Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

Watanzania wengi wanaendesha takataka na si magari

mshimboka

Member
Joined
Jun 13, 2026
Posts
32
Reaction score
85
Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol

Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design

Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
 
Mkuu gari ulizotaja zina matoleo ya zamani na haya mapya hapo haujaonyesha hizo gari ulizoendesha ni za model gani..
Maana karibu hizo gari nyingi wametoa model za miaka ya karibuni pia je uliweza kuendesha Mazda ya 2018 kuja miaka ya karibuni au jiwe la Nissan Patrol la 2018 pia kuja mbele ili nione hiyo hoja yako kama ina mashiko mkuu.
 
Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol

Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design

Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Uchumu haufanani mkuu kama vilivyo vidole vya mikono Yetu. Acha dhihaka.
 
Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol

Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design

Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Mimi Nina Raum yangu na ninatamba nayo aisee na wala siwazi 😅😅😅😅
 
Wiki hii nilikuwa najalibu kuendesha gari zenu aisee hizi gari ni mbovu na mbaya sijawahi kuona magari haya hakuna kitu
Toyota crown
Ist
Raum
Harrier
Rav 4
Honda Cr
Mazda CX-5
Toyota Fortuner
Kia
Hyundai Santa Fe
Toyota Prado
Nissan patrol

Gari hizi sio
Luxury
Old technology
Bad interior design

Wakati Dunia ya sasa inataka gari nzuri zenye sifa
Luxury interior design
Advance technology
Performance
Safety
Wewe mbali ya kubwabwaja una utalamu wa kuunda chombo kipi cha usafiri cha kisasa?
 
Back
Top Bottom