Hapa bongo wengi wanaojiita hackers ni show off kwajili ya attention, hawajafika hizo level na ni watupu hawajui kitu.

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
Copy paste kutoka fb......

Tanzania kuna "๐ญ๐š๐ฉ ๐ค๐ข๐๐๐ข๐ž๐ฌ" wengi wanaojiita "๐‡๐š๐œ๐ค๐ž๐ซ๐ฌ" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.

Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker, huu ni ushamba wa hali ya juu sana.

๐‡๐€๐‚๐Š๐„๐‘โ€“ ๐˜๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถyaendesha.

sifa yake kuu anaweza kujitengenezea tools zake yeye mwenyewe, ku modify tools za wengine kwa kuongeza manjonjo yake n.k. na hata akitumia scripts za wengine ni kuokoa tu muda, sio kwamba hawezi kujitengenezea yake.(no need to re invent the wheel)

anaujua mtiririko wa system, anajua nini kinafanyika mpaka kinatokea kitu Fulani, maswali yake huwa ni kwanini au inakuwaje tool hii iko hivi na hivi, sio kama kundi la pili wanakimbilia kuulizia tool ipi watumie bila kuwa na understanding ya work flow.

๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—œ๐—ฃ๐—ง ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜โ€“ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ya automatic.

Hawa huwa wanajua kutumia script lakini hawajui nini kilicho nyuma ya hizo scripts mpaka zinaleta matokeo flani maana hawana hata elimu ya fundamentals za mtiririko wa process zinazoendelea pindi wanapozitumia scripts, hii inamfanya akose ubunifu.

Wanachojua ni kutumia scripts ambazo zimetengenezwa na hackers.

script ikiharibika ama ikileta matatizo hua hawezi kuirekebisha, yeye kakariri tu commands kwamba akichapa hivi kwenye keyboard basi kitakuja kitu Fulani.

ila kidogo wana nafuu maana angalau wanajua ku tumia hzo scripts za lugha mbali mbali kama JavaScript,PHP, Python, Ruby, Groovy, Perl, Lua,Bash, n.k. kundi linalofata hata kutumia scripts ni shughuli nzito, wanachukia sana scripts.

๐—ง๐—”๐—ฃ ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜- ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ต๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข, yeye ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ถ๐˜ด๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช.

Ewaaa!! sasa hiki ndio kichaka cha wabongo wengi wanaojiita hackers, Mtu anajiita hacker kwenye ishu za kawaida kabisa.

-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacker, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

GASTA DI ELOO NYAMBAFU! hebu acheni kushusha thamani za taaluma za watu aisee.

Hawa wengi hata umpe script atabaki anaishangaa, ni weupe Zaidi ya script kiddies.

huwa wanazikwepa scripts, huwa wanapenda kutumia program/ app kwasababu huwa zimerahisisha mtitririko wa sctipt, wanagonga tu sehem kazi imeisha, hakuna mambo ya kuumiza kichwa wala kuandika command lines za kutumua script, ni mwendo wa kubofya tu.

hapa ndio kuna mambo ya kuminya kwa mouseโ€ฆ next, next, accept terms, done, finish.

.............................................................................

SASA TUELEWANE.

Msiwe mnawaita hackers, muwe mnawaita "TAP KIDDIES" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. mnapowaita hackers huwa wanavimba vichwa sana na hilo ndio huwa lengo lao

wao wanapojiita hackers, kuweka profile picture za hackers na kuleta fujo kwenye groups ili wasifiwe ni hackers huwa ni kama mtoto mdogo kavaa ndevu bandia ili aamkiwe, Msiwatimizie lengo lao kirahisi, kwanza hua inaua kipaji ๐Ÿ˜‚, waiteni tap kiddies wapate hasira ya kupiga hatua..
 
Kasema vizuri ila kanikata stimu aliposema kaingiza window ya ubuntu, hapo kanitoa mood.
Ila kasema ukweli sasa kuna kakikundi huko fb eti ka wana IT kila mtu mle hacker anaweza hack fb, instagram, twitter yani kila kitu.
Mtu akishusha window ni hacker mle
 
KUNA HAWA WASANII WAKUBWA HUWA WANAJIDI ETI AKAUNTI YANGU IMEHAKIWA....

Hawajui maana ya neno hacking vzr. Wale wanalewa afu wenzao wanawaibia akaunti wakiwa tungi kesho akiamka anasema wame hack akaunti yake
 
Kasema vizuri ila kanikata stimu aliposema kaingiza window ya ubuntu, hapo kanitoa mood.
Ila kasema ukweli sasa kuna kakikundi huko fb eti ka wana IT kila mtu mle hacker anaweza hack fb, instagram, twitter yani kila kitu.
Mtu akishusja window no hacker mle
kibongo bongo operating system imezoeleka kuitwa windo.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mtu akishusha window ni hacker
 
Copy paste kutoka fb......

Tanzania kuna "๐ญ๐š๐ฉ ๐ค๐ข๐๐๐ข๐ž๐ฌ" wengi wanaojiita "๐‡๐š๐œ๐ค๐ž๐ซ๐ฌ" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.

Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker, huu ni ushamba wa hali ya juu sana.

๐‡๐€๐‚๐Š๐„๐‘โ€“ ๐˜๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถyaendesha.

sifa yake kuu anaweza kujitengenezea tools zake yeye mwenyewe, ku modify tools za wengine kwa kuongeza manjonjo yake n.k. na hata akitumia scripts za wengine ni kuokoa tu muda, sio kwamba hawezi kujitengenezea yake.(no need to re invent the wheel)

anaujua mtiririko wa system, anajua nini kinafanyika mpaka kinatokea kitu Fulani, maswali yake huwa ni kwanini au inakuwaje tool hii iko hivi na hivi, sio kama kundi la pili wanakimbilia kuulizia tool ipi watumie bila kuwa na understanding ya work flow.

๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—œ๐—ฃ๐—ง ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜โ€“ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ya automatic.

Hawa huwa wanajua kutumia script lakini hawajui nini kilicho nyuma ya hizo scripts mpaka zinaleta matokeo flani maana hawana hata elimu ya fundamentals za mtiririko wa process zinazoendelea pindi wanapozitumia scripts, hii inamfanya akose ubunifu.

Wanachojua ni kutumia scripts ambazo zimetengenezwa na hackers.

script ikiharibika ama ikileta matatizo hua hawezi kuirekebisha, yeye kakariri tu commands kwamba akichapa hivi kwenye keyboard basi kitakuja kitu Fulani.

ila kidogo wana nafuu maana angalau wanajua ku tumia hzo scripts za lugha mbali mbali kama JavaScript,PHP, Python, Ruby, Groovy, Perl, Lua,Bash, n.k. kundi linalofata hata kutumia scripts ni shughuli nzito, wanachukia sana scripts.

๐—ง๐—”๐—ฃ ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜- ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ต๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข, yeye ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ถ๐˜ด๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช.

Ewaaa!! sasa hiki ndio kichaka cha wabongo wengi wanaojiita hackers, Mtu anajiita hacker kwenye ishu za kawaida kabisa.

-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacker,

GASTA DI ELOO NYAMBAFU! hebu acheni kushusha thamani za taaluma za watu aisee.

Hawa wengi hata umpe script atabaki anaishangaa, ni weupe Zaidi ya script kiddies.

huwa wanazikwepa scripts, huwa wanapenda kutumia program/ app kwasababu huwa zimerahisisha mtitririko wa sctipt, wanagonga tu sehem kazi imeisha, hakuna mambo ya kuumiza kichwa wala kuandika command lines za kutumua script, ni mwendo wa kubofya tu.

hapa ndio kuna mambo ya kuminya kwa mouseโ€ฆ next, next, accept terms, done, finish.

.............................................................................

SASA TUELEWANE.

Msiwe mnawaita hackers, muwe mnawaita "TAP KIDDIES" . mnapowaita hackers huwa wanavimba vichwa sana na hilo ndio huwa lengo lao

wao wanapojiita hackers, kuweka profile picture za hackers na kuleta fujo kwenye groups ili wasifiwe ni hackers huwa ni kama mtoto mdogo kavaa ndevu bandia ili aamkiwe, Msiwatimizie lengo lao kirahisi, kwanza hua inaua kipaji , waiteni tap kiddies wapate hasira ya kupiga hatua..
Kwangu mimi jamaa kaongea vizuri watu wengi wanatamba sana, pia kwangu naamini hackers huwa awatambi sana kama ma hackers wetu tunawajua kwenye groups mbali mbali
 
Kuna wengine sisi ni waporaji.
Yaani nikibahatika kujua details zako au nikabuni nywila zako nikifanikiwa basi napora account yako nafanya ninacho taka.
 
Kuna wakina sisi kazi kuchukua command GitHub na kutaka ku access taarifa za watu basi tunajiona hackers kumbe wezi watupuu
 
Copy paste kutoka fb......

Tanzania kuna "๐ญ๐š๐ฉ ๐ค๐ข๐๐๐ข๐ž๐ฌ" wengi wanaojiita "๐‡๐š๐œ๐ค๐ž๐ซ๐ฌ" , hii ni sawa na panya kujifananisha na simba wakati hamwezi hata nyau.

Kumekua na tabia ya ajabu sana siku hizi, mtu anajijua kabisa hafikii hata theluthi ya hacker ila anaamua kujipachika jina la hacker, huu ni ushamba wa hali ya juu sana.

๐‡๐€๐‚๐Š๐„๐‘โ€“ ๐˜๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ง๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ฅ๐˜ช ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฐ๐˜ซ๐˜ถ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ต๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜จ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜ฆ๐˜ป๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ถyaendesha.

sifa yake kuu anaweza kujitengenezea tools zake yeye mwenyewe, ku modify tools za wengine kwa kuongeza manjonjo yake n.k. na hata akitumia scripts za wengine ni kuokoa tu muda, sio kwamba hawezi kujitengenezea yake.(no need to re invent the wheel)

anaujua mtiririko wa system, anajua nini kinafanyika mpaka kinatokea kitu Fulani, maswali yake huwa ni kwanini au inakuwaje tool hii iko hivi na hivi, sio kama kundi la pili wanakimbilia kuulizia tool ipi watumie bila kuwa na understanding ya work flow.

๐—ฆ๐—–๐—ฅ๐—œ๐—ฃ๐—ง ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜โ€“ ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ข๐˜จ๐˜ข๐˜ณ๐˜ช ya automatic.

Hawa huwa wanajua kutumia script lakini hawajui nini kilicho nyuma ya hizo scripts mpaka zinaleta matokeo flani maana hawana hata elimu ya fundamentals za mtiririko wa process zinazoendelea pindi wanapozitumia scripts, hii inamfanya akose ubunifu.

Wanachojua ni kutumia scripts ambazo zimetengenezwa na hackers.

script ikiharibika ama ikileta matatizo hua hawezi kuirekebisha, yeye kakariri tu commands kwamba akichapa hivi kwenye keyboard basi kitakuja kitu Fulani.

ila kidogo wana nafuu maana angalau wanajua ku tumia hzo scripts za lugha mbali mbali kama JavaScript,PHP, Python, Ruby, Groovy, Perl, Lua,Bash, n.k. kundi linalofata hata kutumia scripts ni shughuli nzito, wanachukia sana scripts.

๐—ง๐—”๐—ฃ ๐—ž๐—œ๐——๐——๐—œ๐—˜- ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ฎ๐˜ต๐˜ฐ๐˜ต๐˜ฐ ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฆ๐˜ฑ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ข๐˜ต๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฏ๐˜ข ๐˜ฅ๐˜ฆ๐˜ณ๐˜ฆ๐˜ท๐˜ข, yeye ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ข๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฐ๐˜ฐ๐˜ด๐˜ฉ๐˜ข ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ถ๐˜ด๐˜ถ๐˜ฌ๐˜ข๐˜ฏ๐˜ช.

Ewaaa!! sasa hiki ndio kichaka cha wabongo wengi wanaojiita hackers, Mtu anajiita hacker kwenye ishu za kawaida kabisa.

-kapewa file la hatunnel kaanza kutumia freenet, anajiona hacker.
-kadownload app ya kuroot simu yenye kisehemu cha kuminya root, anajiona hacker
-kadownload software iliyovunjwa ili itumike bure, anajiona hacker
-anatumia firmware ya dtb kwenye kingamuzi ili akwepe malipo, anajiona hacker
-kaingiza window ya ubuntu au kali linux kwenye laptop, tayari anajiona hacker
-ka unlock modem / simu kwa maelekezo ya youtube, anajiona hacker, ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

GASTA DI ELOO NYAMBAFU! hebu acheni kushusha thamani za taaluma za watu aisee.

Hawa wengi hata umpe script atabaki anaishangaa, ni weupe Zaidi ya script kiddies.

huwa wanazikwepa scripts, huwa wanapenda kutumia program/ app kwasababu huwa zimerahisisha mtitririko wa sctipt, wanagonga tu sehem kazi imeisha, hakuna mambo ya kuumiza kichwa wala kuandika command lines za kutumua script, ni mwendo wa kubofya tu.

hapa ndio kuna mambo ya kuminya kwa mouseโ€ฆ next, next, accept terms, done, finish.

.............................................................................

SASA TUELEWANE.

Msiwe mnawaita hackers, muwe mnawaita "TAP KIDDIES" ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. mnapowaita hackers huwa wanavimba vichwa sana na hilo ndio huwa lengo lao

wao wanapojiita hackers, kuweka profile picture za hackers na kuleta fujo kwenye groups ili wasifiwe ni hackers huwa ni kama mtoto mdogo kavaa ndevu bandia ili aamkiwe, Msiwatimizie lengo lao kirahisi, kwanza hua inaua kipaji ๐Ÿ˜‚, waiteni tap kiddies wapate hasira ya kupiga hatua..
Wataalamu wa software hapa kwetu tunao, tena wazuri tu pengine kuzidi hata hao unaowajua wewe. Sema tu hawajishughulishi na haya mambo kwa sababu hayana tija. Zaidi hacking hapa kwetu hailipi, um-hack nani na kwa kitu gani?
 
Hao wataalam wa software washazungumziwa hapo kwamba wapo kundi la tap kiddies, wanapenda kutumia software kwasababu zimerahisishwa, hakuna haja ya kuandika command lines wala kuumiza kichwa, ni kama vile wametafuniwa kila kitu wao wanameza tu.

Ni kweli hacking hailipi, hata zile bilioni 2 zilizodukuliwa selcom zilikuwa mbayaaaa!! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Yani Tanzania ni changamoto sana, yani mtu kutumia tools kwenye ku-hack inakua tatizo. kwa hivyo hacker anatakiwa a-code tool zake nyenyewe iniache kutimia nmap, metasploit, hashcat, hashid etc nitegeneze zangu.,??

Kuna jamaa kipindi cha nyuma aliniambia kama wewe unajua ku code, ung'e code language yako mwenyewe uache kutumia za wanaume. Kuanzia hapa nikaona baadhi ya watanzania hawapo serious
 
Ndugu unajua kudukua
 
Back
Top Bottom