Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,761
Reaction score
15,455
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
 
Screenshot_20260403-213830.png
 
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
peleka ushirikina na ramli zako nonsense kwa wafuata mkumbo wenzako huko gentleman 🐒
 
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
Rostam source ya pesa zake ni Huko huko Magharibi, ni MTU wa mwisho ambaye ataguswa na vikwazo, USA unafkiri ataiwekea vikwazo Barrick ama Petra Diamonds?
 
Rostam na wafanyabiashara wengine kaeni mbali na CCM ! mtafilisiwa. Msifikirie kuficha pesa uarabuni inasaidia wale ni vibaraka wa USA karibu wote. Mkihusishwa na CCM na majanga ya mauaji hakuna atakae taka kufanya biashara na ninyi
Uzuri orodha yao ipo kabisa na inajinathibisha na chama ikiwemo hats wa escrow hivyo hizi ni dk za jioni kuelekea huko,tena hata michango yso kuwezesha oct 29 ni kumbukumbu toshs!
 
Back
Top Bottom