaani kimtu kinakomaa mishipa kupondea uchaguzi na kuupinga lakini kwenye foleni ya kuhangaikia kazi za muda za usimamizi na ukarani wa uchaguzi unakakuta tena kapo mstari wa mbele
Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini.
Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO !
Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!.
Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
Shirika la Habari la BBC imeripoti kuwa Mateka saba wa kwanza wa Israel walioshikiliwa na Kundi la Hamas huko Gaza wameachiliwa leo na wako chini ya uangalizi wa Shirika la Msalaba Mwekundu (ICRC), tayari kukabidhiwa kwa jeshi la Israel (IDF), jeshi hilo limethibitisha
Taarifa za kuachiliwa...
Ni kutomkubali tuu malkia?? Inamaana upande wa dini ile wote wanamkubali mtu wao??.
Viongozi wa dini ya kikristo ambao hawafuati maelekezo ya malkia wanakiona cha moto, naanza kuamini ile barua ya mange kimambi japo Msigwa aliikanusha lakini sasahivi yanatendeka yaleyale.
Sio siri kwamba kilimo na Ufugaji unalipa, tena sana. Ila unalipa sana kwa watu wenye mitaji mikubwa na uzoefu, so kila kitu kinahitaji discipline na uthubutu.
Ila ikiona mfugaji au mkulima anapromote sana kitega uchumi chake ni kwa sababu anataka kupata pesa zaidi na hamna njia nzuri ya kupata...
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Paul Makonda amekuwa katika yadhifa za uongozi kwa muda mrefu sasa, kwa nafasi ambazo ameshika, anafahamu kwamba kuna mambo yanayohitaji mipaka.
Kabla sijaendelea niweke wazi kuwa ni vizuri kwa kiongozi kuwa Mbunifu, lakini si vyema kuvuka mipaka kwa...
Anonymous (e667)
Thread
alama
bandarini
jeshi
maalum
magari
makonda
matumizi
raia
ukimya
wengine
Tabia ya viongozi wa nchi hii kujiona wao ndiyo bora na ndiyo wanastahili kuishi maisha bora kuliko watu wao iko siku itawagharimu.
Wanaishi maisha kifahari,wanaiba ,wanajisikia,waongo,ujanjaujanja,nk kwa sasa wanakoelekra ni kubaya kwani watu wanaelekea kichoka.
Raia wa kawaida wanamaisha...
Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
Ni mara nyingi nasikia watu wakisema eti rais ni alama na taswira ya nchi. Hii si haki wala sawa.
Kwanini tusitumie bendera au nembo yetu wengine wachafu kiroho na kimwil
Je wewe unaonaje na kusemaje?
Nafikiri kimya kimya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.